Dini utaifata vp kam hauna msimamo wajua wakati ukisonga kuna mambo mapya yanazuka na ni jukumu kuyajua na kukaa mbali nayo sasa wafaa usome bro wng na amue uko upande gani sababu Mtume wetu alishatabiri kuwa kutatoka makundi kama sjakosea 71 ila moja kati ya hayo makundi ndio litakuwa kwenye hakki
Yeah ndo umfuate huyo mtume mmoja, na maswahaba wake. Sasa ukidai mtume mmoja na ukawa ufanya daawa ya musailimatul Kadhabu, tuta kubainisha ili usiwaghuri watu.
huu ujinga wakujibizana ovyo kwa masheikh hauna maana , ukiona kuna sehemu watu wanakosea au hawana elimu na jambo toa mawaidha na uwafahamishe. Tuepuke migogoro isokua na tija
Nyinyi masalafi huwa masalafi mnapenda kutoelewa masheikh na kuita watu khawarij,ahlul bidaa.sheikh ibn taymiya alikusanya watu wenye itikadi tofauti na akasema ili watu wawe pamoja na ashaira.ssa utamwita ahlul bidaa yaani masalafi elimu ndogo na kutaka sifa eti na wwe umefanya radi.
Tatizo la Answar sunnah tangu hapo hawarejei kwa maulamaa...hiyo sherhu sunnah amesherhesha sheykh Fawzan Allaah amuhifadhi,Je sheykh ana maneno kama yake huyu mzee?
Inamaana shekhe unaposema "wakul jaa lhaku...." yaani ikija haqi na batwili huanguka. Kisha ukasema mpo Darsa watatu. Hio pekeake inaonyesha kuwa wakati WA Mtume saw mpaka kufika Sasa haipo haqi na haki wataka kuileta wewe Leo? 😂😂😂. Pili. Unasema mpo watatu wakati waislamu ni wengi tokea zama za Mtume saw, Sasa je umekuwa Mtume mpya unataka kukuza kundi lako jipya liengezeke?. Hapo tu tayari Pana shubha kuwa unatafuta kiki uanze kumega kundi la waislamu kwa siasa. Lazima waislamu tuamke na tuchague kiongozi
Ngoja nikuulize swali, Hivi Mimi nikifuata Quran na Sunna na nikajiepusha na bidaa lakini bila kujiita jina lolote Salafi , Sunni wala Ansar Sunna je nitakuwa si muislamu Kamili?
@@sadikiissa7756 wewe utakua n muislamu, but kujiita salafi sinui nani sijui nani hayo n madoido tu, Mche Allah mtii mtume wake jiepushe na bidaa, chukia maaswia kiepushe na shirki, Allah atakueka sehemu anoyoijua yeye, sio mwanadamu atakueka, Allah aalam
بارك الله فيكم يا شيخنا الفاضل❤️
Maashallah shehe Allah akupe heri uzidi kutuelimisha usiumie Sana na mahizbi KWA kasfa zao tuelimishe watakujatu kufata haki kidogokidogo lnshallah💚
Allah akuhifadhi popote ulipo uzidi kutuilimisha na kutufafanuliya ma Sheikh ambao hawafai kuwafata ....
Allah akulipe khery sheikh wetu.!
Jazaka Allah khayran sheikhanaa Abul khatwab Abdallah Humeid.
Masha Allah wafungue watu akili sheikh Abdallah humeid Allah akilinde
Allah amuhifadhi ustadh عبد الله حميد
Aamiin
JazakAllah khairah sheikh humudi Allah awaifdhi awajalie subra Allahuma amiyn
she Allah akulipe kher
Sheikh Allah akuongozee Baaraka
ماشاءاللہ
wabainishe wote ahlul bidaa
wakifanya bidaa zao waekee wazi ili wale mazumbukuku wanaowatetea wawajue
Allah akuwezeshe sheikh right will be right always
نسأل الله لنا ولكم ولجميع المسلمين الثبات على الحق.
subhanallah
Mashallah jazakullahkher Allah tujalie mwisho mwema
Allah Akuhifadhi sheikh Humeid
Barahiyani ameporomoka wallah
Shukran Sanaa kwa elimu unayo tupa
Jazzakallah Khairaa
Maneno ya sawa haya ..Allah akubarik ya shaikh
Naaam Akhy wang Allaah akup Khayraaty jmn hdy raha
Kumuelimisha mwanadam kunahitaji hekima ya hali ya juu huwezi kurupuka usingizini ukamuelimisha mtu tujitathmini waislam
طيب
Allah ukihidhi akupe nguvu ya kuendelea kuwatoa watu ujinga
Dini yetu moja mtume wetu ni moja mungu moja laaailaha illaallah nani alieleta haya madhehebu ya kipuuuuuuzi
Rashid, hudhuria darsa ktk miskiti ya Masalafi ufaidike; Allah akufanyie wepesi
@@selemanimartin1081 I support Islam and not madhehebu (devisions) it wasn't like that during Muhammad sw
Dini utaifata vp kam hauna msimamo wajua wakati ukisonga kuna mambo mapya yanazuka na ni jukumu kuyajua na kukaa mbali nayo sasa wafaa usome bro wng na amue uko upande gani sababu Mtume wetu alishatabiri kuwa kutatoka makundi kama sjakosea 71 ila moja kati ya hayo makundi ndio litakuwa kwenye hakki
Yeah ndo umfuate huyo mtume mmoja, na maswahaba wake. Sasa ukidai mtume mmoja na ukawa ufanya daawa ya musailimatul Kadhabu, tuta kubainisha ili usiwaghuri watu.
