Kauli mpya ya Harmorapa baada ya kuitwa Nyani na Mose Iyobo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 січ 2017
  • Harmorapa ni msanii wa bongofleva aliyeibuka juzijuzi baada ya kutoa wimbo mpya ulioambatana na habari zake za kufananishwa na msanii wa WCB Harmonize

КОМЕНТАРІ • 738

  • @OverdozClassic
    @OverdozClassic 5 років тому +5

    For the first time hearing Hamorapa speaking sense completely... take heart brother you're wonderful and fearfully created by The Almighty Allah...

  • @fredtchalewandeki1431
    @fredtchalewandeki1431 7 років тому +2

    Harmorapa my Boy, nisikie japo kidogo. Angalia sana ambayo Mungu amekusudia katika maisha yako. Nyota yako imeshang'aa, usiwape wabay nafasi yakupunguza kasi yako ya 4G in music. Harmorapa, tumekupenda sana watu kuliko unavyoweza kufikiri, na walio wengi wankuombea kwa MOLA uwe na moyo ya kuyapuuza yasiofaa katika maisha yako. Kila mtu is unique in hos or her own way, so as you my Boy Harmorapa. Utaendelea kuwa wewe, mkali wewe, bingwa wewe, jasiri wewe ILA muweza wa mambo yako MUNGU. Achana na mambo hayo my Boy, usipoteze muda wa kusonga mbele. Futa mawazo juu ya mtazamo wa mtu asiyehusika na maisha yako. MFA MAJI, HAKOSI KUTAPATAPA, huo ni wivu, focus ahead and you will see what GOD has in store for you my Boy.

  • @sifacycy_bby8827
    @sifacycy_bby8827 7 років тому +2

    Poleni sana! ila jamn tukumbukeni kama anaeumba sio sisi👏😷 shukran kwako #millard Ayo kwa ubuyuuuuu

  • @jumaramadhani5861
    @jumaramadhani5861 7 років тому +27

    Pole sana kijana,Allah yu pamoja nawe

  • @billionsbusymusic1229
    @billionsbusymusic1229 3 роки тому +1

    Usijali wanachokisema bro sote wanadamu na usijishushe hadhi kubishana na mshenzi mtu anaekashifu maumbile na ana mapungufu yasiopimika ni mpuuzi bro.
    From my heart we love you bro one love from +254

  • @Shalwadesign
    @Shalwadesign 7 років тому

    Pole mdogo wangu. Hasidi siku zote akosi cha kusema au kukosoa. Unacho ambacho yeye hana. Na wala uhitaji msamaa wake mwachiye muumba mbingu na ardhi atakuhukumia hapa hapa duniani pindi mwaka. Nyoosha mikono yako juu mwachiye Mwenyezi akufanyiye kazi. KWELI ATUJAFA ATUJAUMBIKA DUNIANI.

  • @augostinermercy1542
    @augostinermercy1542 7 років тому +1

    Mpe mungu kaka,,na usahau mungu atakupigania...sio vizuri ,,yauma kumtuc mtu na hujamkosea...muache yake mungu anayo,,pole sana kaka!!!

  • @nemesuisso4806
    @nemesuisso4806 7 років тому

    kaka pole sana kwa kuitwa nyani. Mungu ndiye aliyekuumba, kumbuka umeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Kaka samehee yote. Nakupenda sana dogoangu kwa kazi zako

  • @haleemasulthan4894
    @haleemasulthan4894 4 роки тому +6

    kufulu na kuingilia mapenzi ya allah akumbuke mungu akisei mungu akupe subira amorap hukum anaijua myngu kiukweli si ubinadam😢😢

  • @donlawrence1576
    @donlawrence1576 3 роки тому

    Brother maneno ya binadamu yafanye kama changamoto mungu atakulipa usijali muombee adui yako awe na kauli nzuri

  • @mkibandulo1231
    @mkibandulo1231 2 роки тому

    Subhana llaahi
    Mungu yupo hujafa hujaumbika mkapidhi mungu hamo achana kuhojiwa malipo hapa hapa

  • @jacksonmwakina
    @jacksonmwakina 7 років тому

    kazi nzuri sana AYO .swala la kuingilia masumbile ya mtu na kumfananisha na nyani sio fiti hata kama ni jokes haifai kufikia hapo .Hamo rappa anatafuta na yafaa aheshimiwe huwezi jua kesho itakuwa vipi .

