WAJASIRIAMALI WAPINGA STAND YA MAGUFULI KUGEUZWA KUWA GOFU WAHOJI "WAO NI AKINA NANI, WANAHUJUMU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 414

  • @dicksonmajaliwa127
    @dicksonmajaliwa127 9 днів тому +16

    Msitupangie abilia pakupandia au pakushukia wew ukion haikulipi kufanya biashala apo stendi ya magufuli badilisha mazingila

  • @nazarethally9509
    @nazarethally9509 9 днів тому +33

    Walalamikaji wote sio wamiliki wa mabasi wala sio abira ni wapiga debe naona wameona wanakosa hela

    • @eliasbadyana
      @eliasbadyana 9 днів тому

      Ushaur wako niup?

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg 9 днів тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @alfanikingwan7174
      @alfanikingwan7174 9 днів тому

      Sio wote wasukuma wa mwanza kuwa na akili mbona Kuna TREN ya Mbeya Zambia lakini Kuna mabasi mengi Sana yanaenda huko,,

    • @MtegekiKaijage
      @MtegekiKaijage 8 днів тому

      Unakosa uelewa wewe unadhani kwanini ilijengwa stand km kila mtu anashushia anakotaka

    • @justinemuzanye7067
      @justinemuzanye7067 8 днів тому

      Raisi Samia apunguze ukimya na upole unaopiriliza. Kesho atoe tamko, mabasi yote yashushie Magufuli stend. Asisahau dhamilayake na Magufuli

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 9 днів тому +21

    Serikali mnamkosea Marehemu J.P.MAGUFULI Jinai kubwa na amefanya mengi mazuri. Kama Kuna vibaka hapo muwazibiti.Pia Serikali inakosa Mapato.

  • @zephaniamkondya9977
    @zephaniamkondya9977 9 днів тому +28

    Ubinadamu na utu ni muhimu sana!Kushusha na kupakia Urafiki haina maana mabasi hayaingii kituo cha Magufuli kushusha na kupakia.Mabasi yanaingia.Serikali ikawaonea huruma abiria wanaoishi mbali na Mbezi kwa kuwapungizia gharama za kusafiri pamoja usalama wa kutoka na kurudi makwao.Mabasi yashushe na kupakia Mbezi hata Urafiki pia kuliko abiria alale kituo cha Magufuli ni shida na taabu sana.

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 9 днів тому

      Ivi nyie wa tz kama nyinyi mavi mna tokea wap maana mnakuakama bendela ina fuata upepo wakati magufuli akiwa ai pale watu walikua Wana panda galii vizilii uduma mzulii etii Sasa ivii hooo shekilango oyeee kwani ao watu wote wanao safilii wana ishiii shekilango inatakiwa ifike wakati mjitambue nynyii msiejielewa

    • @AbelCharles-co6qb
      @AbelCharles-co6qb 9 днів тому

      Point yako haina mashiko...kwan wakat stend ipo ubungo mbona tulikuwa tunatoka mbz kwenda kupanda bac ubungo?

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 9 днів тому

      Pongezi mkuu umenena point ila wasikuelewe 👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏

    • @danielhumble4292
      @danielhumble4292 9 днів тому

      Kama unazungumzia huruma basi wakashushwe majumbani kwao na sio urafiki,lkn pia akili yako ni zero au uvivu wa kufikiri pole

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 9 днів тому

      Ni kweli hiyo ni hujuma kama mtu katoka mbagala why aende shekilango kwa nn wasinyoshe mbezi. Wizi mtupu

  • @mcback4384
    @mcback4384 9 днів тому +27

    Next month SGR Dodoma Inaanza hamtaona hata nzi hapo ya Mwanza ikiisha ndio pataota nyasi

  • @AllDesigningTZ
    @AllDesigningTZ 9 днів тому +7

    Tena mallard umechukua picha wakati mabasi yamesha ondoka na wewe una wasapoti nini maana munatengeneza picha ionekane kama hapo hakuna gari waga lina fika ACHENI HIZO sisi abilia tunapata shida sana kwanza wapigadebe wamezidi na udalali mwingi

