sorry to be so offtopic but does any of you know a method to log back into an Instagram account? I somehow forgot my account password. I would appreciate any tricks you can offer me!
hapo mwisho 😂😂,naweza kutandika na hiyo suti yako...na by the way am I the only one noticing Citizens Fred Indimuli hapo kwa 1.40 na matiangi hapo 2.20 😂😂😂
I wish I meet you....kwanza nikiwa na mrembo wangu alafu useme ivo...ungejua mwili kubwa si kitu...after my nine months on training alafu uniambie hivo, naeza kuchafua usahau na kwenu
You're funny man😀 If you said that to me I'd have errupted.. but then again it's hard because someone who talks trash like that probably has a gun as well.
This is my best...naeza kupiga na hio suti yako😂
me too hahahah
Haha the best niya uyo NYS...ntakupiga ata kama uko na uniform🤣🤣🤣🤣🤣
Haha the best niya uyo NYS...ntakupiga ata kama uko na uniform🤣🤣🤣🤣🤣
Tembea ukijua kuna watu wanakuaga na hasira hapa😂😂😂😂
Mwambie tena
😂😂😂
The way he says it is so funnnyyyy😂😂😂😂😂
Not funny but irritating
Hkn kitu funny hapa uu ni ushenzi
This video never gets old 😂😂🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Kwan uyo jamaa wa Waiguru hajitambui,ameogopa akiskia atatandikwa,haha 😂 😂 that's cool 😎 Kudoz,i support local talent
hahahahahaha carlos una ufala sana ungepata mtu yuko na deni ya mshwari,tala,branch,fuliza na yuko na stress angekuchapa mbaya
this guy pranked my brother😁😁😁
LINE yake ya mwisho ni " naeza kutandika vita moja safi sana"
I'd like to see the fails and bloopers of this😂😂
Ntakupiga ukufe 🤣🤣🤣🤣🤣Naeza kupiga na hiyo suti yako mbaya🤣🤣🤣🤣🙆♀️🙆♀️🤪.Ooh kenya is fun🤣
Loving this. Kwanza the nyc guy
2019 feb..ata uvae izi uniform neza kutandika vita moja safi😂😂😂😂😂🤣🤣akianani
Hahaha.... Naeza kukutandika na hiyo suti yako 😂😂😂
I don’t understand Swahili but I really enjoyed this 😂👍🏽
oh yeah yeah" ur everywhere even in Kenya?
isaack ouma haha yeah we are everywhere 😂😂
Lol how... Through osmosis 😂😂😂😂😂😂
Tunajua unaelewa 🤣🤣🔥🔥
Hehehe ati go and don't look back 🔙
Nimekuja kuona yule jamaa wa NYS 🤣🤣
😂😂😂mnanimbaba kwa Nini hakuwa anauliza majamaa wameshona anauliza watu hawana nguvu 😂😂😂😂😂
we wacha ....yaaminika huyo mguys wa uniform ameptia training ako fit
Umechekiy hahaha angekua amekula KO pap maraiyoiyo hahaha
Carlos mazee you’re one in a million.🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🔥🔥🔥🔥
sorry to be so offtopic but does any of you know a method to log back into an Instagram account?
I somehow forgot my account password. I would appreciate any tricks you can offer me!
@Paul Jamir instablaster :)
Uko sawa 😂😂😂😂😂🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇰🇪
Si watujengee clip wahanda wasay na mikopo ya tala,fuliza etc....ineza kuwa noma...pita na lyk waiget...
Kitu isikudanye you watch this while high😂😂😂😂waaaah👏🛀
Watu huvaa hizi uniform 🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
"Naeza kutandika" and the it fail
Utashanga!
Jaribu stage ya Kayole,utatandikwa kama kitanda.
Kabsaaa 1960 wanaweza mchafua mbaya
Hizi pranks zinapatikana Kenya pekee 😂😂
Aty me i beat people here,,bro..me my temper 😂😂😂😂
hapo mwisho 😂😂,naweza kutandika na hiyo suti yako...na by the way am I the only one noticing Citizens Fred Indimuli hapo kwa 1.40 na matiangi hapo 2.20 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Tuna elewa ni come
I wish I meet you....kwanza nikiwa na mrembo wangu alafu useme ivo...ungejua mwili kubwa si kitu...after my nine months on training alafu uniambie hivo, naeza kuchafua usahau na kwenu
😂😂😂😂😂
Huyu msee Siku moja atatandikwa mbaya
Geo Shawn ,atajikuta mortuary. .