  • @benevale8981
    @benevale8981 6 років тому

    Pole sana kaka,Mungu yupo atamuazibu Huyo.maana sote tuko mfano wa mungu.

  • @donaldouma7225
    @donaldouma7225 Рік тому

    Wee start kaka wachana nao wanaokutukana love from Kenya 🇰🇪

  • @jentam7889
    @jentam7889 6 років тому +1

    Pole ndugu yangu God will bless you nd they will all respect you

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 7 років тому +50

    Achana naeee sengeee lileee usijali allah yupo naweee

  • @tullyabdul6355
    @tullyabdul6355 5 років тому

    Pole harmorapa kwa kweli inauma,hata kwa mingu iyo ni dhambi uezi fansnisha binadamu na hayawani ,amekosea sn hata kwa mungu,subhanallah

  • @JoyceGeorge-qv4ck
    @JoyceGeorge-qv4ck 6 років тому

    pole bro kiukweli haipendezi kukosoa uumbaji wa Mungu

  • @mmlove9127
    @mmlove9127 6 років тому

    Keep it up bro hao wengine wivu tu........nimependa hapo ' ujakufa hujaumbika ' .

  • @mercykhaemba7093
    @mercykhaemba7093 7 років тому +1

    pole sana kweli nakuskizia huo uchungu ila mwaachie Mungu tu ashayatamka misamehe uyasahau chochea kipaji chako maisha yako muhimu kaka wanadamu ni walewale huo ustar utayasikia mengi yanauma lakini wape skio nakutakia mema

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 роки тому

    Pole sana yalikukuta heee mtihani huo binadam kazi hakuna alikamilika mungu ndiyo alikamili sisi binadam dharau tu ndiyo ninayotumbuwa

  • @uswizinyanginywa2498
    @uswizinyanginywa2498 3 роки тому

    Pole sana Mungu yu mwema na alimuumba Mwanadam kwa Mfano wake iwaje yeye akuite hivo? Mwaichie Mungu ndie atakae kujibia.

  • @penzihatare2738
    @penzihatare2738 7 років тому +15

    I wish Harmorapa all the Best ❤❤❤ +245

  • @nelsonkisiaswaras9714
    @nelsonkisiaswaras9714 4 роки тому +18

    Hats sisi huku Kenya tuna yule aliitwa nyani, sahizi ni Star

  • @hanifaamaani641
    @hanifaamaani641 5 років тому +9

    Allah ni mbora katika kuumba haonei wala hakosei na bila shaka katika kila jambo kuna mazingatio!

  • @siahpaul4832
    @siahpaul4832 7 років тому +1

    Pole kaka jaman ucjali, i like you.

  • @aishasalim4253
    @aishasalim4253 6 років тому

    Pole kaka haki vibaya sanaa kumfananisha mtu na mnyama binadamu rudi kwa mungu unamkosea sanaa

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 7 років тому +38

    Pole sana kijana. Siukujui lakini hata mimi imeniume. Aliyekutukana pia simjui na sina hamu ya kumjua. Hiyo ni wivu tu endelea na maisha yako wala usimpe nafasi moyoni mwako kwa kukasirika. Hana shughuli huyo maisha yashamoiga ndiyo anajaribu kurusha machungu yake kwako. Hurting people hurt others as well.

