THE PROPHETIC WORD🙌
Вставка
- Опубліковано 7 сер 2022
- Thanks for Supporting Newlife Prayer Centre & Church Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God Bless You.
Prayer Line/M-Pesa: +254 723596503/ +254 703333363/ +254 700873451
I surrender my life to Jesus through this Alter, mahangaiko yangu yote naachia Yesu Kristo
Everyday I woke up I just give thanks, I hope my tomorrow won't be the same as today☺️my straggles won't be forever na nyota yangu ingae pia babaa😭
Naomba mungu anijalie kwa baraka na nyota yangu ingae kwako naamini
Through this high alter mamangu apatee kupona magonjwa yotee,babangu mtoto Wangu....Shida zituondokee tupatee nyota utajiri tuishi kwa Amani milele na milele...Aminaa
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 naiwe kwangu nione Na ujasiri yesu naitaji vazi la kiroho ndani yangu
Mungu mwenye alikutoa Kwa Highland pia Leo naamini atanitoa Kwa Highland ya umaskini, forever amen
**Na nyota yangu ing'ae zaidi ya zingine,mungu naomba Tu unitendee na hata zaidi
Amen Rudisha nyota yngu ya uxima Rudisha nyota ya mamangu ya uxima na familia yote bwana regesha nyote zote za ndungu amen tubarikiwe katika jina la yesu christo
pastor Ezekiel ur a real man of God 🙏
Amina mungu nikubuke na watoto wangu na uniponye Jehovah
Der God do something over my life ..oh lord bless me with job of my star 🌟 so that I may be a blessing to my family
I connect all my enemies who talked to me bad things u destroy them in the blood of Jesus Christ Amen
Hallelujah.. AMEN 🙏🏽 you must visit this high altar to feel this powerful magical atmosphere, it’s pure heavenly … you feel the HOLY SPIRIT !
Very true my sister. The Holy Spirit is so powerful you just feel the presence of God everywhere.
Mungu nibariki nipe nyota ya afya na unibariki kama vile ulibariki pastor ezekiel
Ameeeeeen l surrender all my problems to Jesus through this high altar in Jesus name.Distance is not a barrier
Kaa ndani yangu Yesu nami niishi ndani yako🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐
Nina Imani ipo siku hii kuhangaika itaisha,,,eeeeeh mungu unapokumbuka wengine usinipite baba 😭😭😭😭😭
Amen pastor from saudi
Mungu nikumbuke pamoja na familia yangu nakutumainia kwa kila jambo 🙏🙏🙏
Napokea kwa jina la YESU🙏
Lord help me to change my family remember my business of hotel have started l pray it may grow through your word Amen
Amen Amen nakushuri MUNGU
Amen.naamini kuwa nitapata ukombozi
Amen amen
Nimepona katika jina la Yesu Eeemen
Yesu ndagukund nipe nyota yandowa
I receive I receive I receive,in jesus name
Mungu badilisha kazi yangu na unibariki na unitoe kwa madeni na unirudishie nyota yangu God gives me wisdom and knowledge
Asante Yesu kwa kuniinua
Pastor Ezekiel,na shukuru kwa yale Mungu amenitendea, Mungu akubariki saaanaa pamoja na mkeo.
Hasante yesu kwa siku hii. Yesu siku hii itakua siku njema yamafanikio maishani mwangu. Ugonjwa utatowekamaishani mwangu katika jina la yesu ameeeeeeen. Pressure kisukari yote imetoka katika jina la yesu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen . Napokea in Jesus Name
Amen,,Mungu naomba hii madhabau itawale Maisha yangu na ya familia yangu,,MUNGU nipe ushuhuda
Amen I received in the mighty lord
Amen ni I receive in Jesus name
Kupitia haya madhabahu wazazi wangu wapate uponyaji katika Jina la Yesu🙏🙏
Amen nipokee nyota ya uzao
Amen thank you lord for this far,and for what you're about to do over my life
Ooh Lord Jesus u connect me to another level in the blood of Jesus Christ Amen
God take to the next level in very thing I do.