  • @adrianjames6637
    @adrianjames6637 9 днів тому +14

    Tatizo hapo Magufuri wezi wengi na usumbufu mwingi sana

    • @maloukabemba1230
      @maloukabemba1230 8 днів тому +1

      Ni kwelii Kabisa Wana usumbufu mpaka unachoka mtu anaona Bora akapandie kwenye ofisi zao

  • @johnshauri3130
    @johnshauri3130 9 днів тому +8

    Msitupangie sehemu ya kushukia nauli hamtuchangii wezi wa stendi wote mkalime!

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 9 днів тому +18

    Nendeni mkalime nyinyi wote madalali na vishoka wezi watupu mmejaa hapo Mbezi msimtaje Rais katika hili kutaka kupata huruma yake kituo ni cha hovyo ni kichaka cha wahalifu.

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 9 днів тому +4

    Hapo Kila Mtu anavutia Kwake Sisi abiria wa Chanika Hatutaki Tunataka tupandie ukuuku Kwetu.

  • @AllDesigningTZ
    @AllDesigningTZ 9 днів тому +15

    Millard Una wahoji na abilia hawo jamaa wanaangalia tu matumbu yao dar ni kubwa na watu hatuwezi kwenda mbezi eti kufata mchele kilo mbili nilizo tumiwa wakati gari lina ofisi huku kwetu ACHENI UJINGA

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 9 днів тому +2

      Na kwa nn wa tenge nezee site sitendi mitaani mbona wakati wa magu walikua awa jengi sitendi mitaani Sasa ivi kafa ndio Wana Jenga Kwanzaa ayo nikukimbia Kodi naao niweziii

    • @AllDesigningTZ
      @AllDesigningTZ 8 днів тому +1

      Wewe unazani stendi zimeanzishwa baada ya magu kufa hapana urafiki ipo kabra hata magu sio mbunge yad zamagari ziko kila kona

  • @unknownbutterfly6310
    @unknownbutterfly6310 9 днів тому +8

    Kwahiyo gari garage yake ipo Chanika, akitoka huko aende na gari tupu aache abiria wanaotokea maeneo hayo aende akasubirie Magufuli? Nyinyi nanyi mnavutia kwenu sio kwamba mna roho nzuri sana na abiria....

    • @user-vl5tz6xt2m
      @user-vl5tz6xt2m 8 днів тому

      Haileti maana kabisa, gari la chanika liende na abiria wake, wafikirie njia za kutafuta hela zngne

  • @DM_15
    @DM_15 9 днів тому +15

    Tatizo pale wahuni niwengi sanapale magufuli. Kwa wanaosafiri maranyingi mtakua mashahidi namna ya kingia pale hakuna ustaarabukabisa watu wana kuvuta marahuyu begi marahuyu anakushika mkono watu wahovyo sana pale ukumwanzo unaingia vzri tuu unalipia vzri ukisha pita tuu unapokelewa nawahuni. Ukikuta mwanamke anakupokea ndio balaa niwashenzi sana pale standi. Hawawote wanaosema hapa niwahunituu nawachukuasana maana pale nilisha poteza mzigowangu wakati nazuiabegi kunamwingine alinipora mfukowangu . Hawa watu sio wastaarabu kabisa ukiwa kwenye eneolao wanalofanyia uhuni. WAHUNI WOTE HAWA

    • @user-df7xo5nu9z
      @user-df7xo5nu9z 9 днів тому +3

      Kwel wizi upo mmoja aliibiwa simu hapohapo

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 9 днів тому +3

      Wahuni wamezidi hapo unakata tiketi vizuri kesho ukija na mzigo ni hatari wanataka ulipie sina cha kusema ni wizi ni utapeli ni vurugu uhuni wote uko hapo😏😏😏

