Kassim Mganga - Moto Moto (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- #KassimMganga #MotoMoto #OfficialVideo @SlideDigital
(C) Slide Digital
SMS [Skiza 8091879] to 811
Kassim Mganga Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/kassimm...
Written & Performed by Kassim Mganga
Produced by Sheddy Clever
Directed by Ogopa Videos
Follow Kassim Mganga on:
Instagram; / kassimmganga
Twitter: / kassimmgangaa
Facebook: / kassim.mganga.3
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Wimbo nakupenda xana
Nayo ni moto kweli.mana duh.naona utapelekwa kwa fundi ukapimishwe mashati.hahaha big up.nyimbo nzuri
unatufanya tujiskie afriiiiica......maaaad tune...we noma kaka
tumekutana tamu kwa tamu......, wacha weee
Kudadadeki, bahati mbaya niko kenya nasoma jamani wimbo kali kinoooooma dah nikija bongo lazima nikutafute kasim. Mwaaahhhh!
Ausioo
This guy has a very natural voice bless GOD for the gift HE gave you
verry nice song samia Ethiopia evodiusi wakita kula na mimi watatalie
Yani huyu jamaa ni sonara wa nyonda....Diamond kinyume..
WE JAMAA UNAJUA SANAAAAAA. NAKUKUBALI VIDEADLY
wakitaka kula namimi wakataeee... da melody na massage in everything is awesome
Nisheeda
Cassim Mganga TAJIRI WA MAHABA KALI
Cassim Mganga TAJIRI WA MAHABA you deserve award for your good work on music industry.
Cassim Mganga TAJIRI WA MAHABA hii ngoma jamn
Cassim Mganga TAJIRI WA MAHABA Nice song
safi tajiri wa mahaba hujawahi kosea tuko pamoja from kenya
Nimekukubali endeleza makamuzi mganga
kama mimi nakuaminia kaka umenigusa sana
Namkubali sana
ukoseagi broo unatisha
huu naupendaga sana,bg up cassim mganga
daaaaaahhhh.....!! eeehhh bhn ii ngoma kaliiiii xna tajir
hooo bro cassim wewe nona napenda sana hii goma
mutu mubaaaya..tajiri..una ile ladha yamziki na pose ya kimziki..ur champion swahiba..! hapa wengi umewapoteza
Kassim ndo Neyo wa East Africa good vocalist best song writer
Huu mziki mtamu na tajiri mtamu😃
Nani ako hapa 2021..
Bado naskia hii hit 💥💥
kasimu uko juu bro usigeuke nyuma
Kassim we noma
We ni nomaa.....kweli tanga rahaaa
Tangaaa iwezaaaa
Ngoma kali sana ....
Poa sana ....Mimi Gasha kutoka Uganda kamuli municipality
Ni kazi itakayokubalika siku zote
oyyaaa. bonge la dude! nalisubiria mapepe tu! pamoja
kassim uko juuu nice
I wish to be there for my vacation in holidays bse you have made me liked the place xo much though I have never been there yet! Best wishes to you Cassim, I always love your work
Naaaam
Uko vizur big up bro huu wimbo mm hoiii
moto moto ipo vizuri we acha tu
Umeweza katka hyo nyimbo
ww kweli tajiri wa mapenzi m2 wangu
Hongera bro
Lamia 👆👆👆👆👆👆👆❤❤❤❤❤😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘😘😘♥️♥️♥️
Asante bro....unanifanya nizidi kukupenda kila kukicha
I wonder why this song ain't a hit na vile iko juu....beautiful song
Nice One............. East Africa Ligi kubwa upo ndani!!! Keep up the good work!!!
Yaani tamu sana
vidio imesimama kweli sana........
Hatri snaa
Kwa wimbo uyu umemshinda adi simba
Good music, proud Tanzania
I like him kassim ❤❤❤
mganga we nakupenda kwa miduara yako
noma xanaaaaa tajiri
ummm Kassim me penda sana wewe
on day tutakuwa wote hapo lol!!!!!!!!!!!!:)
Safi sana kazi nzuri big up
Lo!!!! Kassim mambo mbaya..Big up...pap
hahahaaa hapa mapenzi bwerereee
Unafanya kazi nzuri hongera sanaaa
Stupid
U stupid!!
Kudrah Athumani shut the fuck up
good job upo juu hongera sana
ebwanae hi ilikua moto kweri
napenda nyimbo zako sana
bby wake love tamu😍😍😍😍😘
Kazi nzul brooo
Je suis Dj a Paris je suis fans bravo Moto moto
naitafta sana usinune ebu itupie basi hapa
Hajawahi kuzingua
welcome back ,karibu nairobi
Manza bay
Yap ngoma ipo vizur
I absolutely love this song.#kenyansLoveCassim
nivizuri kuweka vionjo vizuri vya sauti, iwapo kasim akifanya colabo na diamond platnum
tanga tangila
niceeeeee song love it..nakukubali sana Cassim
Congratulation u dd t
Hii ngoma iko motomoto
nice job bro always you are number one
hahaha ongeza njonjo
nice broo
Shiiiiiiii tiru meu chapeu para si mganga, de lenda a lenda!!!!!
Good kaka
good work Kassim
Professional International music
wow very nice Song like it...
moto moto oyoooooo
Your songs r big..... in ma world this u killed
Nouma xna brother
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Big up katelephone
#Fantastic✅✅✅
My all time favourite song...played during my wedding..!!
you know what bro keep it up for me you one of first three in Africa, you just Neill it up perfectly bless you.
yes papa!
🔥🔥🔥🔥🔥
Uko vzr bro.
ananipenda
I think moto moto likes you
big up cassim mganga
Kkkkk wewe nomaaaa 2020
cassim nakukubali sn
iko poa kijana
nice
I love this song
The Best of Kassim
Nice one
Good music
Good song brother