Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mwamba wa malila welcome again to wananchi pole najua unapenda kutangaza mechi nzr kma hii keep it up
Ila mpenja unakera 😂 Samson mbangula anawagonga virungu vya ugoko apa simba
Mpenjaaaaaa ndani ya derby ❤❤❤ In shaa allah tutafunga biidhinillah
Mpenja ni mtangazaji Bora sana
Najua
Najua l
Mimi Naamini Katika Ubora Tuna Kikosi Bora Sana Mchezo Utakua Mtamu Sana,👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚🙏🙏🙏🙏🙏
❤ tuna enjoy sana mwananch atatakata kwa uwezo wa mungu
Oooooooh wahooooh! Mwamba wa malila mwamba kabisa kalibu tena na mungu akupe maisha marefu
Mpenja nakubali sana mkuu unawez kutangaza nimemis ututangazie mechi ya yanga brother
Kumb kesho tutainjoy boli mwamb mpenja🎉🎉
mpenja mimi nakukubali sana
Dhu mi naona mechi ni ngumu sana kwa Leo ❤❤❤❤❤ yanga
Mpenjaaaa! mm nakubali sana
Kesho tuta enjoy Sana mwamba
Jane nakupend buree umependza n stara yako ❤❤
Unatutenga bwana yani kuna michezo mengine hauishi maneno yanga lkn unatangaaza upande wa kuumiza tu
Karibu mwamba wa umalila tupate burudani tupatie a k a nzuri ya mudathir🎉
Mudathir ni zanzibar greatest
Boll Linapigwa Watu Wanaenjoy, Mwamba Wa Umalila Sauti Ya Radi,...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpenja tumekumis sana brother yaani ninakusubiria Kwa hamu
Hiii kweli dabi mwamba wa umalila
Umependeza leo kwa kweli ww dada
Yanga tunafungwa, Mpenja wanini bana?! Sijapenda hata kidogo aendelee kutangaza Ukolo
Na ikiwa hautokuwa na bwana mm nitakuoa inshallah
Kaka nasikia ww ndomtangazaji wa liva na Azamu nasikia ngolikipa wa Azamu nimzuli ila mwambie haja kutana na azizik
SISTER JENI NJOO KTK UISLAM KUSHAPENDEZA KWA KWELI
Mimi ninakupenda utangaze mechi zetu wanainchi lkn sipendi pascal kambombe atangaze huwa anaongea mno
hiyo ni kweli mpenja anazikimbia mechi za yanga
Mpenja tufarahishe kesho ndugu yangu upige mwingi tobo likiingia litangaze lisikike majina mabya kesho japo mawil tu
😂😂😂 u made my day....tobo litangazwe watu wote walisikie
Mpenjaaaaa piga kazibabaaaa
Peter otai ni mwamba kweli kweliii mjifunze kutoka kwke hana porojo za kijinga jinga!!
Broo sema wwe unausimba sana wwe ni simba sana Bola akatanganze zaka zakazii tuu
Mwamba hard son mpenja
Fei ni mchezaji mkubwa tanzania
Ukitangaza na mzinga itakua nima
mpenja usiseme nachukulia mfano wakati hata nafsi yako shuhuda kuwa leo yanga anaenda kuchukua point 3 pia marudiano na simba atachukua 3
saut ya radi leo dimbani kwa mkapa karbu sana kijana wa umalila
Mimi napenda ukitangaz mechi ya yanga
Nikukumbushe kacheza 2
Ukiwa na James samwel inapendeza mnoooo
3-2
Tone majina mapya kwa wananchi wetu vionjo nk
ili li mpenja ni likolo uwa silikubali😅😅😅
3-0
Mpejaaaaa tumekumic sana wanainchiii
Mpenja kula ftari ya wastan t usile sana ili ukikaa katika maik pale ungurume vizur sana😂
SIMBA sports club
Kacheza mechi mbili
Hadjati wangu umependeza sana plzz naomba usivuwagi tena HIDJABU kwakweli WISLAM ni NURU
Mwamba wa umalila
Lab lol a is hujafanya to look ol pop tep
Amecheza mechi mbili