Karibu Auntie Aconniwe!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 бер 2023
  • Huyu alikuwa amefikiria ako na ujanja kunishinda. Ati anapiga kutoka Equity na anahitaji account number, ID, PIN ili wasort 'unauthorised' transaction. Nimekata simu very fast kwa sababu Equity haitakupigia simu kukuitisha personal information na pili, Equity itakupigia only kupitia 0763 000
    000. Huyo alikuwa conman!! #KaaChonjo #KataaUtapeli #UsikubaliKuchezwa
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 17