Namshukuru sana Mungu ,nilikua nikiota ndoto ya darasan na mtihan ni mgumu, mara kwa mara lakin sikujua kwamba inamaaana. Labda maraa tano sita miez, miez inapita naotaa onapitaa mieziii kadhaa inarud. Nikaona somo kwa pr mmbaga kwamba ndota za kujirudia zina maana , it’s God communiting something. Bac pr akanishaur kusali zaburi 16. Kwa muda kadhaa. Sababu ni kiuchumi, in short mambo yalianza kuwa mabayaa plan zinasimamaa , Jaman Mungu yupo hai , yupo Karibu sana tukimruhusu kutusaidia , God is good Jaman , nataka kuwaambia tulifanya ivyo tukasali Mimi na mwenzangu, Mungu akafungua njia , mambo yaliyosimama yakamalizika, biashara Mungu akafungua njiaa , yan unaona mkono wa Mungu kabisa . Nataka kuwatia moyo , Mungu ni mwema sana tuzidi kuombaa njiaa zitafunguka . Tuzid kumkabidhi mambo yetu ataongoza vizur . Mungu akiwa upande wetu hatuwez kusogezwaa ,ondolewa , chukuliwa kura yetu Noo God will be in control. God bless you all . God bless you so much pastor .
Mbarikiwe sana watumish wa mungu ,naamin weng tumebarikiwa
Ubarikiwe pastor, hakika nabarikiwa Sana kutoka hapa pande za kijaka
Tuwakumbuke watumishi wa Mungu wastaafu, Bwana azidi kuwatia nguvu hapa duniani, katika afya zao.
Asante kwa somo zuri
Be blessed pastor David mmbaga
Nabarikiwa nikiwa Zambia
Ririkiwa Sana mtumishi wa Mungu Mimi nipo Congo na huku panahitaji maombi ya nguvu Sana
Amina mungu ni mwema hakika mungu yupo na anatusikiliza jina lake liinuliwe nabarikiwa sana pr mbaga nikiwa mbweni mpiji SDA CHACH
God bless you pastor,am blessed from Kenya
Namshukuru sana Mungu ,nilikua nikiota ndoto ya darasan na mtihan ni mgumu, mara kwa mara lakin sikujua kwamba inamaaana. Labda maraa tano sita miez, miez inapita naotaa onapitaa mieziii kadhaa inarud.
Nikaona somo kwa pr mmbaga kwamba ndota za kujirudia zina maana , it’s God communiting something. Bac pr akanishaur kusali zaburi 16. Kwa muda kadhaa. Sababu ni kiuchumi, in short mambo yalianza kuwa mabayaa plan zinasimamaa ,
Jaman Mungu yupo hai , yupo Karibu sana tukimruhusu kutusaidia , God is good Jaman , nataka kuwaambia tulifanya ivyo tukasali Mimi na mwenzangu,
Mungu akafungua njia , mambo yaliyosimama yakamalizika, biashara Mungu akafungua njiaa , yan unaona mkono wa Mungu kabisa .
Nataka kuwatia moyo , Mungu ni mwema sana tuzidi kuombaa njiaa zitafunguka . Tuzid kumkabidhi mambo yetu ataongoza vizur . Mungu akiwa upande wetu hatuwez kusogezwaa ,ondolewa , chukuliwa kura yetu Noo God will be in control. God bless you all .
God bless you so much pastor .
Asante saana mchugaji naomba mungu haitimize ndoto zangu kwa saba u anazijua zote mtoto wangu alikataa should akiwa huo Kikuyu niombee arudi shuleni
Mungu nawaombea wazee,yatima na wajane Mungu awape tumaini na amani mioyoni mwao
Amen amen.
Hatuogopi Mungu atangulie Mpango yangu.
Naomba Mungu niongoze baba what to do to fullfill my goals.
Watching from the USA.
Pray for the USA.
Mch.ubalikiwe.MUNGU.akupe.maisha.malefu.uielimishe.watu
Ameen Ameen
Barikiwa mchungaji
May be Glory be toGod
Barikiwa sana ktk Washington
Tuwakumbuke wenzetu California USA moto umeangamiza wengi Na wengi hawana makao.
Barikiwa mchungaji