usirudi nyuma sheikh
swaheeh
Abdallah humeid hujui kitu
Alhamdulilahi Allah akuifadhi unazidi kutufungua akili
WA AKINA BARAHIYANI WANACHUKI NA MASALAFI!TATIZO HUYU NI MKUSANYA MALI ZA KUOMBA OMBA!SI KTK WATU WA ELIMU!!
Nenda ukasome Kwa barahiyani
BARAHIYANI HANA SHIDA YA KUYAJUA MAPOTE YALIPOTEA!!YEYE YUPO BIZE KUKUSANYA MALI KAMA WAROMAN!!
🙏🙏
huu ujinga wakujibizana ovyo kwa masheikh hauna maana , ukiona kuna sehemu watu wanakosea au hawana elimu na jambo toa mawaidha na uwafahamishe. Tuepuke migogoro isokua na tija
Tunawekana Sawa ktk dini ya Allah: Sheikh Humeid Allah akulipe kila la kheri
Sheikh hukmu ya kuapa Kila usemapo maneno mawili au matatu ikoje.... Msaada tafadhali
Nyinyi masalafi huwa masalafi mnapenda kutoelewa masheikh na kuita watu khawarij,ahlul bidaa.sheikh ibn taymiya alikusanya watu wenye itikadi tofauti na akasema ili watu wawe pamoja na ashaira.ssa utamwita ahlul bidaa yaani masalafi elimu ndogo na kutaka sifa eti na wwe umefanya radi.
Masufi ni mtihani
Acheni upumbavu akili zetu haziwezi kumdiriki Allah kwahali yoyote ile kwhio musijaribu kutumia akili maji mukaongea munavyojiskia
Tatizo la Answar sunnah tangu hapo hawarejei kwa maulamaa...hiyo sherhu sunnah amesherhesha sheykh Fawzan Allaah amuhifadhi,Je sheykh ana maneno kama yake huyu mzee?
Mashaa Allah
Kwani nani huyoo ...
Hao masheikh mnaowakosoa ndio wanatuelimisha kila siku ,nyie kazi yenu kukosoa tu ,
Inamaana shekhe unaposema "wakul jaa lhaku...." yaani ikija haqi na batwili huanguka. Kisha ukasema mpo Darsa watatu. Hio pekeake inaonyesha kuwa wakati WA Mtume saw mpaka kufika Sasa haipo haqi na haki wataka kuileta wewe Leo? 😂😂😂. Pili. Unasema mpo watatu wakati waislamu ni wengi tokea zama za Mtume saw, Sasa je umekuwa Mtume mpya unataka kukuza kundi lako jipya liengezeke?. Hapo tu tayari Pana shubha kuwa unatafuta kiki uanze kumega kundi la waislamu kwa siasa. Lazima waislamu tuamke na tuchague kiongozi
Hilal,kakae darasani tafadhali
Pole sana kama wanafunzi ni watatu waliosikiza online ni wengi sana
Huoni 67400 susscibers sisi tuko mbali na tunasikiliza
njoo kwa bahero upatiwe elimu weye acha kuongeaongea eti we n Salafi dah mungu akuongoze
Ngoja nikuulize swali, Hivi Mimi nikifuata Quran na Sunna na nikajiepusha na bidaa lakini bila kujiita jina lolote Salafi , Sunni wala Ansar Sunna je nitakuwa si muislamu Kamili?
@@sadikiissa7756 hayo majina yote mtume rehema na amani juu yake hakujiita, dini aliyotuchagulia Mwenyezi Mungu mtukufu ni uislamu
@@sadikiissa7756 wewe utakua n muislamu, but kujiita salafi sinui nani sijui nani hayo n madoido tu, Mche Allah mtii mtume wake jiepushe na bidaa, chukia maaswia kiepushe na shirki, Allah atakueka sehemu anoyoijua yeye, sio mwanadamu atakueka, Allah aalam
Hii raddi mbona sasa inarudi kwa kassim amefungua chama na amekisajili pongwe foundation vp au sikweli