KIMARIO ALIYEKUTWA NA KINYESI NA LITA 70 ZA MKOJO AFUKUZWA NA BABA MWENYE NYUMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 88

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 7 днів тому +19

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @nsajigwamwasumbi4990
    @nsajigwamwasumbi4990 5 днів тому +1

    Ukisikia Watumishi wa Mungu wanakemea pepo mchafu. Binadamu wenye pepo mchafu ndo hawa.

    • @Happizo
      @Happizo 2 дні тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @IddNgakonda
    @IddNgakonda 7 днів тому +9

    Mimi nafikiri ingekuwa busara jeshi la Polisi kumshikilia na kumuhoji kwa kina coz ukute huo uchafu waweza tumika kama malighafi kwa bidhaa zitumikazo ktk jamii au hutumika kwenye Imani za kishirikina ziletazo madhara kwenye jamii.

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 7 днів тому +2

    Jana mliriport Kimaro Leo kageuka Tarimo hebu mtuache Sisi wenye ukoo wetu hatuna hizo mapigo😂😂🙌🏃🏃

  • @AbuodSeleman
    @AbuodSeleman 7 днів тому +7

    ukistaajabu ya mussa utaona ya Arusha😂😂😂😂

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 7 днів тому +5

    Ndomana nyumba nyingine ukikaa huendelei,kumbe aliyetoka alikuwa anakaa na mashetan,mavi mikojo duh

  • @priscambise2660
    @priscambise2660 7 днів тому +2

    Arusha Yesu awatunze aisee imekua too much ss huu mwaka its all about Arusha na matukio yenu

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni 7 днів тому +3

    Ila watu waonge eti anauza chips kariakoo mpaka leo nimeshindia mhindi wa kuchoma kumbe mshona maturubai

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota 7 днів тому +3

    😂😂duh kwny safuria umekunya 😅😅

  • @AksaRaphael
    @AksaRaphael 7 днів тому +1

    Bila shaka vitu hivyo vinatumika kwa namna fulan ambavyo cyo rahis sisi kujua ahojiwe vzr

  • @KyissmaMoreen
    @KyissmaMoreen 7 днів тому +3

    Wachaga wameanza kuchangamka 😂😂😂

  • @malkiawanguvu3150
    @malkiawanguvu3150 7 днів тому +6

    Ukisikia kuna watu wanamaajabu na wanaishi na maajabu yao ndio.mkoa.wa.Arusha😅

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 7 днів тому +1

    Kwann msimpeleke police 👮 akatoe maelezo vzr hapo anahama atahamia kwingine uchunguzi unahitajika

  • @RoseMrio
    @RoseMrio 7 днів тому +1

    kwa kwl nliwah pia kuwa na kijana wa kaz akaniibia akakimbia xk nmeingia anapolala nkakutana na mkojo lta 5 nkajua mafuta ya kupikia 😅😅😅😅 uy kaona apime kbx

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 7 днів тому +6

    Mkojo lita 70🤣🤣🤣??? Yani wadau wamepima hadi ujazo wa mkojo🤣🤣..

    • @salmaalkyumi6030
      @salmaalkyumi6030 7 днів тому +3

      Nimejiuliza same question
      Huyo alopima nani😅😅😅

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 7 днів тому +9

      Ulikua kwenye chupa za lita so ilikua rahisi kuzihesabu!!!

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 7 днів тому

      @@salmaalkyumi6030🤣noma sana

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 7 днів тому +1

      ​@@mamboshepea8888kwamba ni chupa 70 wallah

    • @neemakingu4134
      @neemakingu4134 7 днів тому

      ​@@fatmazullu4933😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @LucySanga-jb9wb
    @LucySanga-jb9wb 6 днів тому

    Mimi nilisha wahi kupanga nyumba kunakaka nilimkuta naye kapanga hapohapo nilipo panga Mimi akaoa akafunga ndoa tukaenda mpaka ukumbini sherehe safi kabisa lakini yule dada alipofka aligoma kutumika choo tunacho tumia Wala kuoga bafuni anakunya ndani anaenda kumwaga chooni hata kuoga nindani kukojoa nindani alipanga chumba seble akazaa watoto watatu mwpapnaume akamfukuza mpaka Leo mwanamke yupo kwao

