JINSI YA KUTENGENEZA PEANUT BUTTER NYUMBANI/HOW TO MAKE PEANUT BUTTER AT HOME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @hedayamohammed2781
    @hedayamohammed2781 6 днів тому

    Inachuka muda gani kuharibuka? Ni lazima kuiweka kwenye friji?

  • @MeryLyatuu-to9ks
    @MeryLyatuu-to9ks 7 місяців тому +1

    Barikiwa sana hongera sana

    • @missmasao
      @missmasao  7 місяців тому

      Asante na wewe pia.

  • @musanangomba300
    @musanangomba300 2 роки тому +1

    254 all they from Kenya Wow, thenks so en so .. Le mi do it ma self at home

  • @janethlaban9407
    @janethlaban9407 2 роки тому +1

    Ahsante unaeleweka vizuri kabisa.🙏

  • @alinaninekabeta3517
    @alinaninekabeta3517 Місяць тому +1

    UMETISHA IKO POWA SANA HII

  • @peterthomas7674
    @peterthomas7674 6 місяців тому +1

    Vizuri mnooo dada

  • @joliapantaleo349
    @joliapantaleo349 2 роки тому +2

    Asante

  • @JohnsonJoel-gc3lp
    @JohnsonJoel-gc3lp 6 місяців тому +1

    kumbe kupitia blenda unaweza saga mpaka karanga za biashara jamani au mimi ndio sijaelewa

    • @missmasao
      @missmasao  5 місяців тому

      Ndio unaweza . Biashara ikikua unanunua machine kubwa zaidi

  • @fatmamajeshi8077
    @fatmamajeshi8077 Рік тому +1

    Karanga lazima ziwe izo nyekundu??

    • @missmasao
      @missmasao  Рік тому +1

      Hapana, unaweza tumia karanga nyingine pia

  • @Taymuulicious
    @Taymuulicious Рік тому

    Hello dear tunaweza kutumia blender za kawaida?

    • @missmasao
      @missmasao  Рік тому

      Hello my , yes unaweza dear

  • @sostenesswai7920
    @sostenesswai7920 Рік тому +1

    naenda kutengenza

  • @bakarbakari6569
    @bakarbakari6569 10 місяців тому +1

    Ivi Madam unaweka chumvi

    • @missmasao
      @missmasao  9 місяців тому

      Ukipenda unaweka

  • @mauaabdulrahman6272
    @mauaabdulrahman6272 Рік тому

    Blenda nitumie upande ule wa kusagia vitu vigumu? Au wa kawaida tu

  • @joicengowi6424
    @joicengowi6424 2 роки тому

    Je peanut butter ina uwezo wa kukaa muda ngano?

    • @missmasao
      @missmasao  2 роки тому +1

      Inakaa mda mrefu sana bila kuharibika , ila wakati wakuichota hakikisha unatumia kijiko au kisu kisafi dear.

  • @ScolastikaMangi-th2vv
    @ScolastikaMangi-th2vv Рік тому +1

    Blenda Ni yakawaida hata ya juice my dear

    • @missmasao
      @missmasao  Рік тому

      Habari, ndio hata ta juice haina shida, ila ikiwa ina stuck unazima unaichanganya na kuongeza matufakidogo sana alafu unaendelea ku blend.

  • @zainab-eq9pr
    @zainab-eq9pr Рік тому +1

    Tukiwek bleuband

    • @missmasao
      @missmasao  Рік тому

      Haifai kwasababu blueband inaganda

  • @bakarbakari6569
    @bakarbakari6569 10 місяців тому

    Ivi Madam unaweka chumvi

    • @missmasao
      @missmasao  10 місяців тому +1

      Kama unataka ya chumvi unaweka kama hutaki pia unaacha.

    • @UpendoLusamba
      @UpendoLusamba 7 місяців тому

      Nataka laini ya ujasiliamali naongeza mafuta!!?