Huyo 2:18 ni msomali hatakagi ujinga kabisa hata kama mdogo
😂😂😂😂😂😂😂wah.....nakujia mbavu zingine walai😂😂😂😂😂😂ati 'niaje bro, me hutandika watu kwa hii Barabara😂😂😂😂😂😂
manze show zenyu huwa zinani nice
2:38 was the best part ,only legends will understand what I mean 😂
😂😂😂😂😂😂The NYS guy😂😂😂😂
Wakenya wastarabuu angekuwa bongoo angeshapigwaa
Ati naeza kutandika na io suti yako 😂😂😂😂😂
Murio rada zogo na kila mtu CIS😂😂😂
Naeza kuku tandika ile mpayaa Na hiyoo suite yko ((((kaliiiiii))))
Ntakutandika ukufe! Hiyo spliff pass huku!
Lol. This was a funny one😂😂😂😂
Mshamba Sanaaaaa, Sura Mbyaaa, mishenzi mkubwa mbwa huyu
what a talented person....
hahahahahaaaaaa................. erico pia wewe ni mwoga hivo (3:10)...............eti huyo jamaa anakuxhow atakupiga ukufe hahahaaaaaa...
NYS naye amechoma bana😂😂😂😂
Best have ever seen. But pliz wekeni pia zile failed juu najua Kuna wale walikua wanajiamini
Naeza kutandika na hiyo suti yako😁😁
Hahahahahahaha msenge weweee
😅🤣🤣🤣🤣ntakupiga ukufe..why now🤣🤣🤣
2:20 kizungu ilikataa 🤣
Jamaa ya NYS 😂😂😂
🤣🤣🤣huyo Askari amekucheki Tu akakanyagia
Eti mpaka msee wa NYS atatandikwa mbaya sana
Naeza kutandika na iyo suti yako hahahahahhahaha
try this in jericho , kayole bahati salem...utajua hujui
Jaribu msomali ama maasai wallai matumbo zako utaziokotea chini 😂😂😂😂
David Kariuki
Hehehe😂😂😂. Tell him. Angerushwa kutoka iyo Bridge.
atatandikwa na hizo marungu na grenade
2:03 haga ya purple
Iko sawa sana
Weus wapoio
Weus wapolo
😂 😂 😂 😂 Wah aki nyinyi
Sasa wewe😂
Mi nakasirikanga haraka
Naeza kupea vita moja safi mbaya
Nitakupiga ukufe🤣😂
😂😂me nakasirikanga mbaya
Angekua anauliza watu kwanini wameamua kupitia hapo ihali wangezungukia kuule kwingine😂😂😂
iyo tz unapasuka, sekunde, nnjoo jaribu na dar,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 lakini huyo jamaa wa suti umejali bu👊
Don't look back usiangalie nyuma
🤣🤣🤣🤣ati tembeeni mkijua kuna watu wanahasira ala😂
Atii I beat people 😂😂😂😂💥💀
🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂mungu wangu nikutane na ww utapenda navile nimesha kujuwa aki ww
0:42 hao wameingizia baridi mbaya😂😂
Iyo part ya vita safi ndio inaniletanga apa
Try this in Eastleigh
Watu ni waoga Nairobi 😂😂uku shagz Hii video haiwezi
watuonyeshe bloopers bana
Mimi naeza kunyorosha mbaya
Uliza wazito ka sisi swali ka hiyo wacha na hutu tuvijana, lakini hapo 2:03 hiyo haga imeweza 😍
We cheka cheka tu
You're funny man😀
If you said that to me I'd have errupted.. but then again it's hard because someone who talks trash like that probably has a gun as well.
hahahaha mpaka mahodi ni waoga ivi
Hahaha watu waongopa vita ivo
Hii ni masterpiece buda😂😂
Carlos utaniua😁😁u neva dissapoints
Uyu jamaa anakaa muguruki kabisaaa
huyo msee wa mwisho hajaambiwa poa...ati...naeza kutandika na hio sui yako!! 😆😆😆
Hahaha
This is the best thing on youtube right now
Mimi hutandika watu Mbaya...
😅😅😅😅😂😂😂narza kutandika na iyo suti yako
I hope you guys also post it ile siku Carlos atazimwa. 😂😂
😂😂🤣
Haha io ya nys imeniua we Ras vitu unatumiaga brejin hahaha garibu ninyogwe na Jaba ju ya kuisha
hadi sanse mtu wangu
Hadi karao akhepa
Hii video imefanya ninyongwe na mchele yawaaa😂😂😂
Ntakupiga ukufe😂😂
Hii imeweza... Mnaleta vitu kama hizi c kuleta kitu inafanya msee alale
Kenyans are peace loving peopleenda kwa streets za Mogadishu ufanye hivo
WA! Huyo mbanga ametii
The worst mistake ungemake ni kugonga mtu hapo ... especially UoN comrade lol
Pwahahaha uuuii nakufaa mimi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo jamaa wa Nys amekudharau sana......Lakini usijaribu Msomali utadungwa dagger kabla hujasema ni Prank
i was looking for this video for long finally🤣🤣
huyo mzae wa nys karibu ajikojolee
Amah ju umevaa somalia😂😂😂😂🤣🤣