КОМЕНТАРІ •

  • @sitially2112
    @sitially2112 4 місяці тому +4

    Asante sana umefundisha vizuri sana hatamimi ninalo kama hilo nimenunuwa ila sijaanza kulitumiya safisana dungu hongera endeleya kutufunza hakuna alozaliwa anajuwa bwana lazima tufunzane asante barikiwa

  • @perpetuajambia9021
    @perpetuajambia9021 Місяць тому +1

    Asante sana

  • @ashamohamed838
    @ashamohamed838 Місяць тому +1

    Asante ❤

  • @SaidaHilinti
    @SaidaHilinti 3 місяці тому +1

    Ubarikiwe sana

  • @HabibaIssa-c3b
    @HabibaIssa-c3b 29 днів тому +2

    Mbon mim nimenunua lng jpy lkn naliwash haliwak

  • @veronicamlay9757
    @veronicamlay9757 3 місяці тому +1

    Nauliza nikitaka kutumia plate ni lazima kuset temperature na time??

    • @VitamuJikoni
      @VitamuJikoni 3 місяці тому

      Sio lazima.. Hizo ni function kwa ajili ya oven

  • @cuthbertlingowe
    @cuthbertlingowe Місяць тому +1

    Mm ninalo kama hilo ila haliivishi mbona nakosea wapi

  • @JacklineLubava
    @JacklineLubava Місяць тому +1

    Natakabkujua hii unaweza kupashia au ??

  • @MwanaidiMsuya-w9c
    @MwanaidiMsuya-w9c Місяць тому +1

    Hata mm lakwangu haliivishi itakuwa shida nini

    • @VitamuJikoni
      @VitamuJikoni Місяць тому

      Control plate za juu,chini pembeni ili lipokee moto kote pia jifunze kucontrol moto maana ukiona kitu hakiivi jua moto ulioweka hautoshi kuivisha

  • @HabibaIssa-c3b
    @HabibaIssa-c3b 29 днів тому +1

    Mim mbn lng jpy nimewash haliwak

  • @SifaSawaya
    @SifaSawaya Місяць тому +1

    Mimi ninalo kama hili bado linatoa ushamba

  • @sitially2112
    @sitially2112 4 місяці тому +1

    Ninaswali kaka hivihili haliwaki taa kwandani kamaunapika ili uwone ndani yanikukiwa namwanga ndani siunaona unachokipika hatakama umefunga oven

    • @VitamuJikoni
      @VitamuJikoni 4 місяці тому

      Kubwa lake ndio lina taa

    • @sitially2112
      @sitially2112 4 місяці тому +1

      LAkini nahili unalionajw uimara wake likovizuri lakini mwaga siunapatikana naje feni linalo lakupoza mashine

    • @VitamuJikoni
      @VitamuJikoni 4 місяці тому

      Hili dogo lipo vizuri sana na umeme unaotumika ni mchache

    • @sitially2112
      @sitially2112 4 місяці тому

      As ante Sana mwalimu mungu akubariki sana

    • @sitially2112
      @sitially2112 3 місяці тому

      Habari mwalimu mimi naomba nijuwe hayo majiko yajuu. UK I taka kupikiya nayounaseti moto ngapi iliyapate moto upikiye

  • @magrethpaul6321
    @magrethpaul6321 2 місяці тому +1

    Kupika keki unatumika Moto wa juu au

  • @RusmahKhamisi
    @RusmahKhamisi 4 місяці тому +1

    Ili izo plat zifanye kaz ni lazima uwashe TEMPERATURE

    • @VitamuJikoni
      @VitamuJikoni 4 місяці тому

      Ndio

    • @RusmahKhamisi
      @RusmahKhamisi 4 місяці тому

      Naomba unielekeze jnsi ya kuzitumia izo plat t maan kla nikjaribu nashindwa

  • @graceditrick8731
    @graceditrick8731 2 місяці тому +1

    Nnaomba kuulza hapa juu unaweka sufulia

  • @magrethmsengi1417
    @magrethmsengi1417 4 місяці тому +1

    Umeelewesha vzr sana

  • @JacklineLubava
    @JacklineLubava Місяць тому +1

    Naulizia hii inapasha

  • @cuthbertlingowe
    @cuthbertlingowe Місяць тому +1

    Hv taa huwa mdani haiwaki

  • @sitially2112
    @sitially2112 3 місяці тому +1

    naulizaka ukitaka kuwasha pleti unaseti moto ngapi

    • @VitamuJikoni
      @VitamuJikoni 3 місяці тому

      Plate hauset moto unakuwa unanyonga button tu kama unavyofanya kwenye mtungi wa gesi

  • @AmoniAnania
    @AmoniAnania 3 місяці тому +1

    Natak kujua vifaa vyote vya ndan matumiz yak

    • @VitamuJikoni
      @VitamuJikoni 3 місяці тому

      Kushikilia tray zako za keki au mikate

  • @cuthbertlingowe
    @cuthbertlingowe Місяць тому +1

    Mm ninalo kama hilo ila haliivishi mbona nakosea wapi

  • @HabibaIssa-c3b
    @HabibaIssa-c3b 29 днів тому +1

    Mim mbn lng jpy nimewash haliwak