Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hii dunia ina wamama wa hovyo xana. Mungu nilindie mama yangu asijekufanya mamb ya hovyo kam hivi 😢😢😢😢😢😢😢
Laana ya nje nje kabisa hii
😂😂😂😂😂sihami tena tz jamani maisha ya watanzania ni series kila siku ep mpya sisi tutazidi kuangalia. Like za wakenya na watanzania ❤❤😊
Miaka sabini sio kweli😂😂😂😂
Hata kama umempenda sio kumdhalilisha kuwa ana dhiki au familia yake ni ya shida hayo sio mapenzi inaonyesha wazi umetumia pesa yako kumteka kimapenzi,muache mtoto wa watu aendelee na maisha yake.
Mishangaz na mibib mnatuaibisha wallah wazaz nyie duuh mtihan
Maigizo hayo
Huyo mama labda 47.watu wanafanya,vitu kwakulipizana kisasi.labda ila limshangazi liliona babu wa miake 75. akimuowa bintiwa miaka 25 ndo mshangazi naye kaamuwa kuchukuwa mzigo akomaze.
Mtt wakumzaa mim ndo anioe subkhan llah hao vijan nao gawajielew labsa
Kiki zenu nitukchosha mwana
Hiki kinacho ongekewa apa sio kweli itakuwa ni kiki2 Amna mapenzi
Hajafika ,72 huyo muongo
Na hana iyo miaka
Maigizo hayo. Miaka 70 ni uongo. Muwe mnapoiviza ikaribiane na ukweli.
72 hapo mama amedaganya , amenogewa tusemje dunia umefika hapo . Kwa raha zao.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
20 Kwa 72 tumepigwa
Ovyoooo kabisa