Ameeen and Ameeeen
Thank you Jesus you love me more than l love myself,thank you for this day let's your holy power be with us in this moment 🙏🙏🙏
Amen amen i am blessed in Jesus Christ name.
I receive my prophetic miracle
Amen may I receive the grace of God 🙏
Ameeen i tap da anointing of da prophetic word
Amen amen thank you lord for everything to me, your blood finish everything in my family 🙏🙏🙏🙏
Amen my faith grow strong every day am blessed I believe I will testify one day 🙏🙏🙏
Amen , napokea ukombozi kwa Jina La Yesu 🙏🏻🙏🏻🤲🤲🤲🌟🌟🌟🌟🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amen I receive healing in Jesus mighty name 🙏🙏🙏🙏
Amen amen Mungu wetu ni mkuu sana na anaweza
Praise God 🙏 pst, niombee nko na homa Kali, kifua kinauma,kimefungana, nipokee uponyaji katika Jina la Yesu kristo kutoka kwa madhibao haya siku ya Leo
Amen and Amen 🙏🙌👏
Thank you Lord Jesus for another day. Everyday is New Life!
I recieve my healing in the Mighty name of Jesus Amen
I receive the prophetic word in Jesus mighty Name
Ameen I receive it in Jesus name
I receive my healing today in jesus name...
Ireceive it in jesus name.
Amen I receive my deliverance
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen kikumbuke nami Yesu 😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
AMEEEEEEEEEEEEEEEN 🙌
IN THE NAME OF JESUSSSSSSSSSSSSSSSSSS 💪
I received healing power and the fruit of the womb from Jesus
Amen in Jesus name
I pary GOD to connect me with pst Ezekiel one day
Amen pastor
Amen amen amen iwe Ivo Maisha yangu yabadailike na familia yangu tufanikiwe amen kazini kwangu mungu anishindanie amen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💖 thanks
Lord jesus I dedicate Beatrice okinda into your able hands,may you heal her
Amen Amen Amen
Amen n Amen
Amen 🙏🙏
Amen Amen
Ameeen ameeeeeeeen
Amen Amen Amen Amen 🔥
Amen 🙏🙏🙏🙏
MIMi ni mwana wa madhabahu haya nazidi kujiunganisha Kwa madhabahu ya New God fight for me
AMEN Amen Amen 🙏
Ameeen 🙏🙏🙏🙏
Glory be to God Almighty
Amen 🙏🙏🙌🙌🙌
Amen i recieve
Amen
God bless the preacher and all my brothers and sisters. 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🌼❤️🙏😃🙋
Amen
Yes yes yes yes.
Ameeeen Ameeeen Ameeeen
Amen amen amen 🙏
Ameeeeen
AMEN
Eeeemen haleluia
Amen.🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Amen ,Amen
Thanks God for life not by my power its by ur marcy
amen
Ameeen
Praise God nko Saudi Arabia juz nlitumana sacrifice yangu through Till no nlitumia no 12 ya prophetic sacrifice naomba univunjie madhabahu ya umaskini,ufukara ,na madeni nmechoka aki pastor sina roho ya ufanisi nmechoka nko na 2months Sai saudia lkn sina Amani ju ya madeni niombee mtumishi wa mungu nmechoka aki
Sipati mahubiri Leo
Thank you lord for this far and for my blessing on my way coming ahead
Amen Amen my faith grow every day when i learn more about this my NEW Life altar
Niombee na mm mtumishi ntoke kwa hii wheel chair ya umaskini na madeni,ufukara kila nipangalo silo,nmetamani kujengea wazazi wangu nymba lkn nashindwa ata na pesa ya chakula yakuwatumia naomba unibariki maana nguvu za mungu hazina mpaka