Na vipi kuhusu “Unabii na kuvaa nywele bandia??? Imekaaje hiyo??? Mungu hakuwatuma manabii duniani waje kuvaa nywele za bandia” utakuja kupata mapepo ya kibrazilian 😂😂😂😂
mi nakushauri mtumishi Wa mungu endelea mbele na kazi ya mungu usiogope maneno ya watu kumbuka hata yesu alitamkiwa maneno hakuangalia maneno aliangalia alichotumwa na mungu duniani sasa angalia kusudi La mungu ndani yako alieanzisha kazi ndani yako ataimaliza usikubali hizo ni hila za shetani kuua huduma
mimi na mkubali sana nabiii olive kwani amenifungua sana ktk maisha yangu no kweli uyo ni mtumishi katumwa na mungu ameni mungu ni mwema mama vumilia na hill pia litapita kwa jina la yesu
Ngoja waangamie maana hawataki kusoma maandiko wao wanakimbilia kwenye miujiza,maandiko ndiyo kweli tupu ya MUNGU,watu wa MUNGU achaneni na hao manabii wa uongo wanawapeleka shimoni eidha ni kwa kujua au kutokujua,Neno la MUNGU pekee ndo taa na kupitia,kupitia BIBLIA utamfahamu Yesu na utazifahamu amri kumi zake na upendo wake,#SOMA MAANDIKO
nabii wakizazi kipya, hakuna na mwanamke katika biblia , wewe nina nabii ulie chaguliwa na na baba yako wakiroho Edward wa Akuzamu ministry, Mungu hajuwi hayo unayo yafanya , kuwa nakarama siyo kuwa nabii wa Mungu , kwenye biblia kuna kina simoni mchawi walikua wanakarama tena walitenda miujiza mikubwa lakini hawakutumwa na Mungu, we we nawe unahitaji deliverance utoke kwenye hayo maroho machafu ya kiganga na ubashiri ,huna Roho mtakatifu , Roho mtakatifu angekuwa ndani yako kwanza usinge weka hayo mamywele kichwani kwako , ungemuheshimisha ,naukiwa na Roho wa Mungu kamwe huwezi kuitetea kazi yake , hiyo umekuja kutetea biashara yako maana wateja wasije wakalala mbele, jiangalie sana , mimi nimtu warohoni nimekukataaa nimeipima roho iliyo ndani yako haisemi kwangu .
mungu akubariki sana nabii na aenderee kukutumia kwa viwango vya juu sana unabii kwetu ss ambao hatujawahi kusikia sauti ya mungu nivigumu kuerewa ulichokuwa unakifanya
Beatrice Paul asante sanAa dada kwa coment yko yaani wakiristo lwa kupenda miujiza na kuiamini ndio maana kila pastor anaekuja bac anakuja na miujiza yke feki....hakuna mtu anaweza kukifua wafu ispokua mungu tu pekee bac ingekua wanafufua watu c angewafufua walokufa kwenye familia yke huyo pastor.
Pamoja na matatizo yanayoweza kumpata mtu, ni vizuri kutafuta ufumbuzi kwa njia sahihi, akili ikiwa tulivu. Vinginevyo utajikuta matatizo yakizidi huku hela yako ikiishia kwa wajanja hapa mjini
Hawa watu utasema wale wanaofanya promotiona naona zoezi lao la kwanza ni kujua kuongea sana na kukoroga mambo. Hata kama jibu ni fupi atakuapa kwa kirefu atazunguka ili kukuchanganya tu
kama unajua kulia ni tiba kwanini usimfungie ndani akalia kabisa ata saa kumi ndio ukamuombea. si siwatoto. si km tunamatatizo tutalia nyumbani si ndio tiba
Umekamatwa pabaya shostito. Ila kwanini watu wanawaamini hawa wezi?? Why oh why? Ndugu unayesoma huu ujumbe achana na hawa majambazi. Nenda kanisa linalohubiri maisha baada ya kifo siyo kanisa linalofanya miujiza ya uganga wa kienyeji na mazingaombwe. Yesu hayuko huko!!! Amka!!!
