SHOCKING! Brian Chira's Grandmother Exposes Baba Talisha Over Funeral Money in Ugly Fall Out

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 кві 2024
  • #commentator254
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 314

  • @keziahnaiya2460
    @keziahnaiya2460 Місяць тому +36

    Ukiona MTU akikataliwa na watu wao ni drama queen

    • @janetmweu3304
      @janetmweu3304 Місяць тому

      Very true.alikua amevalia ngozi la kondoo ndio apate hio doh akwende na huko hana adabu

    • @nancyranji2290
      @nancyranji2290 Місяць тому

      Very very true dear

  • @Mukavana138
    @Mukavana138 Місяць тому +34

    That's why they say that never trust anyone in this world ukijitolea kusaidia unakuwa mbaya wao seriously 😳 I really feel for Baba T

    • @janekadzoyeri-wg7bi
      @janekadzoyeri-wg7bi Місяць тому +1

      Very true ashasaidika and now she's talking shit Shosho kuwa mtu wa shukrani

    • @Mukavana138
      @Mukavana138 Місяць тому

      @@janekadzoyeri-wg7bi watu wengine hawana roho ya utuu

  • @janetmweu3304
    @janetmweu3304 Місяць тому +48

    Binadamu hawana shukrani.huyo mama atalia tu siku moja

  • @user-tx3tw7pt6x
    @user-tx3tw7pt6x Місяць тому +36

    I hate how this story is going I would wish it would stop.......

  • @user-sl5jz4nl8u
    @user-sl5jz4nl8u Місяць тому +19

    If i was baba t this is what i can do:
    1. Say how much Money was contributed
    2. Money spend and how it was spent
    3. The remaining money( current money in account)
    4. Take shosh to bank while accompanied by someone she change the pin and put new pin which only her alone know.
    5. Nijitoe kwa hiyo stori ya kuhusika na pesa shosh afanye kenye anataka nayo .
    6. Never be concerned if the money is well spent or not .
    7. Focus on my life . period

    • @carolinecongo1179
      @carolinecongo1179 Місяць тому +1

      Very unfortunate

    • @beamccracken2838
      @beamccracken2838 Місяць тому +1

      Ingrate

    • @tracysonia92
      @tracysonia92 Місяць тому +1

      He was warned na ule spokeswoman waah roso agemskia kitambo Sasa ona......if this mama atastand na baba T alikula doo ivyo ndio social media itachukulia but atulie too let God do his work

    • @mimstok
      @mimstok Місяць тому +1

      Did this shosho even Have a bank account?

  • @topistawanjiku8279
    @topistawanjiku8279 Місяць тому +20

    🤔🤔🤔like serious vle baba T alijitolea aki waaaaa....,never wait human being to thank you

  • @puritynkatha5599
    @puritynkatha5599 Місяць тому +14

    No peace for the weekend, pretender's are worse than.......,,, uwenzi take advantage ya mtu amekufa na akiwa uhai you did the same,,,, renovation ya 5m be serious,, shosho fight for justice for chira 😭

    • @sylviahkinyangi9892
      @sylviahkinyangi9892 Місяць тому

      This is so wrong in many ways,, Faustine has so many questions to answer, when Faustine was being called out he was so arrogant,he didn't want to speak to anyone,Sasa Hizi ni Ma Whaaat? poor Chira

    • @user-uo6fw1ug9n
      @user-uo6fw1ug9n Місяць тому

      Yeah this guy is a con and he is trying to jump accountability...
      Anakula doo ya matanga, so pathetic 🙄 😒 😑

    • @muindimulwa2102
      @muindimulwa2102 Місяць тому +1

      Huyu jamaa
      Nlisema hapa kwa kifo ya chira ameparticipate 90%infact he's the sole planner sasa oneni anataka renovations pekee zikule 5m ndo shosho arudi Tena kuwa maskini ,, huyu jamaa n hypocrite mkubwa sana