  • @myrabecky2739
    @myrabecky2739 4 роки тому

    Pole Sana Hamorapa....wanakuonea wivu ..mbona uko nzuri uko na pesa zako na maisha yako na pia na kazi zako... msamehe yeye na wengine wengi wanaukudharau.... pole Sana Kaka I have felt it...and it really hurts 👆👆👆achia Mungu pekee

  • @yohanalukanga6263
    @yohanalukanga6263 2 роки тому

    Pole sana broo sijapenda alichokifanya huyo jamaa ninge kuwa mungu bac ninge lipiza kisasi kwa ajiliyako broo tunakupenda

  • @jerrycaroline7330
    @jerrycaroline7330 6 років тому +1

    Pole sana kaka mungu atakulipia

  • @wardaw9939
    @wardaw9939 7 років тому +27

    ameona nyota yako iko juu xnaa ndiyo anakuchafua.take heart bro.... Allah atakulipia.hujafa hujaumbika nakupenda bure kakaangu #Harmorapa

  • @hafsamashaallahabas4977
    @hafsamashaallahabas4977 6 років тому

    jmn sio vizur kumwita ,nyan jmn mnakufuru allah pole ka kaka morp

  • @aminayussuf5938
    @aminayussuf5938 2 роки тому

    Very very sad but muachie Allah atampiga laana ur very handsome man mansha Allah

  • @joelerasto1411
    @joelerasto1411 7 років тому

    Hi rafiki unaonekana unajielewa sana kama msanii nimefurahi kwakauli zako nzuri maana walio wengi angeshia kujibu kwa matusitu pasipo kuangalia jamii nzima ya watanzania inawangali kama mfano wakuingwa anyway in short nilikuwa na mawazo yangu tofauti kidogo sinarecord nzuri ulianza shughuli za music kwa muda gani, harmorapa ni jina ambalo lipo karibu sana na huyo member wa wasafi na mimi sijui ulitumia kigezo gani kujiita hilojina, mimi ninacho kiona utaendelea kuwa underground mpaka utakapo kuja na jinalako jipya zuri away from harmorapa kwa sababu walio wengi watasema kwa sababu umefanana nae ndio hadi jina umeamua kutumialake, tafadhali njoo na jina linginge na swag yako kuanzi style ya kunyoa mpaka mavazi utapata wasgabiki wengi sana kama New Artist but sio kwa jina hilo utaonekana umecopy na kupaste nihayo tu rafiki.

  • @sandrawanjiko2022
    @sandrawanjiko2022 6 років тому

    Hucjali kaka kesho itawapata wanayo isema, utendelea na wao wataachwa wakipinga ombea zao, fanya kazi yako kaka akuje hasikuje shauri yake aliye juu mngoje chini

  • @aishanguzo9239
    @aishanguzo9239 7 років тому

    muogope mungu wako ww mzungusha nyonga unawezaje mfananisha binadamu mwenzio nyani na ulaaniwe ww mpumbavu aliyemuumba ni mungu na hajamkosea muogope mungu

  • @gabrielmushi2813
    @gabrielmushi2813 6 років тому +2

    millad ayo aise wee siyo mzuri 😂😂😂😂 yaaani hapo mwisho nimependa

  • @zahramobne7807
    @zahramobne7807 6 років тому

    Maneno yamenitia uzuni sana sio vizuri angelikwa kenya angesitakiwa kenya tuna heshimu watu sana kama vilema wakenya wana haki zao mpaka bungeni kenya lazima kwae na walemavu pole sana bro

  • @mutiomonicah9029
    @mutiomonicah9029 6 років тому +3

    Pole sana harmorapa God is watching @mose iyobo you’re days are coming! Very sad about you😭😭

  • @shuwehaomar6658
    @shuwehaomar6658 7 років тому

    Milard Ayo mpehai nyingi sana Suud brown na mzee mti mkavu

  • @lightnesselia765
    @lightnesselia765 3 роки тому

    Daaah! inaumiza sanaa, kweli kabsa iyobo ujafa hujaumbika mbwa wew tena umwombe radhi mwenzio

  • @thomaslandwhale
    @thomaslandwhale 7 років тому +28

    Lack of respect for humanity..Mose be a Gentleman,talk to your brother and solve dis issue wisely..