Acha uongo we boya...!! Lia kwa uchungu mungu akupe kwanza nywele badala ya short cut za wigi...utakuwa ni ufunuo wa jini mkosa nywele..njaa mbaya jamani!
duh hata ueleweki jamani unamfundisha MTU alie apige kelele jamani MTU analia bila kufosiwa we nabii fake unafanya wenzio wengine wasiaminike Kwa ili jambo unajiuma uma hakuna hata jibu hapo we ni tapeli na ushawatapeli miaka yote mungu sasa kakuumbua
Ole wenu mnaotumia jina la Bwana kujitafutia kipato Sio Kweli unavyojieleza Kubali ulichemka, maana ulijisahau ukaongelea kwenye mike, na ulinong'ona. Kulia kunakuja automatically.
mwiziiiiiiiiii,tapeli,muongo,mnafiki,jambaziiiii acheni kuibia masikini za mungu nabii gani unaenda kujitetetea kwa lilotokea unaonekana nabii wewe huamini maamuzi ya mungu na unathamini mtazamo wako kwa wanaadamu
Ili aamini anatakiwa kuendelea kusikia husomi biblia wewe?imani huja kwa kusikia Rum 10:17,,,kabla hujajibu swali fikiri vzr maana hujui utasikilizwa na watu wa namna gani wewe ni mtumishi ila bado unashida nyenyekea sana,,unajibu kirahisi hadi aibu
Weweeee umeumbuka muongo kwamala ya kwanza kuona mchungaji muongo halafu uongo ulio pitiliza ana nikera mm huyo basi tu kwanza yesu ali sema watakuja manabii wa uongo ndio wewe sasa
Na vipi kuhusu “Unabii na kuvaa nywele bandia??? Imekaaje hiyo??? Mungu hakuwatuma manabii duniani waje kuvaa nywele za bandia” utakuja kupata mapepo ya kibrazilian 😂😂😂😂
Daah... mshkaji ukiendelea kuhoji namna hii utafika mbali sana.... umehoji vzr sana.... huyo mama amwogope Mungu huu ndio ushaur wangu
uko vizuri mtangazaji. Critical questions
Kijana unajua kuhoji big up 👌
mi nakushauri mtumishi Wa mungu endelea mbele na kazi ya mungu usiogope maneno ya watu kumbuka hata yesu alitamkiwa maneno hakuangalia maneno aliangalia alichotumwa na mungu duniani sasa angalia kusudi La mungu ndani yako alieanzisha kazi ndani yako ataimaliza usikubali hizo ni hila za shetani kuua huduma
umechemka mama majib yako yamepinda pinda hueleweki watu wanafahamu sana mambo ya kinabii hapo umetudanganya na Mungu amekuweka wazi sasa aibu yako
unajua kuhoji vizur hongera ila bado sijaridhika na majibu ya nabii.
Woman of God you have spoken well. God bless you
mimi na mkubali sana nabiii olive kwani amenifungua sana ktk maisha yangu no kweli uyo ni mtumishi katumwa na mungu ameni mungu ni mwema mama vumilia na hill pia litapita kwa jina la yesu
Ngoja waangamie maana hawataki kusoma maandiko wao wanakimbilia kwenye miujiza,maandiko ndiyo kweli tupu ya MUNGU,watu wa MUNGU achaneni na hao manabii wa uongo wanawapeleka shimoni eidha ni kwa kujua au kutokujua,Neno la MUNGU pekee ndo taa na kupitia,kupitia BIBLIA utamfahamu Yesu na utazifahamu amri kumi zake na upendo wake,#SOMA MAANDIKO
Wajinga ndio waliwao
kaka umeuliza maswali ya kimsingi kabisa,hongera
Waislam hongereni Mwenyezi Mungu awape nguvu ya kutangaza dini ya kiislam
huyu nabii Bora nabii tito
Nabii ana Nywele za Mfu, aaaa Tuache, kma dada powa wa Viwanja vya Fisi, Mpiga Hela Kanisa lke 😊
😂😂😂😂😂😂😂😂😉😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mpaka basiiiiiiiii huwelewiki dadaaa
Aboubakar ALI na alikuwa amevaa bana nyonga.
kilicho tupa Mashaka ulivoongelea pemben ya maik ungeongelea kwenye maiki ,Ilo host ukovizir kwa maswal
nabii wakizazi kipya, hakuna na mwanamke katika biblia , wewe nina nabii ulie chaguliwa na na baba yako wakiroho Edward wa Akuzamu ministry, Mungu hajuwi hayo unayo yafanya , kuwa nakarama siyo kuwa nabii wa Mungu , kwenye biblia kuna kina simoni mchawi walikua wanakarama tena walitenda miujiza mikubwa lakini hawakutumwa na Mungu, we we nawe unahitaji deliverance utoke kwenye hayo maroho machafu ya kiganga na ubashiri ,huna Roho mtakatifu , Roho mtakatifu angekuwa ndani yako kwanza usinge weka hayo mamywele kichwani kwako , ungemuheshimisha ,naukiwa na Roho wa Mungu kamwe huwezi kuitetea kazi yake , hiyo umekuja kutetea biashara yako maana wateja wasije wakalala mbele, jiangalie sana , mimi nimtu warohoni nimekukataaa nimeipima roho iliyo ndani yako haisemi kwangu .