    • @MelissMburu-wq2ry
      @MelissMburu-wq2ry Місяць тому

      Hutachapwa na watu wake 😂

  • @SHEILAADISA
    @SHEILAADISA Місяць тому +3

    Take 1sec to fear people hee ,this tym mumefuka mipaka we stand with baba t , obidan one day you will remember this day and it will be too late we na shosho

  • @janetakinyi2968
    @janetakinyi2968 Місяць тому +11

    The only problem Baba T alifanya nikujifanya family friend 😂😂😂😂 angeachana nao vile mazishi iliisha ajitoe vile wengine😊😊😊

    • @VictoriaMueke-fo9gy
      @VictoriaMueke-fo9gy Місяць тому

      Hello was only doing his part 😏😏 we naweee tenda wema nenda zako

    • @wangarimuthui-du6vw
      @wangarimuthui-du6vw Місяць тому

      This is a cooked story

    • @wangarimuthui-du6vw
      @wangarimuthui-du6vw Місяць тому

      Ulifanya makosa kubwa ingewasaidia na utoke biu sasa inakaa nikama ulitake advantage after kuwa saidia huyo sush Sio wazimu

    • @MelissMburu-wq2ry
      @MelissMburu-wq2ry Місяць тому

      Sure​@@wangarimuthui-du6vw

    • @MelissMburu-wq2ry
      @MelissMburu-wq2ry Місяць тому

      ​@@VictoriaMueke-fo9gynikweli but angejitoa tu badala ya mambo mingi

  • @lucymuia8903
    @lucymuia8903 Місяць тому +26

    Huyu mama atakuja kulilia Baba t

  • @catendugwa5994
    @catendugwa5994 Місяць тому +4

    We know you baba t...kuna watu wako bila shukrani...we know baba t organised chiras burial the rest ni kelele za chura.

  • @Lovergal0423
    @Lovergal0423 Місяць тому +2

    Pole baba 😢it shall be well,, huyu mshosho ni roho chafu hata sura she is so scary wah can’t believe really wanadamu hawanawshukrani siku zote

  • @carolinendungu8709
    @carolinendungu8709 Місяць тому +2

    Woiye baba T ako na shinda aki... Usijali Mungu anajuwa wewe vile ulijaribu kumsaidia

  • @fridahmakori5845
    @fridahmakori5845 Місяць тому +9

    My main concern here why they took her phone and they were not answering it??

  • @fridahavia3704
    @fridahavia3704 Місяць тому +12

    enyewe binadamu hawana shukurani,after baba talisha kujitolea hivo this is how people wanna pay him,anyway may the LORD fight you baba talisha

  • @maryamumbua
    @maryamumbua Місяць тому +2

    Let God be the judge, but one thing I know is Baba T did a commendable job.

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 Місяць тому +9

    Shosh kama unadanganya nakwambia Kuna Mungu juu mbinguni coz hapa kuna story cooked

    • @user-jf9pt8bu5j
      @user-jf9pt8bu5j Місяць тому

      😢 lbd amelimbwa kudanganya

    • @bebzwakio4713
      @bebzwakio4713 Місяць тому

      Juu hesabu anapeana haiingiani hapo ndio nimejua shosh anadanganya

    • @user-jf9pt8bu5j
      @user-jf9pt8bu5j Місяць тому

      @@bebzwakio4713 ivo si poa shda ikimukuta kesho atakosa musaada😪

  • @essiegalfew
    @essiegalfew Місяць тому +17

    Huyu shush hana shukrani. And again this is a cooked story. Nkt

  • @aicypeshy
    @aicypeshy Місяць тому +5

    😢😢this is not good akii plus from the live shosho ata ajielewii alipewa 5m ya kurenovate,kwa acc imebaki 3m ,,why is the math not mathing????
    ButTenda wema nenda zako,,,,,Baba T you did your part,,hiyo ingine tuwachie mungu

  • @angieblessed
    @angieblessed Місяць тому +11

    Baba T, you did your part.. God will fight for you

  • @marymwikali3926
    @marymwikali3926 Місяць тому +3

    Kumbe c wetu wote wlifurahia baba t akichangicha hii pesa ya matanga waah

  • @Wanairobi
    @Wanairobi Місяць тому

    Commentator254, please let us know what transpires next. I believe you are unbiased and always seek the truth 💯

