Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mashallah
ALLAH AKUJAZE SHEIKH WANGU NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH MAWAIDHA matamu kweli
Aamin tumma aamin yaarab
Assalam aleikum sheikh,naomba unifahamishe Dua Gani ninayoweza kumuombea mwanamgu awache pombe,maana kijana was kiislamu yuangamia hivihivi nikiangalia NAMI sina elmu yakutosha
Unatakiwa kwanza utowe sadaka kwa ajili yake hlf uamke saa saba za uck uswal swala ya Sunna inayoitwa sunnatul hajaja, basi muombee duwa wkt uwo, Inshallah mung atakufanyia wepec