    • @shabanirajabu2002
      @shabanirajabu2002 9 днів тому +3

      Yawekwe mazingira bora ndio muhimu

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 9 днів тому +1

      Wewe iyo wnacho zungimzia apa kupakia abilia Sasa ww kama una taka usiitwee au una potosha uma nawee mwiziii nn

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 9 днів тому +1

      ​@@RomanMwinyi andika ueleweke

  • @amasaro70
    @amasaro70 9 днів тому +3

    Magari yote tayari yanapita Mbezi, hata kama yametokea kwingine. Na yanalipa madhuhuri stahiki. Shida yenu wapiga debe, mnapenda ile hali ya msongamano na mbanano unaotokea abiria wanapokuwa stuck hapo kwenu. Nchi imeshasonga mbele na inaendelea kusonga, siku hizi hata ticket tunakata kupitia mitandao. Siyo rahisi kurudi nyuma.

  • @pancrasmalamla9799
    @pancrasmalamla9799 9 днів тому +3

    Wewe ndiye unayeihujumu Sababu mmetufanya abilia kuwa mtaji kwenu mnatuuzia vitu Bei ya juu magari yanaingia stent na wahusika wanalipa mapato yote usalama wa abilia upo chini ya Mungu na wahusika wa Mabasi ipo siku mtajua nguvu ya Abilia

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 9 днів тому +8

    Ukienda hapo unagombaniwa kama mhalifu watu wanaokudai wakuuzie tiketi ni wengi sana hakuna amani

    • @user-qx7yw5hq5i
      @user-qx7yw5hq5i 8 днів тому

      Kwan umeambiwa ukatie ticket magufur c ukatie hata nyumbani kwako online,tatizo mkifika stend mnababaika ndo mana mnavutwa vutwa,lakin ukiwa na msimamo hakuna anaekusumbua

    • @user-qx7yw5hq5i
      @user-qx7yw5hq5i 8 днів тому

      Kwan umeambiwa ukatie ticket magufur c ukatie hata nyumbani kwako online,tatizo mkifika stend mnababaika ndo mana mnavutwa vutwa,lakin ukiwa na msimamo hakuna anaekusumbua

  • @JuliusMadaha
    @JuliusMadaha 9 днів тому +7

    Msidanganye watu vinginevyo nunueni mabasi yenu siyo kulazimishana hili ni soko huria

  • @boazmvellah6286
    @boazmvellah6286 9 днів тому +3

    Mnakosea sana mnavyomuomba Rais, Rais hyo ni kazi yake na sio kuwa anajitolea so mnapokuwa mnataka kitu mnapaswa kumuagiza na sio kumuomba mnamwombaje na wakati Urais ni kazi tuliyomwajili na anapaswa kutekeleza majukumu yake.

  • @user-fs6lp3op1x
    @user-fs6lp3op1x 8 днів тому +2

    Kaweee tunatakaa stendii ya mabasii ya mikoanii tumechokaa kwenda mbez usikuu usikuuu😅😅😅😅😅

  • @bakarikamote5709
    @bakarikamote5709 9 днів тому +14

    Tatizo kuna usmbfu mwingi umo vishka walanguzi wengi hpo

  • @AbdiAthumani-es7og
    @AbdiAthumani-es7og 9 днів тому +17

    Kwani lazima tatizo hapo wezi wengi shekilango hoyeee😂😂

  • @Zenny89
    @Zenny89 9 днів тому +9

    Shida ya hiki kituo..ukiingia ndani..kila mtu anataka kukupiga hela…Kwahiyo ni bora kupakia nje..na pia wadau ni wengi sana kwenye kituo kimoja

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 9 днів тому +5

    RIP magu

  • @alawisaid280
    @alawisaid280 9 днів тому +6

    kituo kina shida kuna mijizi humo mitapeli watu wana kilalamikia sana

  • @johnshauri3130
    @johnshauri3130 9 днів тому +3

    Kila mtu awe huru tusilazimishane Kwa maslahi yenu ya kuwaibia abiria na kuwaongezea gharama za usafiri

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 9 днів тому +8

    TATIZO MAJIZINWENGI

  • @nazarethally9509
    @nazarethally9509 9 днів тому +9

    Basi langu munipangie pa kushusha

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 9 днів тому +2

      Pole tatizo lako ni uelewa iv unadhani Kila mwenye basi akishushia abiria kwake unadhani usalama wa nchi utakuwaje? Lakini na mapato ya nchi yatapatikanaje?