  • @shikusteve
    @shikusteve Місяць тому +1

    Wanadamu hawana wema Baba T God will fight for you

  • @Andrew-ux9gv
    @Andrew-ux9gv Місяць тому +6

    Shosh ya Chira kumbuka mahali umetolewa,wenye wanakusoothtalk hawakukusaidia ata kidogo they even didn't contribute towards the burial,Baba T gave you a shoulder to lean on to extend you didn't feel the pain of loosing your grandson due to the support he gave you shush chunga usiteseke juu ya laana,Kwan huyo shosh aliroga Chira akufe ndo achangiwe pesa ,akwende huko ata akufe njaa

  • @joysitati
    @joysitati Місяць тому +1

    Human beings can be so ungrateful. Waa.

  • @user-ig5pz4oq2y
    @user-ig5pz4oq2y Місяць тому +8

    Aki hii dunia kufanya mema ni kazi bure walai na vile baba t alifanya kazi aki wee binadamu ni walewale walai 😢😢pole baba t

  • @RosyNyokabi-xc6wn
    @RosyNyokabi-xc6wn Місяць тому +1

    Shosh kwani amelipwa aseme izi vitu aki....aaaaii so sad ...hamtakii babatalisha mazuri kwani?

  • @liliannzola6261
    @liliannzola6261 Місяць тому +6

    This is not cool Baba talisha God is in control

  • @Lynn_Makau
    @Lynn_Makau Місяць тому +3

    Did i hear mamaT 😢 akh people should be fair hata kidogo akh na vile Baba T amejitolea akh .People are very weaked akh

  • @winniegathoni
    @winniegathoni Місяць тому +1

    Nowonder alifukuzwa na guka pooh ungrateful shosh leave alone waingo wetu vane tawe😢

  • @dalmamboiya7827
    @dalmamboiya7827 Місяць тому +2

    Wanadamu wako ivo juu they can never appreciate

  • @lydiahikhabi8030
    @lydiahikhabi8030 Місяць тому +7

    This the real definition of.. Okuyu na pesa 😂😂.. If it were my western old grandmothers.. Wangeridhika tu na Ata Mia mbili wanapewa jameni 🤔uyo shosho aki she can't be satisfied and be grateful with what she has..alikua anaokota 😳Sooo anataka kuomoka na the death of her grand son.. People have small minds out here ✍️na pia baba talisha.. Charity work ni church.. Maneno Yao yasifanye ukose kumbao 😅😅😅

  • @user-du1tg6jm3n
    @user-du1tg6jm3n Місяць тому +10

    Kwani ilikuwa mazishi au harusi 😢😢😢😢😢😢eti watoto walipewa nguo chipu😅😅😅 waaah binadam jamani

    • @kuikamau515
      @kuikamau515 Місяць тому

      Na yeye hakuwa na pesa za kununua hizo nguo cheap before achangiwe😂😅

    • @user-du1tg6jm3n
      @user-du1tg6jm3n Місяць тому +2

      @@kuikamau515 ,🤣🤣🤣🤣🤣 binadam wazito kweli

    • @kuikamau515
      @kuikamau515 Місяць тому

      @@user-du1tg6jm3n I tell you😒

    • @kijokitchen2424
      @kijokitchen2424 Місяць тому +1

      @@kuikamau515wamama wengi wakikuyu usema awana pesa.Shosh wasn‘t poor.

    • @kuikamau515
      @kuikamau515 Місяць тому +1

      @@kijokitchen2424 this is true. Though huyu yake ilikuwa imezidi. Unasema hauna mpaka you push your own grandson to doing the extreme ndio apate pesa yet you have the ability to help him. Shame on her. Alafu Ako hapa akitetea pesa ya mchango. Nkt

  • @ambitiousalicemwenenaivash521
    @ambitiousalicemwenenaivash521 Місяць тому +4

    I stand with baba t

  • @AbigaelKamunya-bd2lt
    @AbigaelKamunya-bd2lt Місяць тому +1

    Baba t be 💪 achana na wao u still have someone counting on you and that's is your daughter wasikupe stress you did your part and God knows the rest leave to God ❤❤❤