    • @khamisswalehe
      @khamisswalehe 7 років тому +2

      Tee- Bag you talk somthng really no need to violate one for god's work unamkosoa mung Mose Kwan we Katka mahandsome hupo ndugu yang jichunge bonge lanyau na uzur wake sidhan kma anakosoa watu walivoumbwa

  • @mariamogesi3692
    @mariamogesi3692 6 років тому

    nik kenya mim nimtanzania mose umetosheka na usanii unaita binadaam wezako nyani mungu anakuona achana nao kak harmorapa wew endelea shuguli zako wifu tuuuu mke wake atanzaa mtoto anakaa nyani anaoitakaa

  • @fatmafetty4117
    @fatmafetty4117 4 роки тому +1

    Pole Sana bro acha nae😢😢 daah Jamani sio vizur iyobo

  • @obeyanton6877
    @obeyanton6877 7 років тому +8

    amekosea mungu ndiye mwny kuumba pga moyo konde

  • @augostinermercy1542
    @augostinermercy1542 7 років тому

    Anakutuc na nikimtanzama harmonize ana sura nzuri sana,,Nyani yenyewe ni diamond! !sura hana lips kaa matako bandia

  • @Rahmamatengo6114
    @Rahmamatengo6114 7 років тому +1

    Sister P anakwambia
    watachonga sana juu yako achana nao
    watapaka tope jina lako achana naoooooo fanya yako baba sawa

  • @samsonwaweru9154
    @samsonwaweru9154 4 роки тому

    Hey hamorapa.. usiumizwe na maneno ya washenzi, who said he himself is perfect?.. you are perfect hamo

  • @silivestasimon59
    @silivestasimon59 6 років тому

    harmorapa ucjari mose hajielewi kielelezo tosha kasha msahau mungu wake usjali broo

  • @fattysuleiman3516
    @fattysuleiman3516 6 років тому

    Kweli kafanya makosa sana ila harmorap muachie tu mungu ndie hakimu wew fanya kazi yko usikatishwe tamaa na wachimba chumvi

  • @mariamukingazi3668
    @mariamukingazi3668 3 роки тому +1

    Mbona mzuri tu njoo unioe mm nakupenda

  • @amanijolam4140
    @amanijolam4140 7 років тому

    iyobo au katumwa kwanini umkashfu binadamu mwenzio kiasi hicho,akumbuke yeye ni kibaraka tu mwenzi ni mpambanaji anaweza kufikia mbali zaidi yako BIG UP HAMORAPA.

  • @nawinahke710
    @nawinahke710 6 років тому

    image n likeness of God,,kazi ya mungu haina makosa

  • @josonwakitaa2092
    @josonwakitaa2092 7 років тому +1

    mabifu yanasaidia ata mimi nilikuwa sikujui sasa nasubiri ngoma yako mpya.afu ukifuatilia stori ya maisha ya yule jamaa ndio utajuwa jinsi gani watu wanajua kumkufuru mungu

  • @gracekathulejoseph6782
    @gracekathulejoseph6782 7 років тому +2

    Pole sana harmorapa takehrt ni kawainda tu ya usanii..Simba yeye kaitwa domo domo hila bado yuko..

  • @munirayusra91
    @munirayusra91 7 років тому

    Duh pole sana kkangu wambie kweli hyuo wako harmonize nae aitweje??

  • @niyonsabasaada7831
    @niyonsabasaada7831 3 роки тому

    Harmorap wewe Ni handsome wala yasikutish atafunzwa naduniya yule yeye Ndio nyan asokuwanahaya amezaliwa mutaan yul ni ibiris Allah akuwekey wepes Inshallah mupenz 🇧🇮

  • @halimahomari4574
    @halimahomari4574 7 років тому +1

    Usijali kakangu ww mwachie mungu, kwa uzuri gani alionao apeleke huko

  • @salimatuyahhaya5772
    @salimatuyahhaya5772 7 років тому +66

    kila MTU Achunge sana 2 ulimi Wake Mh.