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 6 днів тому

      Kweli hata Mimi nilipanga na dada wahivo Halafu ni chumba kimoja,asubuh Mwanaume anaenda kumwanga aibu duniani

  • @NusaiybRashid
    @NusaiybRashid 7 днів тому +3

    We kimario. Kwann unatuabisha wachaga wenzio. Kwann kimario jaman

    • @salmanassor8732
      @salmanassor8732 7 днів тому

      😂😂Nacheka kama mazurii

    • @neemakingu4134
      @neemakingu4134 7 днів тому

      ​@@salmanassor8732I second you 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @D.P.O
    @D.P.O 7 днів тому +3

    Huyo inaonekana alikuwa hakai hapo hicho chumba kilikuwa na kazi maalumu amini usiamini.

    • @irhamseif
      @irhamseif 7 днів тому +2

      Ndio kwasababu hakukua na nguo yake hata moja wala shuka zaid ya godoro na hvyo vitu tu ndoo na machupa ya mavi na jana alipoojiwa alisema muulizen baba mwenyenyumba na jana aligoma kuongea huyo baba leo kijana kaondoka ndo anaongea😢

  • @linahmacha370
    @linahmacha370 7 днів тому +1

    Mama yangu aliniambia mwanangu kuwa uyaone nilijua nishaona yote kumbe bado 🙆🙆🙆

  • @annamsuguri4345
    @annamsuguri4345 7 днів тому +2

    Majini ndio yanapenda maharufu hayo mavi na mikojo, alishindwa tu kuishi chooni

  • @MariaProtas-qh2uq
    @MariaProtas-qh2uq 7 днів тому +3

    Ukistaajabu ya Mussa utaona ya ....😊

  • @j18i319
    @j18i319 7 днів тому +1

    umekosea jina Huyu anaitwa Kimario sio Tarimo ( 'Tarimo ni yule mtu ambaye ali nusurika kutekwa') Ebu badilisha jina uta wa confuse watu

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 7 днів тому +4

    Ukistaajabu ya Kimaro utayaona ya Kimario ,Wachaga waneanza ufugaji wa mavi 😂

    • @EdnaMbowe
      @EdnaMbowe 7 днів тому +1

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @salmanassor8732
      @salmanassor8732 7 днів тому +1

      Dahhhhhh kwa kweli mtihani 😂😂😂😂😂

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 7 днів тому +1

      😂😂😂😂😂😂uwii mbavu zangu wachaga wenzangu mpooo

    • @aishasoloka5616
      @aishasoloka5616 7 днів тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @neemakingu4134
      @neemakingu4134 7 днів тому +2

      Wachunguze vizuri. Usikute ni biashara inayolipa na hatujui.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mchaga hafanyi kitu kisicho na faida.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @aby21111
    @aby21111 7 днів тому

    Why hi mutu iko free? Lazima na peleka yeye professional interrogation. Duubious character and dangerous act.😎🇺🇲

  • @africakaka7217
    @africakaka7217 7 днів тому +1

    Uvivu wakutoka nje huo , nasio hao tu wapo wengi sana wenye tabia hii . Unakuta jitu kubwa linakojolea ndani alafu kwenye mandoo unakuta asubuhi mtu anatoka na ndoo anaenda kumwaga mikojo , na kwauchunguzi wangu niliofanya wanaofanya hivyo waliowengi ni wapangaji , yani ni aibu sana

    • @JosephineMhando
      @JosephineMhando 7 днів тому

      Ata kama ni uvivu wakutoka nje siangekua anamwaga bc kuliko kulala navyo ndani

  • @priscambise2660
    @priscambise2660 7 днів тому +1

    Watu wanafanyaga hvyo ila asb wanamwaga ss yy kwann alikua amwagi asb

  • @vero57
    @vero57 7 днів тому +1

    CHUMBA KINASUBIRI CUSTOMER MWENGINE, KWANINI MUSITAFUTE WAZAZI WAKE???? AGETAKIWA KWENDA HOSPITAL ASJE AKA MZURU MTU HUKO

  • @DorothyFrancis-j5z
    @DorothyFrancis-j5z 7 днів тому +5

    Sasa hiyo harufu alikuwa anaishije?

