Mzazi wa NESTORY IRANKUNDA, aelezea maisha ya mtoto wake//Mimi ndoo nimeamua aichezee BAYERN MUNICH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 вер 2024
  • Anaitwa NESTORY IRANKUNDA. Alizaliwa tarehe 9 Februari 2006, kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta, Mkoani Kigoma Wilayani Kibondo nchini Tanzania. Wazazi wake wote Gideon na Dafroza, wanatokea nchini Burundi. NESTORY alihamia nchini Australia akiwa mtoto mchanga wa miezi mitatu tu. Aliishi jijini Perth, Western Australia na baadae akahamia Adelaide South Australia. NESTORY alichezea timu mbalimbali za hapa Adelaide zikiwemo Northern Wolves, Parafield Gardens, Adelaide Croatian Raiders, kabla ya kujiunga na Adelaide United ambayo inacheza ligi kuu ya Australia (A-league). Tarehe 14 Novemba 2023, NESTORY alisaini mkataba wa miaka minne na moja ya timu kubwa duniani ya BAYERN MUNICH, na mkataba wake utaanza rasmi tarehe 1/07/2024. Tumepata bahati ya kutembelea mzazi wa NESTORY nyumbani kwake maeneo ya Parafield Gardens akatueleza mengi kuhusu maisha ya mwanae na familia yake kwa ujumla. Pastor Gideon Rurandagaye nae aliwahi kucheza kandanda kambini Nduta na Kibondo miaka ya 2000. Je maisha yake kambini Nduta yalikua vipi? Je NESTORY amejiandaa je kuichezea Bayern Munich? Ni nchi gani ameamua kuchezea kati ya Burundi, Tanzania na Australia?
    Fatilia hii interview ujue mengi kuhusu maisha ya NESTORY.
    Karibuni sana!

КОМЕНТАРІ • 11

  • @LightnessJohnson-v9c
    @LightnessJohnson-v9c 8 місяців тому

    Jaman watanzania

  • @JackieloveKingbuja
    @JackieloveKingbuja 3 місяці тому

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💯💐💐

  • @SaliminMbaluku
    @SaliminMbaluku Місяць тому

    Sasa mtt si angecheza na fei taifa star

  • @NdayambajeDickson
    @NdayambajeDickson 6 місяців тому

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇳🇿🇳🇿🇳🇿☝️☝️☝️☝️🤜🤛

  • @ErastoMoulis
    @ErastoMoulis 8 місяців тому

    Tusalimiane na kukumbukana kaka
    19:12

  • @FistoLamu
    @FistoLamu 2 місяці тому +1

    Bro huyo Jamaa mtangazaji ninaona kama amenenepa sana lakini hakumbuki kama alikuwa mwembamba sana,anaitwa kidumu kwao kagongo,rumongo

  • @NzeyiwaboAbdul
    @NzeyiwaboAbdul 18 днів тому

    Wewe hunamadkio amekwambiya yeye ni mkimbizi wa. Bj sasa anaongeya nini?

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 8 місяців тому

    Metering tifa staa

  • @christopherniyimbabazi9969
    @christopherniyimbabazi9969 7 місяців тому

    Ashaongea kuwa ni mukimbizi Tanzania

  • @eliamk1512
    @eliamk1512 10 місяців тому

    Huyu mzee anajifanya kama sio mrundi ao mtanzania, aache kuchanganya mambo awe muazi bwana huyo ni Mrundi bwana..
    Anashindwa kujuwa uko wake kipindi mambo yote yako wazi.