    • @Japanese-lz1or
      @Japanese-lz1or 8 днів тому

      Na ww nimpiga debe wale wale tu😂

    • @letthedeadburythedead2148
      @letthedeadburythedead2148 8 днів тому

      ​@@didasseveline9013Kwahio unasema kwamba mabasi yasipoingia stand usalama wa nchi uko hatarini pamoja na mapato yake?

  • @revocatussebastian2427
    @revocatussebastian2427 8 днів тому +3

    Angekuwa magufuli wangemchezea ivo kila mtu kushusha nakupakilia anapotaka

  • @nehemiakingima6213
    @nehemiakingima6213 9 днів тому +4

    Kwakweli serikali imefanya jambo la maana kill kituo ni kikubwa mnoo bila hivyo kitakufa. Tatizo sisi watanzania hatuna jema..hongera mh samia

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 2 дні тому

      TAX kutoka tandika mpk hapo kituoni mbezi ni Elfu thalathini ndiyo maana tunapandiya huku kupunguza gharama

  • @shadrackjacob800
    @shadrackjacob800 9 днів тому +2

    Wezi sana humoooooo hamna heshima mnasumbua abiria.

  • @thomasmwambe4372
    @thomasmwambe4372 9 днів тому +3

    Nyie wezi walanguzi munatusumbua tukija hapo kuvutwa mashati hadi yanachanika ovyo kabisa nyinyi

  • @himidijenga535
    @himidijenga535 9 днів тому +2

    Tatizo hii stend ipo mbali sana aisee

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 9 днів тому +3

    Ujamaa umeiharibu sana Tanzania 🇹🇿 hao ukiwauliza ni wanafanya nini hawana jibu la maana wengi wao ni wezi wapiga debe karne hii unampigia Nani debe kituo kilitakiwa kiendeshwe kisasa weka display monitors/screens na vipaza sauti matangazo, ondoa wapiga debe wote toka nje ya geti kila anayeingia awe na kazi maalumu kuwe na control room na mtu akionekana anazurura ovyo bila shughuli maalumu police wanamkamata au anawabuguzi abiria

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 9 днів тому +4

    Hii stand iko mbali sana, kama
    Unasafiri saa tisa ya usiku hakuna mwendokasi na wengi hatuna ewezo wa ku kodi taxi

    • @juchaonline4084
      @juchaonline4084 День тому

      Uboya uwo ,,kwann dar aijaamia na kwenu sehem ikipangwa imepangwa,,uwanja wa taifa uko mbal na watu wengine lakin wanaenda kufata huduma,,bunge liko mbali dodoma lakin watu wanaenda,,we ubazan ukitaka kupanda tren ya mwendokas unaenda wap lazima ufate kituo kiliko Acha ushamba ,nyie ndio wale utaskia umejenga mbal kwel,,ukimuuliza mbal na wap utaskia mjin,,enhe alioko kigoma utasemaje

  • @user-te1gg8uj7j
    @user-te1gg8uj7j 2 дні тому +1

    Hivi hamuwezi kuacha kumsifia huyo rais kinafiki ili msikilizwe wakati mioyo yenu inaongea vingine??

  • @user-vl5tz6xt2m
    @user-vl5tz6xt2m 9 днів тому +2

    Tafuteni njia zngne za kutafuta riziki huwezi kuwachagulia watu dunia ya leo waende wapi kupata usafiri,huo ni uvivu wa kufikiri.

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 9 днів тому +8

    Kituo cha mabasi kirudishwe UBUNGO/URAFIKI.

