Wachaga wanaume wana upendo wa dhati sana sana kwa wake zao kuliko makabila yote duniani. Nwawapenda sana , hata mume wang ni mchaga naenjoy maisha sana sana mpka leo hii bado tu wote kama tumeowana juzi. I love wachaga sana sana sana na wanajua leo watoto zao kuliko maelezo.
Asantii shemeji yangu Kwa kutusifia am the one of them Ni hivyo tulivyo always tunajua majukumu yetu mke Ni dhahabu Na ua la Nyumba usipokitunza Nyumba aitapendeza,,najua one day nitaenjoy kupata wife material Bado nayaweka Maisha kwenye mstari ndio nifanye kampeni
Hongera sana my kama ww umebahatika ila mm nimeshudia ndoa mbili watu wanapigana balaa namm pia nilikua na mahusiano na mwanaume wakichaga hapana kwa kweli ila tuseme kila mtu kapangiwa wap furaha yako ilipo
Wachaga wanakuwanga romantic Hadi Wa Leo nawajua Sana but I knew that guys eeh wanajua kulea wake Na families zao for really hata akikuwa far wanarudingi tuu Kwa Bibi zaoo nawaombea Sana

Kwakweli nilikuwaga na mahusiano na mchaga ila sijawahi ona mahusiano kama yale kiukweli wanajua kupenda hatari
Asantii shemeji yangu Kwa kutusifia am the one of them Ni hivyo tulivyo always tunajua majukumu yetu mke Ni dhahabu Na ua la Nyumba usipokitunza Nyumba aitapendeza,,najua one day nitaenjoy kupata wife material Bado nayaweka Maisha kwenye mstari ndio nifanye kampeni
Mhhh wachaga wa wapi wenye upendo maana hawa wengine
Hongera dada nimekoswa koswa ulichokiongea nikweli sio waongo kwenye mahusiano
Hongera sana my kama ww umebahatika ila mm nimeshudia ndoa mbili watu wanapigana balaa namm pia nilikua na mahusiano na mwanaume wakichaga hapana kwa kweli ila tuseme kila mtu kapangiwa wap furaha yako ilipo
Pa ku comment nimepaona 😂😂😂😂asante mc umeniletea wapendanao ambao wote wazuri afu kingereza kwa wingi asee nimependa❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Uuuwwwiiii pole yeeenuuuu😅😅😅
Naomba Mungu nijalie mme mwema
Hongereni saaana Mungu awatangulie katika maisha yenu ya ndoa,alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe🙏🏼
Jaman kwani wanaume kama hawa wako wapi jaman....for sure i wish to be the one
Walikufa kwenye mv bukoba
Tupo nivile Hatujawah kukutana na ww 😁
@@melvinkanje70 mmmh
@@margarethlaurentw4979 ahahahaha
Niko hapa
Nataman mwKaa huu na me nioee kbx
Wachaga wanakuwanga romantic Hadi Wa Leo nawajua Sana but I knew that guys eeh wanajua kulea wake Na families zao for really hata akikuwa far wanarudingi tuu Kwa Bibi zaoo nawaombea Sana
Kwa aibu niliyo nayo ningekua uyo dada glass ingeshakua chini kitambo na mkojo juu na kulia juu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣😂🤣😂🤣🤣
🤣🤣🤣🤣na drip juu
@@mariageorge4729 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁🙌
Nimecheka kwa Sauti 😁🤣😁😁😁🤣😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyieeeeee😂😂😂😂😂😂ata Mimi yan
Mmmh ila mm nina aibu sijui yangu itakuwaje🤭🙈
😅😅😅Kibomu😂😂😂
Pleaseee babe naongea na wewe Naomba uniangalie😅😅😅 alooooooo
Gara b anatuamsha vichwa vyetu tukirudi Kwa idd makengo Hali ya hewa inabadirika ghafla mi simsikilizi Tena idd ndoa naona tamu bwana 😋😋😋
Tupo weng jaman idi makengo ukimsoma hutatam kuolewa jaman
One day namimi ntampata wakufanana nae mwenyezi mungu nijaalie
Dah kingereza kinapunguza yale mengiiiiiiii yanayosemwa deeply aseeeeee kinge bna kinge
Aki vipele vya baridi vimenitoka..kwa msimko
Ewe Mungu wangu nijaalie nipate men like this
Heehe amin
Utapata dear Mungu akusaidie
Unataka men au man
@@nilansaid2927 I need a man but that man will be the one among of men.......yes
@@judithmwambe4767 mimi nimekupenda, naweza kuwa huyo man?
Waooooow hadi Raha natamani na Mimi ❤️❤️❣️😘🙏siku Moja na Mimi
Niko hapa
Mungu akawe pamoja nanyi
wap mchagga wangu,km naiona hyo sku
Weuweeeee tupooo
@@shiinefarah5288 saaaaf
Chzea wachagga ww tupo vzr
Kuwa na X kama jamaa ni kuumia milele jamani
Dah kwakwel rahaaa🥰🥰🥰🥰🥰
Waoooooo I wish and me ❤❤
Nyie nyie jamani....vitu vya gara b vinashawishi lakini comment za fb sasa unachoka mwenyewe
😂😂😂😂
Mchaga kashapiga vyombo anaelewa kwan
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
SASA BWANA HARUSI HAYO SWEET WORDS UJE UMPE MTU MWINGINE
Unipa motisha Broh 🔥 Mwenyez Mungu akawape maisha ya kher
Matendo ndiyo mhimu
Mc upo juu God bless u
Like waoooooooh aiseeeeee
Bwebwe zote hizi ni sababu ya pesa zipo ndio zinafanya mudashi hivi
Wow very beautiful
Very powerful words
wow,,, huyu mskaj macho yamerendemka kwel 😂 au alkw ka2pia 1,2,3 nn 😂 ili kaaibu katoke kdg
Kuna 1,2,3 na kuendelea 😂😂😂
Katupia 1 2 3
4567
Waalikwa wana kelele sijui shida nin
Kilaji kimekolea
Wapo vyombo
Mungu nipe na mm mume jmn maana
Mwombe Mungu tu, atakupa mume mwema
Ucjali kipenz mungu atakupa mtangulize yeye
Nzurii
Had rahaaaaaa🤣🤣🤣
🔥🔥🔥 aiseee natamaniii
Wataman nn tena
@@neemamtibili3072 si kuolewa jamani neema
Ohooo sawa Mungu atakupa.wako kipenz
@@neemamtibili3072 Ameen
@@jackilinenicholaus2691 uko wapi lkn
Lovely one
So wonderful
Hongereni muiagizwe dada na shemeji
Mc Gara B, u are awesome dude.blessed
So neis
Wachaga hii....
Tupoooo
Hii
Lovely and romantic
Wow so wonderful
Kaupiga kidogo
mmmhhh nakusikiliza mae🙄🙄🙄🙄
Nice
Mashaallah ❤️❤️❤️❤️❤️
Its so deeply
My best couple ever
MKO POA
Nimeipendaa
🔥🔥🔥🔥😍😍😍😍
🔥🔥🔥
First person to view😊
Woooow
Lovely
Nicee
ikawe kherii jmn
💕
😍😍😍
😍😍😍🙏🏼
🍎🍎🍎🤗🤗🤗😘😘😘
Vp Vp as
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