    • @mariamk1488
      @mariamk1488 7 років тому

      Salimatu yahhaya Maneno kuntu mashallah kuambiana kuko ila kuskizana hakuna

    • @salimatuyahhaya5772
      @salimatuyahhaya5772 7 років тому

      Mariam K Vijineno kuntu ndugu yangu Hhahaaaaaa

  • @sheymahabdulwahidkhalid6355
    @sheymahabdulwahidkhalid6355 7 років тому

    si vizuli Moses kiukweli
    huwezi mtoa mwenzako kasoro zake
    sis sote tumeumbwa na mungu

  • @rihammoosa9213
    @rihammoosa9213 5 років тому

    Pole sana kaka duh jaman km hujafa hujaumbika usimdharau mwezako

  • @reubenonsando1148
    @reubenonsando1148 6 років тому

    Da !pole sana ndugu .

  • @gilee2353
    @gilee2353 7 років тому

    My brother, mchukulie kama vile humuoni, Mallipo ni hapahapa duniani; safari ya maisha lazima ukutane na vingi vikwazo

  • @yusufurashidi9812
    @yusufurashidi9812 3 роки тому

    Kaza broo maneno kam upepo

  • @benyvoice9415
    @benyvoice9415 7 років тому +1

    harmorapa umetisha sana msamehe bule

  • @vumiliapetre4447
    @vumiliapetre4447 7 років тому +1

    pole kaka yote mwachie mungu ndo atahukum

  • @misssantosh7422
    @misssantosh7422 5 років тому +1

    pole sana jamani 🙆🙆 yeye mwenyewe kama...

  • @faustineimanigaba9391
    @faustineimanigaba9391 6 років тому

    Jikaze sana kaka yngu njo gisi waylimwengu walivyo

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 4 роки тому +1

    Pole saana ,Kaka

  • @khamisswalehe
    @khamisswalehe 7 років тому

    nasikitishwa sana na hizi habari ila mungu analipa hapa hapa duniani kwani hyo moze ana uhandsome gani ndygu yangu daah mungu hukosei kuumba ila umetuumba tofauti

  • @zuweenaalzuweena3740
    @zuweenaalzuweena3740 7 років тому

    Nimeumia sana pole kaka

  • @Rahmamatengo6114
    @Rahmamatengo6114 7 років тому

    achana nao hao ww fanya yako Harmo Rapa fanya yako baba usiumie leo wameongea hivyo kesho wataongea mengi zaid achana nao sawa angalia kazi zako wangu

  • @lucaskimogere2322
    @lucaskimogere2322 3 роки тому +1

    Lathi gani?

  • @lichadavid7677
    @lichadavid7677 7 років тому

    sii vizuri kibinadam kiukwel hiyo sentens ya mwisho ni fireeeeee

  • @phautize460
    @phautize460 Рік тому

    Pole kaka yote mwachie mungu ndo atamuadhibu

  • @kibakibamondisorry7293
    @kibakibamondisorry7293 6 років тому

    Ayo. Tv. I lov somach

  • @user-ik3ey9cs9e
    @user-ik3ey9cs9e 6 років тому

    POLE BROO. MUNGU ALIEKUUMBA ANAKUPENDA.MSHUKURU MUNGU.MALIPO DUNIANI.MUNGU AMSAMEHE. MUNGU ATAKUSAHAULISHA. USIUMIE BROO.MUNGU KAKUPENDA ALHAMDULILLAH.