Piga kazi Dada kila mtu humpokea Mungu kwa njia yake na namna yake,
Mmmmh vyuma vimekaza kwel . Piga kerere kwa nguvu duh!
Kijana anamhoji mama kama anamshushua nimeenjoy😂😂😂😂
mungu hutumia watu mbali mbali usiwe MTU wa kujudge anayejudge ni mungu
hv huyu dada anaelewa swali kweli? unaulizwa unaitwa nan? eti "namshukuru Mungu kunileta hapa en so on.... bla blah'" stupid
Shida yako unaongea sana hujui kujieleza,jibu kwa kifupi hadi unakera
mungu akubariki sana nabii na aenderee kukutumia kwa viwango vya juu sana unabii kwetu ss ambao hatujawahi kusikia sauti ya mungu nivigumu kuerewa ulichokuwa unakifanya
usijali mama wote wanao nena kinyume nawe jua in wa upande mwingine
Mungu kakuumbuua,katuonyesha jinsi kulivyo na manabii wa uongo,wewe ni mmojawapo,tubu dada.
Uongo 2
sema uyu mchungaji mkali sana ,,sura nzuri,, shepu la maana ,,sauti la mahaba ,,yuko vizuri ,,
hahahaha duuuuuu
mama unadanganya madhbahuni mpk radioni.Mungu akusaidie saana muongo mkubwa pepo kuzimu weee,bora hata ungevaa miwani huna aibu kabisa
acha uongo mwizi mkubwa ww
Braza nimependa unavohoji aseee....good
Watakuja makristo wa uongo wewe ni mmoja wa uwongo
"hawawezi kulalamika kitu ambacho hakipo" kwahyo kumbe unajua KIPO,! jmn uyu nabii katokea wp kwan😄 halafu haelewi maswali huyu nabii kabila gan kwan😂😂😂
Mwandishi upo vzr wewe unajua kazi yako big up sanaa
kaka uko vizuri sana ktk kumhoji mtu ubarikiwe
😂😂😂😂😂😂😂umemwambia alie ili tumuone ana jini
Huyu dada mkavu jamani kha!
Nabii gan mwanamke
Jamaa anajua kuhoji 100%
unajua kuhoji sanaaaaaa kaka big up..
watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa... uvivu wa kusoma neno ndo unatupelekea kuamini sana miujiza... asante mtangazaji unahoji vizuri sana
Beatrice Paul asante sanAa dada kwa coment yko yaani wakiristo lwa kupenda miujiza na kuiamini ndio maana kila pastor anaekuja bac anakuja na miujiza yke feki....hakuna mtu anaweza kukifua wafu ispokua mungu tu pekee bac ingekua wanafufua watu c angewafufua walokufa kwenye familia yke huyo pastor.
Huyo njaa inamsumbua. Hakuna nabii mwanamke kwa mwenyezimungu
ananichefua huyu mama
Bro (mtangazaji) uko vizuri anayekupondea ni mfuasi wa....
Aisee huyu mtangazaji anajuwa kuhoji nampa100%
Pamoja na matatizo yanayoweza kumpata mtu, ni vizuri kutafuta ufumbuzi kwa njia sahihi, akili ikiwa tulivu. Vinginevyo utajikuta matatizo yakizidi huku hela yako ikiishia kwa wajanja hapa mjini
Dizzim big up
Wangejua maana ya Nabii hata wasingelitumia ndo zile karne za mwisho
we mwongo hujui hata kudanganyaa
Et roho mtakatifu😅😅😅 subiri kiama kifike utalia wew
yani we mwanamke jasiri kweli hivi unafaham dunii hakuna mkaaji was milele acha tamaa yapesa
Wazimu uko aina nyingi kweli
Hawa watu utasema wale wanaofanya promotiona naona zoezi lao la kwanza ni kujua kuongea sana na kukoroga mambo. Hata kama jibu ni fupi atakuapa kwa kirefu atazunguka ili kukuchanganya tu
Hapo dakika ya 7:3 _6 kijana unavisa na nabii eti haimshawish mtu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
hapo hamna shughuli....ni maigizo tu na kutafuta pesa
Jaamanii hizi ajira zifunguliwe yote hii kutafuta riziki kwa njia mbadala ...piga kelele
Huyu muongo na bado anaendelea kudanganya
Olivia tubu tuu kuendelea kudanganya sio suluhu. Suruhu mludie huyo yesu alie hai.
