Joel Nanauka : Matumizi sahihi ya Pesa.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @ConfusedGlacier-my3cl
    @ConfusedGlacier-my3cl 10 місяців тому

    Thenky so much 👏 Napenda mafunzo yako yana ni bàdilisha Kwa kiwango kikubwa 😊👏👏.
    God bless you

  • @maggiepeter8936
    @maggiepeter8936 4 роки тому +3

    Sijawahi kuchoka kukufatilia .....Asante sana 👏🏻👏🏻👏🏻

  • @sylvestermagarya5342
    @sylvestermagarya5342 Рік тому

    Thanks brother joel nanauka nimeelewa 🙏

  • @chikotosammy3891
    @chikotosammy3891 4 роки тому +2

    Thank you for everything, be blessed proud of you Bro... Natumia sana mafunzo yako

  • @NSABIMANAJEANDAMASCENE
    @NSABIMANAJEANDAMASCENE Рік тому

    NAKUPENDA SANA, PIA UNASEMA UKWELI MNO. PONGEZI KWAKO.

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 Рік тому +1

    Ahsante Brother

  • @anithamichael5716
    @anithamichael5716 4 роки тому +2

    Asante sana kaka nimejifunza kwako, be blessed

  • @jayeventstv313
    @jayeventstv313 4 роки тому +1

    I've been waiting for this topic eggery.Thumbs kwa "Timiza malengo Mbega season 1&2 "was really amazing nimejifhnza

  • @williammweta5539
    @williammweta5539 4 роки тому

    Nidhamu ni muhimu sana, asante mkuu

  • @mathewmartin4413
    @mathewmartin4413 3 роки тому

    Asante sana kk barikiwe

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 3 роки тому

    Binafsi kanuni hii ulifundisha Nadhani mwaka wa nyuma kidogo na bado inanisaidia sana Kwa sasa na bado naitumia. Huwezi amini Hata ukinipa mia tano Lazima niitawanye kwenye mafungu hayo matatu.

  • @kingudaud9292
    @kingudaud9292 2 роки тому

    Mkuu si wengine kama hutumii pesa pesa zingine haziingii hii hali ikoje!. Na hata ikingia inakua kwa u chache tofauti na ukiwa unatumia.

  • @Dm-yq9wn
    @Dm-yq9wn 4 роки тому +1

    Asante teacher

  • @japharykwezi7604
    @japharykwezi7604 4 роки тому

    Joeli Nanauka nipo hewana nasubiri matumizi sahihi ya pesa

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 4 роки тому

    Asante kaka nimekuelewa sana

  • @victorandrew5150
    @victorandrew5150 4 роки тому

    Nimekubal kaka nitalifanyia kazi mm nimzembe sana kweny kuweka akiba nitajitahid sana lakin mwishowe nitaila sijui kwann

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 роки тому

    Ahsante sana kwa mafunzo.

  • @NkindoMasunga
    @NkindoMasunga 4 місяці тому

    Ahsante sana broo ❤

  • @melancolin8658
    @melancolin8658 4 роки тому

    Iyo ni Kwa watu wanaopata pesa Kama mshahara ivii na kuendelea lakini Kwa sisi Wajasiriamali haijii maana maisha yetu ni Leo unapata kesho upati keshokutwa unapata buku Mara Siku nyingine unapiga hadi laki hatueleweki sasa iyo itakujaje Kwa mfano naomba nipewe maelezo Kama itawezekana

    • @joramjaphet9133
      @joramjaphet9133 4 роки тому

      hyo ni kwa kla pesa unayoingiza tumia asilimia 50/30/20 kitu kitakuwa sawa.mfn Leo umeimgiza buku mia 500 ambayo n asilimia 50 itakuwa mahitaj muhimu,300 wants yasiyo ya lazma na 200 akiba/uwekezaj