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 3 дні тому +1

    kaka mm naina mabasi yanafanya sawa, huwezi kumpangia mtu pakushukia

  • @user-pf4gz4ns8m
    @user-pf4gz4ns8m 8 днів тому +1

    Mlizoea udalali kwa abiria, saivi mmekosa Cha kuongea nmajifanya mnataka mabasi yarudi huko..

  • @user-gc8jc1sh4z
    @user-gc8jc1sh4z 9 днів тому +1

    Mm naishangaa sana serikali yetu kwasbb stendi imejengwa kwa zaidi ya billion 50 kituo kimebaki empty hakuna mabasi yanaingia kupakia abiria kila tajiri anatengeneza sehemu yake ya kufanya stendi.serikali ianglie hili kwa umakini

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 9 днів тому +1

    Kwa hilo hapana,ni usumbufu kwa abiria.Ni kweli wanawasaidia abiria.hata huko kuna usalama sanaa.

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 9 днів тому +3

    LIGEUZENI SOKO LA KUTEREMSHIA MAZAO YAKITOKA MIKOANI

  • @filbertdamiani101
    @filbertdamiani101 9 днів тому +1

    Kuwe na biashara nyingine kusiwe na wapiga debe, siku izi tiket ni online, acheni mabasi yajiendeshe yenyewe, mnalangua abiria

  • @Simbafamily.
    @Simbafamily. 9 днів тому +10

    Acheni ujinga wapigadebe mnapiga makerere Kwa ajir ya maslah yenu binafsi

    • @dennisezakiel3380
      @dennisezakiel3380 8 днів тому

      Wewe unaongea kitu , serikali imetumia galama kubwa sana , kwahy mabasi yasipoingia maana mapato yanakosekana

    • @Simbafamily.
      @Simbafamily. 8 днів тому

      @@dennisezakiel3380 magari yanaingua stand yanashusha abiria alafu yanatoka kwenda sevis na car wash. Sasa hapo stand Kuna hizo huduma?

  • @damianmhagama4398
    @damianmhagama4398 9 днів тому +3

    Kwa hili naunga mkono hoja. Hakuna faida ya kuwa na stendi iwapo mabasi yenyewe yanaishia juu kwa juu

    • @user-vd2lm9ng1g
      @user-vd2lm9ng1g 9 днів тому

      Ni kwel maana hata stend ya dodom Amna utofaut Kuna haja gan ya kua na stendi

  • @imanibakili8028
    @imanibakili8028 9 днів тому +3

    Njia sahihi wasizuie watu kupanda gari mahala kwingine lakini kila gari ilazimishwe kuingia na kuchangia mlangoni boss akiona hasara atalazimisha root ianzie hapo na iishie hapo

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk 9 днів тому +2

    Ngoja nigombeee uwaziri kazi kupambana na dada poa bizee hili havioni tu

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 9 днів тому +1

    Mnajua bei ya bus moja shi ngapi na nyie nendeni mkanunue mabus muweke apo stend msiwapangie mabos cha kufanya

  • @abdia.hassani4384
    @abdia.hassani4384 9 днів тому +1

    Hao wadau wote wanafanya nini hapo , stand ni kero kwa abiria unavutwa vutwa tu

  • @user-tm3dx2ey7j
    @user-tm3dx2ey7j 9 днів тому +3

    Stendi imejengwa Kwa nn mabasi yasiingie kama vipi bomoeni hiyo sitendi basi

  • @dominickchristopher1669
    @dominickchristopher1669 9 днів тому +8

    Sisi abilia tunaogopa kuibiwa apa mbezi

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe 9 днів тому +1

    Kwa nyie mnaona sawa! Ila abiria kwa stand hiyo ni kero aisee walanguzi ni wengi kuliko abiria. Mi mwenyewe napandia Shekilango!