  • @janetmweu3304
    @janetmweu3304 Місяць тому +30

    Baba t don't worry.God is under control

    • @ultimateefootballGaming
      @ultimateefootballGaming Місяць тому

      😂😂😂 remember you can never know who did it....untill the evidence is out

  • @constancemuthoki770
    @constancemuthoki770 Місяць тому

    Human beings never appreciate

  • @shelmithmainah684
    @shelmithmainah684 Місяць тому +1

    Wah..... sorry for Baba t.....tenda mema nenda zako..... God will pay u

  • @stashakavuka
    @stashakavuka Місяць тому +1

    Huyu shosho msaada alipewa ilitosha ,,, yaani she can't appreciate

  • @user-jk2sw9cp7t
    @user-jk2sw9cp7t Місяць тому

    Uyu shosho amechange weee 😢😢 baba T you did your part.Mungu akubariki u did your best.

  • @esthernaloba9226
    @esthernaloba9226 Місяць тому +3

    Weeeee 😢

  • @Wasynafylifestyle
    @Wasynafylifestyle Місяць тому +1

    Hii ni vita tu faustine anapigwa,,,shosho amepangwa tu aki😢

  • @MillicentKimani-fj4vj
    @MillicentKimani-fj4vj Місяць тому +2

    Asante ya puda ni mateke na ngumi

  • @Dr.kasukufx
    @Dr.kasukufx Місяць тому

    That’s how the good are treated, better be bad to be avoided😢😢

  • @eleanorkinadiali4721
    @eleanorkinadiali4721 Місяць тому

    Baba T,don't worry all will be fine.I know you are innocent. Binadamu hamna Asante.

  • @nancynyaboke2719
    @nancynyaboke2719 Місяць тому +18

    Ati mnipee security Mimi na shosho ata hamna adabuu

    • @rahmabattin3670
      @rahmabattin3670 Місяць тому

      This gramother wants more money selfish gra
      Ah

    • @rahmabattin3670
      @rahmabattin3670 Місяць тому

      Shame to call u shosho Ur evil

    • @rahmabattin3670
      @rahmabattin3670 Місяць тому

      That a person was on Ur side All the way now Ur going to normal u want more why came f stran straight

    • @rahmabattin3670
      @rahmabattin3670 Місяць тому

      Greedy grandma

  • @sherrylinesharon8410
    @sherrylinesharon8410 Місяць тому +8

    Hizo ni pesa chira na chira haongei nyinyi ni nani

    • @sylviahkinyangi9892
      @sylviahkinyangi9892 Місяць тому

      Wallahi tena, Shosho angenyamaza after kusaidiwa na Faustine, weeeeh 😂😂😂

  • @Salamaclarris9613
    @Salamaclarris9613 Місяць тому +1

    Kwni hio pesa ya mazishi ya chira isingekuwa angejenga nyumba na nini ???!!

  • @maggyjay974
    @maggyjay974 Місяць тому +1

    Khaiii wat a Life surely😔😔humans are forever ungratefull pesa wewe🤨🥺..

  • @glowbutiko752
    @glowbutiko752 Місяць тому +1

    😂😂😂😂Wasijaribu kutoa dururuuru ya cucu

  • @annlewa1136
    @annlewa1136 Місяць тому +1

    I helped someone, educated his daughters, but finally, nililipwa mateke. One day, revenge will be of the lord. Baba T, just remain calm

  • @ImmahShee
    @ImmahShee Місяць тому +1

    Baba t take heart😢

  • @user-ts9wk4hg6w
    @user-ts9wk4hg6w Місяць тому

    Pole akh

  • @claricemukami
    @claricemukami Місяць тому

    I didn't see this coming 😢😢

  • @ScolasticaMwende-zb9wr
    @ScolasticaMwende-zb9wr Місяць тому

    Hawa wenye wanajifanya rafiki ya shush walikuwa wapi when baba talisha was having sleepless nights,,?? So shamefull,

  • @alicekimani4152
    @alicekimani4152 Місяць тому

    Wewe tunakujua vizuri Sana ...

