Juacali (Baba Yao) ft. Juliani - Si Siri (OFFICIAL VIDEO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лип 2012
  • Juacali (Baba Yao) ft. Juliani - Si Siri
    Beat ya Clemo
    Dir: Charles Luche / Calif Pictures
    SI SIRI LYRICS
    Verse 1: Jua Cali:
    Mungu mi nashuru pahali umetufikisha
    na blessings zote umetupatia
    kufika miaka thirty si mchezo
    kufika hapa mahali tumefika si mchezo
    nakumbuka tukifoot mpaka mguu inauma
    tukikula skuma mpaka tumbo inafura
    ama tukikaa ubao sababu ngoma imetushika
    hio ni sauti yangu kwa CD hebu rudia
    hatuna machine tunalipia studio time
    Clemo tukona 2HRS ya kurecord wacha ni rhyme
    hizi vocals zinasound safi
    time kwisha tunamix hii ngoma mtaani
    Mungu ametubless tukona keyboard yetu saa hii
    Ametubless tukona studio yetu saa hii
    Ametubless tunajisimamia saa hii
    na Ametubless zaidi na maskio ya watu mtaani
    we si unajua venye kufurahisha watu ni ngumu
    kwa hivyo kabla tutoe hii ngoma nashukuru Mungu
    na familia zetu kutupatia nguvu
    na kusimama nyuma yetu kwa hii industry sumu
    tunahustle jamaa chuki ya nini
    tunajaribu jamaa mangumi ni za nini
    mapromoter wengine ndio wako na njaa
    kwanza wa Busia wanavuka boarder ka Jaguar
    haina noma mi hukumbuka mvumilivu
    akijiamini sana ye hula mbivu
    ona saa hii ma corporate wakona sisi
    ma account zinanyemelea amilli
    CHORUS LYRICS:
    Maisha inatubamba si siri
    eeh
    si siri
    maisha inatubamba si siri
    si siri, si ringi...
    VERSE 1 LYRICS:
    Juliani:
    Chuo tulipata D-, kwa life tulikuwa less
    God Akatupa B ikawa Blessing
    jeans buggy marvin
    walidhani kwa kichwa mavi in
    tuko rate ya 4.6
    shati imelaliwa na crusifix
    shati imelalia God within
    hatujavunja law isipokuwa ya gravity
    tunafly nikaa tuliokota feather moja kwa wing
    ya angel Gabriel
    price tag ya mimi, Bill Gates anabargain
    inatake msalaba, damu stain
    ipasuke mara mbili curtain
    sasa sisi saa vipi surplus uwingi
    cheki kipara akiingia kinyozi
    ni ka nywele inamea kwa kichwa pekee
    warembo wanabreath hewa nyingi
    wana extra rib
    si excuse niki fail
    nakam through times two nitahave ku
    na siachi, ka Agagbo wa Ivory Coast
    CHORUS LYRICS:
    Si siri, si ringi...
    Maisha inatubamba si siri
    eeh
    si siri
    maisha inatubamba si siri
    si siri, si ringi...

КОМЕНТАРІ • 201

  • @derrickmurithi4183
    @derrickmurithi4183 3 роки тому +30

    Zile ngoma mtu utumia kutest woofer akibuy🔥big up beat ya Clemmo👏

  • @user-yk2nz6ld1o

    2024 na bado ni moto, enyewe si siri

  • @mishmish.2148
    @mishmish.2148 7 років тому +29

    Sio mchezo miaka tatu saudia,who's watching 2017,thank you Lord for this far.

  • @jeffintabo90
    @jeffintabo90 2 роки тому +2

    Maisha inanilemea bei ya unga swezani nayo jua...sambaza unga wuod onditi🥲🥲🥲🥲

  • @mlkjnr2016
    @mlkjnr2016 4 роки тому +13

    🔥🔥🔥 Hii ngoma ni motooo, beat kali, message fiti, Rhymes mwenda. 2020

  • @tonnythuo3093

    Wagenge waliobobea enzi zao

  • @larryachiya2475
    @larryachiya2475 2 роки тому +2

    Hio beat iko na uzito

  • @thejeff7986
    @thejeff7986 2 роки тому +2

    bado inabamba na si siri 🔥💥🔥💥

  • @lordOfSalem
    @lordOfSalem 10 років тому +10

    Yenyewe hii ngoma ni Cali,,Si siri! JIBABA LAO!!

  • @collokorir7151
    @collokorir7151 4 роки тому +14

    2020 , bado locked in..Genge💯

  • @QeemKimani

    Ni safsana si siri...ni mwotoooo

  • @KeithKaimenyi

    Kufurahisha watu ni ngumu✨✨✨

  • @topgun9962
    @topgun9962 2 роки тому +2

    Chuo tulipata D- kwa life God akatupea B ikawa blessing 🙏

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 3 роки тому +8

    I'm might have failed in academics but I have never failed in life so help me God Amen by Steve Irungu Jermaine

  • @footballbrainer279
    @footballbrainer279 3 роки тому +19

    Best collab for both Juacali & Juliani. JJ. King of Genge & King of Punchlines & Wordplay

  • @clare_jordin
    @clare_jordin 5 років тому +4

    Hiyo beat ni serious

  • @CaptainConstand
    @CaptainConstand 2 роки тому +4

    use me as the like button for juliani,,lyrics master

  • @kunuzebwofy4921
    @kunuzebwofy4921 3 роки тому +4

    Ngori Juakali tunakutumbua sanaa keep the momentum Gengee

  • @n-n-stv4360
    @n-n-stv4360 Рік тому +2

    This song 💯💯💯💯💯...Juliani and juacali Manze ma legend WETU...Hii song Bado inatubamba

  • @barrythetraveller102
    @barrythetraveller102 2 роки тому +9

    Do people recognize how mad Clemo was in making beats