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 9 днів тому +2

    Alafu utasikia mama anafanya kazi yakukopa ndiyo anafanya

  • @hostkayava6768
    @hostkayava6768 9 днів тому +3

    acheni ujinga nyie an mtanzania anaish zake chanika au vikindu na kuna bus inalala huko, bdo mnataka ateseke purukushani za daladala ikiwa anaeza kuanzia safar yake mtaani kwake ksa point ya kutengenezeana fursa

  • @LesingoBaraka
    @LesingoBaraka 9 днів тому +3

    Sasa hivi tren ya umeme 😂 bado hamjasema

  • @ikokijuma-zv7wd
    @ikokijuma-zv7wd 9 днів тому +2

    Wote wanaongea usenge tu nitoke gomz nije mbezi kufanya nini wahuni tu nyinyi

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 9 днів тому +2

    Sisi wenye mabasi hatutaki

  • @TaucyMasuod-md8tv
    @TaucyMasuod-md8tv 7 днів тому +1

    Mpaka wapiga debe waishe ndo tutabandia hapo

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 8 днів тому +1

    Imekula. Kwenu

  • @Holiallen
    @Holiallen 9 днів тому +2

    Kwani lengo mama ni kusafirisha abiria au nyie kuuza bidhaa??

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 9 днів тому +1

    Wekeni kituo cha polic tatizo dar vibaka wote wanaishia stendi. Abiria wanakua kama yatima hapo.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 7 днів тому

    Mmmmmmh mitihani ,

  • @marryngaiza2061
    @marryngaiza2061 9 днів тому +8

    Tatizo ni uongozi wa kituo, mpangilio mbovu na watu wanaibiwa sana

    • @simonjoshua1233
      @simonjoshua1233 9 днів тому +2

      Hapo wako wadau ukizubaa begi halipo hasa wakati wa kushuka

    • @user-fx5hg9zb7u
      @user-fx5hg9zb7u 9 днів тому +1

      Muweke urinzi vibaka sio pow apo

  • @user-sm7gj4mn5n
    @user-sm7gj4mn5n 8 днів тому +1

    Ongea yenu ila habari ya kwamba miaka mitano Tena mimi naona inatosha ya

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 9 днів тому +1

    R. I. P JPM. Pasipo maono taifa huangamia. Mwenye maono kaenda na maono yake.Tatizo viongozi dhaifu sana.

  • @archbordygodfrey2614
    @archbordygodfrey2614 9 днів тому +1

    Good points guys

  • @pastorgodwinchengula7848
    @pastorgodwinchengula7848 9 днів тому +2

    Nanyi hamuelewi kitu gani? kwasasa abiria ni wachache hapo kwakuwa kuna mgawanyo wa Safari lukuki sio kama zamani sote tunajaa asb kuanza Safari hapo na sote kuanzia jioni hadi mida ya saa 6 gari zinaingia kama ilivyokuwa Ubungo lakini leo mikoani kuna Magari ya asb, mchana, jioni, usiku kwanini tujae hapo stendi kwa mkupuo? Tafuteni namna nyingine ya kufanya biashara sio kutaka kuumiza wasafiri kwa kuendelea kulipa mara mbili mbili fedha ngumu aisee.

  • @worldlytech.8991
    @worldlytech.8991 6 днів тому

    Njaa ni adui mkubwa sana yani hawa wafanya biashara wachache wana taka jidai wana uchungu sana na hiyo stand kisa wana miliki frame ndani ya stand bila kuona msaada wa hizo bus terminal kwenye mitaa mbalimbali. Wanacho kisema hawaoni kuwa wanavutia kamba kwao wakati abiria walio wengi wanazidi shukuru terminal services karibu na makazi yao.

  • @fredsanga9461
    @fredsanga9461 3 дні тому

    Tukienda kupandia basi stand ya Kilimanjaro pale Shekilango,
    Kwanza, tunaingia bure
    Pili, Choo bure
    Tatu, Usalama wa kutosha.
    Huko Magufuli, migambo waonezi, vibak, ulanguzi kila kitu kwa malipo loh!