Utajibu mbele ya mungu siku ya mwisho
Inamaan alikua haelew haelew maswal au🤔 maan anaulizwa swalingine anajib lingine😂😂😂anaongea mpak anachosha khaaaaa
kama unajua kulia ni tiba kwanini usimfungie ndani akalia kabisa ata saa kumi ndio ukamuombea. si siwatoto. si km tunamatatizo tutalia nyumbani si ndio tiba
Umekamatwa pabaya shostito.
Ila kwanini watu wanawaamini hawa wezi?? Why oh why?
Ndugu unayesoma huu ujumbe achana na hawa majambazi. Nenda kanisa linalohubiri maisha baada ya kifo siyo kanisa linalofanya miujiza ya uganga wa kienyeji na mazingaombwe.
Yesu hayuko huko!!! Amka!!!
Aaahaa Mungu aliona akuumbue kwakuwa ukiendelea utaanza kucheza na taarabu kama Tito, hakuna cha 'watorinto' jibu swali
yaan ni mwongo mpaka anaogopa kujielezaa… na siku zote mtu hawezi kuomba msamahaa kwa neno la Mungu
nabii feck huyo.
Duuuuu! Mungu tusaidie
Kha wewe dada utakuwa kuni aisee
ooh my God !!!!?
Iv bdo anamtaja roho ntakatifu😤
Duh anaehoji mwenyewe hapo haamini mana anamtega kwa maswali haa haaa haaaa ina lillahi wa ilahi rajiun
Ameni
we umetumwa kwel na waiz
Acha uongo we boya...!! Lia kwa uchungu mungu akupe kwanza nywele badala ya short cut za wigi...utakuwa ni ufunuo wa jini mkosa nywele..njaa mbaya jamani!
piga yoweeeeeee
lia kwa nguvu
Nabii wakike daaaa 🤣🤣🤣
Kama hakuna kosa alilolifanya basi hakuna sababu ya kuomba msamaha. Anaomba msamaha kwa kuwa kuna kosa
Unawazimu kweli wew mtu kuponywa anaambiwa aliye pepo mkubwa
Kalime acha ujanja ujanja
😰😰😰
nabii umeweka miwiving minywele kama kichaaaa PUMBAVUU
Nabiiiii Oliver mie nakutolea posaaa nikuoe
eti lia lia kwa nguvu hahahaaa
duh hata ueleweki jamani unamfundisha MTU alie apige kelele jamani MTU analia bila kufosiwa we nabii fake unafanya wenzio wengine wasiaminike Kwa ili jambo unajiuma uma hakuna hata jibu hapo we ni tapeli na ushawatapeli miaka yote mungu sasa kakuumbua
kwahyo unataka kutuambia sisi wote tulio angalia na kupinda hatupo kiroho alafu utamwambia jini alie kwanguvu awiii umeshindwaa kujibu hoja alafu majibu yako yamepinda pinda yan unakwepa hujibu direct
Aoni haya mama mtu mzima na watoto juu lakini muongoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Ole wenu mnaotumia jina la Bwana kujitafutia kipato
Sio Kweli unavyojieleza
Kubali ulichemka, maana ulijisahau ukaongelea kwenye mike, na ulinong'ona.
Kulia kunakuja automatically.
hehehehe pole mama
wanataka kutuibia pesa zetu hivi hivi tu, sababu ya shida zetu wenyewe? watanzania tunateseka sn kila mahali tunapigwa
😂😂😂😂😂 ni shida
Bariki Karoli pliz ebu nicheki tuongee mrembo +97477053859
Ewe tawe, mapepe haya, nyakati za mwisho dah!
mwiziiiiiiiiii,tapeli,muongo,mnafiki,jambaziiiii acheni kuibia masikini za mungu nabii gani unaenda kujitetetea kwa lilotokea unaonekana nabii wewe huamini maamuzi ya mungu na unathamini mtazamo wako kwa wanaadamu
Mwizi mkubwa nikikutana nae namchapa makofi
Hana akili huyu boyaa
jaman ni fumbo LA mung ili sasa wanadamu ndo kujua kufumbua ndo hapo bora usitukane atujui sote ni mung au Wa kinachibu ndo anamtumia
😂😂😂😂😂😂😂shindwa usije ukatupeleka kuzimu wewe nabii fake.
Hamezi hata mate. anatumia nguvu nyingi kukanusha kitu kinachoonekana
anaulizwa vingine anajibu vingine...looooh
Piga yoweee
ni nyakati za mwisho
hata cmwelewi..!!!
Achana na nabii, sikiliza jamaa anavojua kuhoji!!