KIMEUMANA! WAZIRI JAFO ASHTUKIZA MILIMANI DODOMA- AKUTA MADUDU - ''HAIWEZEKANI - MUNAPEANA VIBALI''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @sangajaffar7419
    @sangajaffar7419 9 місяців тому

    Hii nchi yetu mtihani sana

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 9 місяців тому

    Hivi hawa huwa hawana akili eti mtu ameenda shule bora hata darasa la saba anaweza fanya mambo ya maana ni kama kichwa cha mwendawazimu

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 9 місяців тому

    Jafo, nashukuru wasichimbe mahali ambapo tayari kwenye master plan ya jiji hivyo vilima ndiyo kivutio cha jiji la Dodoma.

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 9 місяців тому

    Mazingira njoo kanda ya ziwa uone mashimo hadi Geita uko,usiishie Dom

  • @jacksonsawe2301
    @jacksonsawe2301 9 місяців тому

    Sasa zinatumaliza Dom

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 9 місяців тому

    Tatizo la sera za nchi yetu zinapeleka nchi shimoni badala ya kukazana kupeleka na kufundisha wtz nje nchi iwe na makampuni yake ichimbe madini tunakazana kuuza fursa hiyo kwa wawekezaji kwa tamaa ya kodi.Huwezi endeleza nchi kwa kodi za wawekezaji au ubia bali nikuleta umasikini kwa nchi

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 9 місяців тому

    Wewe.wazirinunqhusika.ktk hili. Hv kweli uhalibifunkm huu unashindwa kuoiga stop kazinOte kuanIa leo?

  • @sabathosamson5381
    @sabathosamson5381 9 місяців тому

    SASA japo unazuia milima , Barabara zitajengewa NN?