  • @quincrina4219
    @quincrina4219 Місяць тому

    wakikuyu na pesa😂😂😂😂

  • @FatmaLwambi
    @FatmaLwambi Місяць тому +1

    Baba t don't wory God is with you

  • @KokoLove-bt1hc
    @KokoLove-bt1hc Місяць тому

    😢😢😢 Baba t be strong daddy 😘 don't worry about them huyu shosh malipo ni Dunia

  • @ndindajackline9798
    @ndindajackline9798 Місяць тому

    Mambo ikue clear akuna mambo ya kuficha.

  • @DanielOnsareTv
    @DanielOnsareTv Місяць тому +1

    Baba T all shall be well bro

  • @LilianCute-
    @LilianCute- Місяць тому

    Baba t , mngu yupo na wewe 😢😢😢huyo mama ni drama 😢😢😢 Tupitiane tukisonga pamoja please 😢

  • @emilymagati2128
    @emilymagati2128 Місяць тому +7

    Binadamu ni binadamu kweli hata umfanyie niniii😢l feel sorry for Baba T it's well❤❤❤❤❤❤

    • @ultimateefootballGaming
      @ultimateefootballGaming Місяць тому

      Shida ata atoee 50k kwa hizo doo kitamramba....pesa ya uuma ogopa

    • @muindimulwa2102
      @muindimulwa2102 Місяць тому

      @emillymagati2128 huyo jamaa wenu kitambo mjue n hypocrite mta take long ,,aje sasa anataka renovations zifanywe za 5m kwani anataka shosho arudi kuwa maskini Tena ama huyu jamaa Ako aje jameni??

  • @winnyted1336
    @winnyted1336 Місяць тому

    Dont take that woman to court , wachana na huyo mama she will regret later kuna vile anafikiria akifanya hivo watu watamchangia tena......God will bless you.

  • @matumillicent4620
    @matumillicent4620 Місяць тому

    Woi, shish after kusaidiwa Hiyo yote😢
    Aki kitakuramba. Haiezi fanyia your benefactor hivyo.

  • @MeruBella
    @MeruBella Місяць тому

    Baba T owes nobody an explanation...Tiktokers money

  • @HannahMuthoni-hx1sf
    @HannahMuthoni-hx1sf Місяць тому +1

    Before baba t amchangie alikuwa na pesa ngapi kwa account akwende na uko..

  • @user-nv5lf4cz1g
    @user-nv5lf4cz1g Місяць тому

    It seems someone could be using shosh to destroy baba talisha's name

  • @Naow224
    @Naow224 Місяць тому

    Woiye baba T khai, aki binadamu

  • @hildakidaha5021
    @hildakidaha5021 Місяць тому

    Very ungrateful. We now where chiras stubbornness came from.

  • @janenjoki8308
    @janenjoki8308 Місяць тому

    Woiye shush hajui ku freeze alielewa ni kufuliza i think there is communication breakdown here

  • @AbigaelKathambi
    @AbigaelKathambi Місяць тому

    And the family ignored that woman 😂😂they knew the hell 😢

  • @RoseMakasi-dn7yt
    @RoseMakasi-dn7yt Місяць тому +1

    Huyu shush anafaa kujua the mchango was done because Chira......and people wanted to fullfil Chira's last wish.....pesa SI yake eeeeeish 😢baba Talisha you have a big heart God bless you

  • @user-by7ng5rn6u
    @user-by7ng5rn6u Місяць тому

    Baba t pole sana mungu ako side yako

  • @sakiscyber
    @sakiscyber Місяць тому

    Obidan pia wacha kugonganisha watu.Baba T really helped chira family whole heartedly.

