MCHUNGAJI ANGILIA SAKATA LA GODLUCK GOZBERT KUCHOMA GARI LA NABII GODEV,WANAMUONEA WIVU KAPOLA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 9

  • @efelikabage-cn1fo
    @efelikabage-cn1fo 7 годин тому

    Barikiwa mtumishi. Watu wenye ufahamu mdogo wa rohoni ndio hao wanakimbizana kuhukumu watumishi wa Mungu.

  • @PatsonKyando-s4j
    @PatsonKyando-s4j 2 дні тому +1

    Well said man of God, You are a true man of God

  • @PaulFidel-z3e
    @PaulFidel-z3e 2 дні тому

    Yesu mwenyewe pamoja Na kuwa alika Na went thambi hawakubak Kama walivyo badiliko halisi Lili tokea kwao so Nini hatima baada ya kuwakusanya

  • @WGChannel247
    @WGChannel247 День тому

    1 John 4:1
    Dear friends, do not believe every spirit, but test the spirits to see whether they are from God, because many false prophets have gone out into the world

  • @FlorenceMalima-xt8zb
    @FlorenceMalima-xt8zb 3 дні тому

    jeshi la mbinguni likufunike Kaka g vita ni kali Ila utashinda

  • @claudia1500
    @claudia1500 День тому

    Let say mamaKapola anaenda kuhubiria machangudoa'je alitakiwa kuvaa kama changudoa?? Unaweza kumkemea changudoa kuwa asiache maungo wazi ni dhambi ingali na wewe umeacha maungo wazi??? Ulianza kueleza vizuri then ukafeli mwishoni

  • @winygidarossa9472
    @winygidarossa9472 3 дні тому

    Alafu hizi chuki baina ya watumishi wa mungu zitaisha lini?

  • @DaimonMwapelele-g1d
    @DaimonMwapelele-g1d 2 дні тому

    Et ukristo sio din jaman hawa wanaovuvumka kwenye utumish wanatoka wap? Yaan mtu anafanya zinaa madhabahun yaan ni sawa wewe acha ujinga

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 2 дні тому

    Huwezi kuwa mteja kwenye madhabahu kwa uvaaji wa kijinga.