  • @pendosailo1989
    @pendosailo1989 7 днів тому

    Watu kama hawa wanatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa afya na Psychology pia...sio anaachiwa tu... wataalamu hebu fuatlieni huyu mtu. Anaweza sababisha janga lotakalodhuru Watu wengi.

  • @PamelaGodfrey-q9b
    @PamelaGodfrey-q9b 5 днів тому

    Kua uyaone magorofa siyo ivo vtuko

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 6 днів тому

    Yaani km alikua anakaa nga chips mayai watu watakua wamekula vnyesi balaa

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 6 днів тому

    Shida kubwa wabongo kila kitu ni uchawi tu mambo mengine ni matatizo ya akili. Ingieni kwenye simu zenu mjiongeze kielimu. Huo ni aina ya ugonjwa wa akili siyo lazima mtu aokote makopo

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 7 днів тому

    😂😂😂 Kweli uyu binadam niwanyongeza akifa atazaliwa upya kongo akiwa chura

  • @animaniacs588
    @animaniacs588 6 днів тому +1

    Sipo hapo lakini bado nasikia harufu 🤢🤮

  • @JanethAgustino-on9hr
    @JanethAgustino-on9hr 6 днів тому

    Nani aliosha hivyo vyombo tujuzeni jameni 😂

  • @Dafetty
    @Dafetty 7 днів тому +2

    Kwanin Arusha ni mkoa unao ongoza kwa matukio why🤔🤔

  • @Mboga_sabaa
    @Mboga_sabaa 7 днів тому

    😂😂😂 hiii dunia imevaaa sketi kila kukicha vitukoo

  • @priscambise2660
    @priscambise2660 7 днів тому

    Yaan huyu alikua na shughuli muhimu na hayo mavi na mikojo maana ndoa zinajaa zote hizo anaenda kutfta myingne

  • @rosekimario5748
    @rosekimario5748 7 днів тому +1

    Wewe @jsaidi acha masihara,eti wachaga wameanza ufugaji wa mavi😂Hiyo ni tabia yake binafsi

  • @AngelMasumbuko-k4g
    @AngelMasumbuko-k4g 7 днів тому

    Mmmmhh ni hatar san

  • @juliusmagembe7040
    @juliusmagembe7040 7 днів тому +3

    Nani ataishi tena kwenye hiyo nyumba?

  • @JenisterMalambugi.-ne2rv
    @JenisterMalambugi.-ne2rv 7 днів тому

    Sio bure kijana anashida huyo.

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 7 днів тому +4

    Nani atapanga tena humo na mavi yaliyokuwa humo na mamikojo? Jamani

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 7 днів тому +1

    Duuh hicho chumba kilikuwa kinakalika kweli?

  • @milelelodge2363
    @milelelodge2363 7 днів тому +1

    Mbona kiswahili chake sio sawa!!!😮

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 7 днів тому

    Duuu sasa vitu ivoo vyanini sasa

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 7 днів тому

    Duuuuuuh

  • @sixytntongambele3038
    @sixytntongambele3038 7 днів тому

    Arusha mbna matukio kila uchwao

  • @RosadaMtey
    @RosadaMtey 7 днів тому

    Nchi yangu haiishi matukio

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 7 днів тому

    ACHA AMFUKUZE😂😂 MTU ANAONGEA ANAJIAMINI KWA MAOVU YAKE? BANGI MBAYA

  • @dorismkongwe4140
    @dorismkongwe4140 7 днів тому

    Duuuu mnakazi waaandishi ndozamavi

  • @ZamZam-r9f
    @ZamZam-r9f 7 днів тому +1

    😂😂😅😅😅😅🤣🤣🤣