  • @laurahabs
    @laurahabs Місяць тому

    Didn't baba T have a committee dealing with the funds expenditure

  • @phoebekibet2027
    @phoebekibet2027 Місяць тому +1

    Wait a minute, who is mama T😮

  • @imanigg8101
    @imanigg8101 Місяць тому

    No wonder I like to help people behind the scenes.Just contribute and keep a distance.Ata ufanye aje poa you will be told umeiba. It always happens especially when a lot of money is involved

  • @cylvianekesa6757
    @cylvianekesa6757 Місяць тому

    Woiyee Baba T😢😢

  • @cynthiaamadi
    @cynthiaamadi Місяць тому

    Like grandmother like grandson,hii tabia ya kuwa ungrateful iko kwa bloodline,

  • @raelakiru6291
    @raelakiru6291 Місяць тому +6

    Take heart Baba T, the law of Karma will do them that thing, don't wish them bad. May God Bless you even more in the eyes of your enemies

  • @user-fo8hw9qm1n
    @user-fo8hw9qm1n Місяць тому

    Ukweli,,,pesa ilikua ya public sisi ndio tulijanga shosh we ni mjinga after Baba t kukusaidia ndio unaongea ivo

  • @nancymaina9449
    @nancymaina9449 Місяць тому

    My question is that huyu shosho alikua wp huu mda wote na wameenda vacation wamerudi dhen ameanza kudanganya mungu n nani she will pearly pay for this

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 Місяць тому +1

    Gahi wanadamu wana shukuruni

  • @jentrixwanjala6731
    @jentrixwanjala6731 Місяць тому

    Surely 💔💔💔💔💔💔

  • @tiffanystacie1028
    @tiffanystacie1028 Місяць тому

    Weeh 😮 Ogopa

  • @juliedimpoz8999
    @juliedimpoz8999 Місяць тому

    Waaaah inaitwa shosho media 😢, that's why even kwa mipango ya familia mm hukaa backbencher,i hate nonsense

  • @paulinanduku2748
    @paulinanduku2748 Місяць тому

    Take it easy baba T you did ur part,God is in control

  • @elly3725
    @elly3725 Місяць тому +5

    😢😢😢😢 nothing about money ever ends well 🙌🙌hugs Baba T it's gonna be well

  • @ShirohMbuthia
    @ShirohMbuthia Місяць тому

    Woiye sorry for baba T

  • @officialseline9651
    @officialseline9651 Місяць тому

    😂washosho nao wakizeeka wanasumbuanga

  • @davidtash2301
    @davidtash2301 Місяць тому

    Uyo mama ha shukrani ata kindogo

  • @PhylistersJunior
    @PhylistersJunior Місяць тому

    Baba T take heart 😢

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k Місяць тому

    Nilisema baba T kitakuramba 🤭 dio maana sinanga kiherehere kw vitu hakuhusu wachakikurambee

  • @user-ts9wk4hg6w
    @user-ts9wk4hg6w Місяць тому

    Huyu mama alaniwe😢😢

  • @MakhatsaWamakhatsa-we4rx
    @MakhatsaWamakhatsa-we4rx Місяць тому

    Ipo siku huyo mama atatamani msaada wa Baba T hataona. Karma is waiting for her no wonder at her age familia pia ilimkataa

  • @user-sl5jz4nl8u
    @user-sl5jz4nl8u Місяць тому

    . I listened to that conversation of shosh chira and i can say human beings are very ungrateful.
    Huyo shosh sio mzuri aki wish she can be thankful for even 1M weeeh 😢God see baba t through aki .
    There is an audio of chesoni i listen to last week saying how chira said to him to allow him go to his home because they are fighting with shosh and thats how chira got into chesoni home .
    Shosh is more concerned about th money than justice for chira 😢
    Akanyage pole pole tuko hapa tu

  • @fatmaabdi2708
    @fatmaabdi2708 Місяць тому

    Weuhh hizi ni gani aki huyu shosh it's like ameruka kichwa nkt

  • @LucyShiro-ij9gp
    @LucyShiro-ij9gp Місяць тому

    Aki vile baba t alijitolea binadamu surely 🤔 weuh

  • @maicy1485
    @maicy1485 Місяць тому

    Mbona akuchangiwa na onidad saa hii juu hataki countability ndio analeta maneno ngoja aone vile obidad atampanga atakuja kukumbuka baba T