  • @richardmwanzia6938
    @richardmwanzia6938 6 років тому

    Jesus sasa hii ndio nini mose ukiwa nduniani bado mungu anaendeleanga kukuumba so take care usiaribiwe sura na mola ata huyu kijana nampenda sana

  • @aliyamtonda2931
    @aliyamtonda2931 7 років тому

    pole masikini binadamu ndivyo walivyo

  • @calvinfungo2441
    @calvinfungo2441 4 роки тому

    Pole Sana...... Lkn pia umejitahd kuwa mvumilivu..... Hy ni K... Pamoja na meneja wake na hta waliomsaport kuongea uxenge huoooo

  • @sheillaarazia6096
    @sheillaarazia6096 6 років тому

    Pole .kaka kwanza munafana na Hamonez

  • @memsaphaga2639
    @memsaphaga2639 7 років тому

    kabisaa kaka Hormonrapa ujafa ujaumbika muukumie mungu atakulipalia

  • @mussakusaga4147
    @mussakusaga4147 7 років тому

    ok hii sawa ndugu ukwel sem

  • @alvismumkaranja3360
    @alvismumkaranja3360 6 років тому

    Pole sana harmo Mungu anamuona

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 7 років тому +1

    pole sana man

  • @amosisoni6622
    @amosisoni6622 6 років тому

    Pole sana ata namimi binaniuma sana analolote

  • @juliusuronu8812
    @juliusuronu8812 7 років тому +3

    pole sana dogo

  • @tzr9805
    @tzr9805 6 років тому +1

    Pole kaka ndo mamb we muachie mungu

  • @mariambb4683
    @mariambb4683 7 років тому

    pole sana kaka ila siyo vzr kufananisha mtu kivyo sipendi watu wanaojiona bola kuliko wezo mose iyobo amuombe mwezake musamaha haujiumba yy aliubwa na mung kumbuka dunia hujafa hujaumbika

  • @bwanamkunaji2548
    @bwanamkunaji2548 3 роки тому

    Nakubaliana na harmorapa,,,,,,mose asiringe

  • @justinmuliki173
    @justinmuliki173 6 років тому

    Vizuri sana mzee baba

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 років тому

    mmmmmh pole bro lkn kusema kweli mm coni kama ume fanana na mtu hko WCB wala usijichocho mbona mondi wanamtuc kila cku vle yko na wala hajali

  • @adillhabib2006
    @adillhabib2006 5 років тому

    Kiukwel dharau haifai jaman dah mwenyezmungu anaweza kumfanya mzima kua mlemavu na mlemav kua mzm uyo mos iyobo aweza pata ajali uso ukawa kma chui mungu amnusur

  • @khadijaazuwajiawadh8971
    @khadijaazuwajiawadh8971 7 років тому

    pole sana hamorapa,

  • @athumanimakorongo254
    @athumanimakorongo254 6 років тому

    dah pole Br hamor

  • @henryxavery1713
    @henryxavery1713 3 роки тому

    Asipoomba Msamaha,,muadhibu Leo Umenifurashisha,,Yale Maminyororo Hujayavaa..Hapo Tupo Pamoja..Kijana wangu💪.Usisahau,,Kumshikisha Adabu huyo Iyobo,,Nawaomba Waafrica,tusidharauriane,Hasa Watanzania..Ukimfanisha Mwanadamu na Kiumbe,,Tofauti na Binadamu.. Mwanadamu,.Mungu',Allah alituumba Kwa Mfano wake.,utakuwa Umemfananisha Nani?na hicho kiume Hayawani??Naomba Jibu??Sijuwi Ni Nani alikwisha wahi Kumuona "MUNGU"
    Huyo Amorapa Yupo Vizuri Tu..Hana Mfano Huo.Hivi Hao Wasafi Wa Diamond platinums"Mbona wapo Tofauti na Hilo Jina??

  • @dreamerboy4956
    @dreamerboy4956 7 років тому

    Pole sana mkuu kwakuitwa nyani..Ila sisi huku Marekani tunaitwa nyani sana na White Americans ndo tumeshazoea.

  • @danya11l
    @danya11l 7 років тому +1

    i see you bro, u are doing good , keep on doing you thang

  • @MrVocar-ml9vo
    @MrVocar-ml9vo 4 роки тому

    Pole man all is life mafriend