    • @christinen8291
      @christinen8291 4 роки тому +1

      Mimi sasa ni miaka 2 natumiya hiyo ya kuwekeza 20/100
      Sasa ivi mimi ni billionaire kwa businesses kabisa.
      Ni lazima ufunge roho na macho, kwa kuyifikia.
      Mfano: n ilikuwa napata 100.000 hapo hapo 20.000 nazikimbiza haraka kwa box langu nyumbani, au kwa Bank (mahali siwezi kutowa pesa lolote😂 mpaka mwaka 1 au 2).
      Miezi 6 ya kwanza inakuwa kama vita, lakini baadaye ikakuwa kama automatically..
      Kila pesa n ilikuwa napata lazima nitowe 20/100.
      Hata iwe 5000 shillings nilitowa 20/100.
      Baada ya myaka 2 nikafunguwa account na box ya nyumbani🙏🤭👍siku hiyo siwezi nikasahu kabisa.
      Tangu siku hiyo nikaanza business mbalimbali na nikaendelea kuwekeza vile vile mpaka sasa. Mimi ni billionaire kabisa. Pesa ninazo hata computer hayiwezi kuzihesabu. 😂

  • @robertipagala802
    @robertipagala802 2 роки тому

    No doubt my brother 💯👊

  • @charlesfaida1515
    @charlesfaida1515 4 роки тому

    Thank you my life teacher

  • @robertluge4263
    @robertluge4263 4 роки тому

    Mtalam nakufatilia sana uko vizuri nnakuitaji sana

    • @jayeventstv313
      @jayeventstv313 4 роки тому

      Luge wewe una jina la rafiki yangu "Luge mtahaba"Mola ailaze roho yake mahali pema.

  • @abdukadiliissa8076
    @abdukadiliissa8076 4 роки тому

    Wewe kwetu ni hazina kaka yetu Joel

  • @fabiannjovu2273
    @fabiannjovu2273 2 роки тому

    God bless yoy

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 4 роки тому

    Asante Kwa ku tuelewesha ubarikiwe sana👏👏👏

  • @citymaxbookshoptanzania2924
    @citymaxbookshoptanzania2924 4 роки тому

    Asante sana brother

  • @brobabuu3973
    @brobabuu3973 4 роки тому +2

    Bro JOEL wewe ni Mtu wa UKWEELIII, Nimejifunza mengiiiiiii sana kutoka kwako, hadi sasa nimetoka ktk Comfort zone na ninalengo KUBWA la kuwa Billionaire, hadi nimetengeneza UA-cam channel yangu na nimeweka video ya kwanza tayari nitashiriki na watu kila ninachokijua na kama ni kuanguka wacha nianguke HADHARANI. Mungu akubariki sana BRO.

  • @dominamaganga164
    @dominamaganga164 4 роки тому

    Point taken

  • @nathankibizo8158
    @nathankibizo8158 4 роки тому

    Elimu muhimu sana mwalimu

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 4 роки тому

    Kizazi sana bro

  • @Mkaambali
    @Mkaambali 4 роки тому

    Asante

  • @ministerbk2018
    @ministerbk2018 4 роки тому

    Respect

  • @jayeventstv313
    @jayeventstv313 4 роки тому

    Naanza sasa hivi huu mwezi.

  • @lascavemba1258
    @lascavemba1258 4 роки тому

    Ubongo umepata chakula

  • @kasesecompany3187
    @kasesecompany3187 4 роки тому

    genius

  • @dicxonjohn8476
    @dicxonjohn8476 4 роки тому

    👏👏

  • @joramjaphet9133
    @joramjaphet9133 4 роки тому

    Kaka Joel nilitaka nijue kitu kmoja kuhusu uwekezaji na akiba hyo 20% ,hv n sahihi ikitmika kwnye kukuza mtaji wa biashara? na je tofauti ya akiba na uwekezaji n IPI?

  • @expert5898
    @expert5898 3 роки тому

    Swala la kutoa kanisani au nyumba ya ibada mfano sadaka au fungu la kumi linatoka kwenye fungu lipi la asilimia katika mafungu hayo matatu?

  • @juliuskanyomoza8848
    @juliuskanyomoza8848 4 роки тому

    Zaka wapi coach?

    • @paultheartivist
      @paultheartivist 4 роки тому +1

      zaka ni kwenye debt apo 20%

    • @joramjaphet9133
      @joramjaphet9133 4 роки тому

      @@paultheartivist hapn Paul ukiweka hapo hutabaki na akiba nadhani iwe kwny wants ili wants ibaki asilimia 20

  • @rashidkihombo6782
    @rashidkihombo6782 4 роки тому

    Asante