Mdomo wa Mwanamke ni Sumu - Sheikh Othman Michael

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2023

КОМЕНТАРІ • 11

  • @fatumaramadhani1283
    @fatumaramadhani1283 8 місяців тому

    Mashaallah wasingida sisi alhamdulillaah kwa akhlaq

  • @fatumaramadhani1283
    @fatumaramadhani1283 8 місяців тому

    Japo sio wote ila kwa asilimia kubwa alhamdulillaah

  • @batulindege7057
    @batulindege7057 8 місяців тому +1

    Wanaume wengine washapinda hawatonyooka mpaka kiama

  • @faithmapondo7370
    @faithmapondo7370 8 місяців тому

    Hatupend jmn kutoolewa ila wanaume mnatukatsha tamaa kwakwel unakuta mwanaume kisiran bila sabb

  • @user-vc8kp7sd7w
    @user-vc8kp7sd7w 8 місяців тому

    Otadhazi mimi nita swali nawekuuliza ilipo inje ya mada

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 8 місяців тому +1

    Hiii ni hatari mwanamke kuwa na mdomo mm wifi yangu anasema hana mkwe hana wifi yupo kwenywe ndowa ni mtihani yarabi mdomo mwingi mim simpendi tabia zake na uzushi mwingi na kuswali haswali 😢 yupo anatesa hafulii mume wake ni matusi kwenda mbele

  • @knight6757
    @knight6757 8 місяців тому +1

    Ndio maana M. Mungu ameruhusu wake wanne...au? 👀