ADHABU YA KIFO' VIJANA 170 WAHUKUMIWA KUNYONGWA, MAGENGE YA UHALIFU, KULUNA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 22

  • @mulasaid2959
    @mulasaid2959 14 днів тому +1

    Ndioo kwani wameshaua sana naisapot serikali ya kongo kwa hili❤❤❤❤❤❤

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 15 днів тому +2

    Wao wanauwa na wao wauliwe hawana imani hao itakuwa funzo kwa wahalifu

  • @MerinaIssulu-vl5do
    @MerinaIssulu-vl5do 15 днів тому +2

    Ni binaadamu gani mwenye uwezo hapa duniani wakumuukumu mwengine kwa kuwa yeye mwenyewe anatenda dhambi hayo sio maneno yangu ni maneno ya mwenyezi Mungu jamani ni mambo mangapi tunamkosea Mungu na anatuvumilia anatulinda na kutupatia riziki zetu sembuse mimi na wewe ee jamani tuwe na hofu ya Mungu hao watu waadhibiwe kisheria either hata kufungungwa kifungo cha maisha lakini uhai muwaachie atawahukumu Mungu mwenyewe alie waumba ee Mungu mimi kama mzazi machozi yananitoka na sijawazaa wafikirieni basi hata wazazi wao wako kwenye wakait gani saa hii we wazir tafadhali waachie uhai wao hao vijana😭😭😭😭

    • @ahmadSeif860
      @ahmadSeif860 15 днів тому

      Hukumu ya muuaji nae auwawe, dini inasema hvyo,

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 15 днів тому

      Basi itakuwa kuhukumu kwa zambi ulio fanya ni zambi pia?

    • @MerinaIssulu-vl5do
      @MerinaIssulu-vl5do 14 днів тому +1

      Wakati zinatoka hizo sheria unazozisrma walikuwepo watu waaminifu kwa mwenyezi Mungu ambao ndo walipewa dhamana ya kuyasimamia sasa serikali yenyewe inasema haina dini we unawezaje kuishirikisha na amri ya mwenyezi Mungu na je unafikiri ni halali mwenye dhambi kumuhukumu mwenye dhambi .

    • @firdaus7428
      @firdaus7428 8 днів тому

      @@MerinaIssulu-vl5do ni kweli uyasemayo ndugu

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 15 днів тому +1

    Nyonga wote hao

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 15 днів тому +1

    Iba lakini usiuwe lakini wao hawana imani na wanakuwa wengi serekali ikifanza hivi kila mtu ataogopa

  • @michanoboy8948
    @michanoboy8948 15 днів тому +1

    africa bara la hovyo

    • @belgieboys9867
      @belgieboys9867 11 днів тому

      Mbwaa wewe wengezaliwa bara unalolitaka
      Mbona wewe na wazee wako mumo humohumo ovyo

  • @AlfaMtulo
    @AlfaMtulo 13 днів тому

    Sisulihisho

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 11 днів тому

    Waache wauliwe hata zanzibar ifike wakati wauliwe.
    Kwani mtu akikuibia akipelekwa mahakamani au polisi wanaachiliwa.
    Ni vizuri muhalifu kuuliwa ili iwe mafunzo kwa wengine
    Watu wamechoka mahakama na polisi zinawaachia au wakipigwa kifungo wakitoka wanarejea na wauliwe

  • @rahmahabibu1432
    @rahmahabibu1432 15 днів тому +1

    Ila hawa ni vijana sasa kazi wazee wataweza kuzifanya kweli mana ni wengi

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 15 днів тому

      Hiyo nchi ina watu zaidi ya milioni 70. Kwahiyo kuuliwa wahalifu kidogo tu hata mia 2 hawajafika haipunguzi kitu.

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 15 днів тому

    Wapewe mafunzo yawezekana wengine hawana makosa wasemehewe vijana bado wadogo , yote inasababisha hakuna ajira,hapo tayari washapata vunzo kwa hio kauli tuu ya kunyongwa wapate msamaha na hawatarudia tena.✌🏻

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 15 днів тому

      Wengine waliwahi kufungwa. Wakarejea tena uovu wao. Sasa sijui mafunzo gani watakayoyaelewa.

    • @firdaus7428
      @firdaus7428 14 днів тому

      @ kama haiwezekani wafungwe maisha yao yote

    • @fatmaabdallah6643
      @fatmaabdallah6643 9 днів тому

      Naisapport Congo kama walivyokuwa wanauwa na wao wauliwe tu, wanalia nini, wamesahau walivyokuwa wanawauwa wenzao bure, kwa Mali zao wenyewe, wacha wauliwe nao waone raha yake, inaweza ikawa fundisho.

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 15 днів тому

    Hii ndo njiya pekee ya kuondowa uhakifi na wanobaka watoto pia wakatwe utupu wao

    • @mulasaid2959
      @mulasaid2959 14 днів тому

      Likimtokea mwanao au ww ukatwe utupuu

    • @fatmaabdallah6643
      @fatmaabdallah6643 7 днів тому

      @@mulasaid2959 Ndio na wakatwe tu hata kama ni mume wangu, fikiria uchungu anaoupata mtoto wakati wa kubakwa na wengine wanakufa kwa kubakwa wengine baada ya kuwabaka wanawauwa, fikiria na uchungu unaowapata wazazi wao, je na ww akibakwa wako mbakaji wako aachiwe tu? Congo hongera kwa maamuzi hayo nao waonje.machungu waliyokuwa wakiwafanyie wenzao wasio na hatia.