  • @user-ki7hd3lg2q
    @user-ki7hd3lg2q 9 днів тому +6

    Kama serikali mnaruhusu kila sehemu kuwe na stend na cc wakazi wa mbezi tunataka tujengewe Airport maeneo ya mbezi maana tunapata shida wakati wa kwenda nje ya nchi maana Airport ipo mbali

    • @user-df7xo5nu9z
      @user-df7xo5nu9z 9 днів тому +1

      Tunaomba usalama uwepo hapo pana wizi.tumesfr juz kati tu mtu kaibiwa simu usiku sa1

    • @nazarethally9509
      @nazarethally9509 9 днів тому +1

      Nunua ndege yako ukapaki maana hayo mabasi ni yao ndo maana wanaenda kwenye stand zao kama shekilango

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 днів тому +1

      WATU WANATOKA MORO TANGA NA CHALINZE KIMBIJI RUFIJI VP NA WAO WAJENGEWE AIRPORT??? ATI MBEZI MBALI 😂😂😂😂😂

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 9 днів тому

    Serikali wawe makini. Na mambo ya hovyo Wanashindwa nini kusimamia tamuko lao? , but tuachane na mambo ya kubembelezana. Pia kama hakuna usimamiz wa sheria kwenye. Kituo hicho. Waturudishe ubungo kilipokua zaman hicho kituo Cha mabas hadi. Tukipata. Viongoz. Wengine. Wapenda maendeleo. ili. Wasimamie. Vyema. Maono ya maendeleo. Kwa faida ya wengi💪💪

  • @oscarmtavangu3053
    @oscarmtavangu3053 8 днів тому

    Shida ni kwamba mnajiangalia ninyi tu, na si abiria mmoja mmoja, hivi mkazi wa Chamazi anakwenda Mufindi Iringa, basi linaondoka saa 13:17 12:00 asubuhi, anafikaje hapo? na ni kwa gharama za ziada za nani?

  • @youngzubelyzubely2288
    @youngzubelyzubely2288 8 днів тому

    Mali ya Mareham inatelekezwa..😢😢😢 mbezi pazur sana kwenye usafili

  • @ElishaMahungo
    @ElishaMahungo 8 днів тому +1

    Hivi nyinyi mnafikira kwel eti mm naenda posta nishuke sitendi ili nilipie tena niende posta embu tafuteni mada nyingine ya kuongelea

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 9 днів тому +2

    WAIHESHIMU HII STAND KWA KWELI

  • @sara-os9dn
    @sara-os9dn 8 днів тому

    Point sana

  • @KBMMedia-mu1si
    @KBMMedia-mu1si 9 днів тому

    Dah

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ 22 години тому

    😁😁 imekula kwenu...
    Msitupangie pa kupandia na kushusha...
    Yani mimi unipitishe kwangu eti unanipeleka Mbezi...!?
    Mbezi nikafate nini?

  • @SAMPonda
    @SAMPonda 8 днів тому

    Pi sasiv mabus mpaka usiku nishuke saa 8 usiku nianze kuhangaika na usafili kwenda mbagala na na bus linalala mbagala selikali tuomba muliangalie hilo tafazali tunapata changamoto kubwa tukishukia na kuazia hapo wengine tunatoka mbali,

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 9 днів тому

    Dah... nchi inaharibiwa kweli. Utasikia wanauziwa Waarabu. Kisa tumeshindwa kukisimamia.

  • @AshaShehoza-nt7hl
    @AshaShehoza-nt7hl 9 днів тому +1

    Mawaiza

  • @leonardjohnson2058
    @leonardjohnson2058 8 днів тому

    Mama nimsikivu ndo mana hataki wanae waje hapo waibiwe na SGR imeaanza mtanyooka tu

  • @isamony58
    @isamony58 9 днів тому

    Tatizoo rushwa sana iyo sitendi abiriya anayumbishwa mpaka basi linamuwacha mara kangoje darajani yani niusumbufuu acha tupandiy chanikaaaa

  • @ShabaniAbdala-tl2sh
    @ShabaniAbdala-tl2sh 9 днів тому

    Kiukweli lile listendi kali jamani pale serikali ipewe hongera zake..mimi sioni umuhimu wa watu kulalamika ile ndio stendi ya mkoa basi tutashuka twende makwetu ...

  • @NdayihayikiChobaliko
    @NdayihayikiChobaliko 8 днів тому

    Ni kama mzee wangu aliliota hili wakati buss stand hiyo inapewa Jina lake, namnukuu alisema msije kuipa Jina stand hiii halafu wanyonge wakateseka kwa jina langu

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 9 днів тому

    Nikweli kabisaaa nchi aiendi hivo aiwezekani vituo viko mtaani ata soko laa mbuyuni soko liko mitaani soko liamiswe litafutwe soko kingine watu wanauzia vituo chini niuchafuu mtupu huku chemba zaachoo zinavujaas

  • @husseinmushi
    @husseinmushi 8 днів тому

    kuna mtu hajameza script vizuri

  • @DivNg27
    @DivNg27 9 днів тому

    Hawa wapiga debe ni wachache mnooo...wananchi(Abiria) tunaofurahia huduma za kushusha sehem zingine ni wengi mnoo kuliko nyie wachache,na sisi ndio wengi kuliko nyie,Hamuwezi kusikilizwa Ng'o.

  • @cretrinomz
    @cretrinomz День тому

    kweli

  • @MasoudyMichael-ox7xl
    @MasoudyMichael-ox7xl 9 днів тому

    Mbona unatuchanganya unamshukuru raisi kwamba kaliona sasa mnalalamika nini moiganueni sisi pia tunataka kushukia sehemu tunayotaka😅

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 8 днів тому

    BRT. Stand. Sijui SGR.

  • @user-df7xo5nu9z
    @user-df7xo5nu9z 9 днів тому

    Tatizo sio wateja amna roote ya usiku imekomboa watu.watej wanaingia mchana sio usiku tena.vituon huko zinalala tù ila subh zinaingia stand kama kawaida asubh

  • @JosephSalema-pg4ot
    @JosephSalema-pg4ot 8 днів тому

    Wameongea kuangalia upande wao tu kwan huko barabarani si wapo wakaguzi.? Hayo malalamiko yangekuepo endapo wangekua abiria wa mbezi wanapelekwa gomz afu warudi mbezi, ila watu wamabasi wanafanya uungwana wanaingia mbezi magufuli then wanatoka wanaenda wakuwashusha abiria katika vituo vyao mpaka kufika mwisho gomz... mumekosa point wadau

  • @tisgftanzania4593
    @tisgftanzania4593 8 днів тому

    Mkuu wenu wa Wilaya anahangaika tu na Machangudoa
    Anaacha miradi ya msingi inakufaa hapo

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 9 днів тому

    Hakuna shida matumizi ni mengi tu inaweza kuwa stend na pia ikawa kituo cha matumizi mengine ya Kitaifa..

  • @nguruwekikwete1635
    @nguruwekikwete1635 9 днів тому

    Tazizo mzanzibar

  • @KazeniMshana
    @KazeniMshana 9 днів тому

    Wezi ni wengi ukishuka ukachukua bajaji anakwambia elfu 50 yani bajaji bei kuliko nauli ya bus sasa si bora nikashukie urafik

  • @isamony58
    @isamony58 9 днів тому

    Tatizo umo ndani Weziii wengii mnakeraaa mno mawasumbuwa abiriya sanaa

  • @Worldunite
    @Worldunite 9 днів тому

    Hatutaki,msitulazimishe

  • @laizermaasai6759
    @laizermaasai6759 8 днів тому

    Kwa hiyo nyie mnajifikiria wenyewe tu na wale kule shekilango inakuaje hizo frem zao na wale wanaojipatia riziki hukooo. Achen tamaaa. Alf kingine sio kila mtu ana hela yakuweza kufuata gari mpka huko mbezi.