Rayvanny hawezi huzuria Bro, Paula iko Kati hapo, Mario alikuwa Close to Rayvanny Sana ila kamchukuwa mwanamuke ambae alikuwa wa Rafiki yake ambae Ni Rayvanny.
@Anthonyzombie-d2s sio lazima ila sema kitu hata mtadaoni mpongeze mwezako basi hatakama hutaenda.kumpongeza mtu kwa kazi nzuri sio kitu kibaya especially kama umefanikiwa kimuziki,acha roho yakwanni haifai, haya nimaisha tuu,"binadamu tunapitaeeeh lilakitu kitabakiaaah binadamu nimchangaaah ,vitakimileleh nimilimaaah ".nyimbo tuu jamani usinichambe..
SNS Kwa upande Wa MOND awezi kukubali Kutoa promo for free iyo inajulikana , Hivi Mnakumbuka hile chupa ya maji Aliyo ificha mama dangote kipindi kile 😂😂😂😂, kumbukeni atakipindi cha kutangaza jezi ya yanga jamaa aliomba hela licha ya kuwa yeye ni shabiki wa yanga....😂😂😂😂
marioo noma sana album kali 🔥🔥🙌
Wasanii wa bongo wakishaona unamaendeleo wanakuwa na wivu
Marioo afanye mziki wake tuu awachane na wcb coz haimsaidiiii kabisaaa ila kumnafikia tuu
#SNS ni sehem flani ya kinyama sema uyu dem labda kama mtampika ila kwa sasa sio mkali hana maajabu anyway endeleeni kumtengeneza wazee💯🔥
Wote ao harmonize na alikiba walishirikishwa kwenie album. Kikawaida walipashwa kusapoti
Esco 🎉🎉🎉🎉
Rayvanny hawezi huzuria Bro, Paula iko Kati hapo, Mario alikuwa Close to Rayvanny Sana ila kamchukuwa mwanamuke ambae alikuwa wa Rafiki yake ambae Ni Rayvanny.
Wivu mamaaaah wivuu,jamani nyimbo tuu 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉 album kali kinoma nipo Germany nasikiliza album kila wakati...😊😊😊😊kaza mario..
Kwan ilkuw lazim waende
@@Anthonyzombie-d2s
Sio lazima ila support tu kwa msanii mwenzao
@Anthonyzombie-d2s sio lazima ila sema kitu hata mtadaoni mpongeze mwezako basi hatakama hutaenda.kumpongeza mtu kwa kazi nzuri sio kitu kibaya especially kama umefanikiwa kimuziki,acha roho yakwanni haifai, haya nimaisha tuu,"binadamu tunapitaeeeh lilakitu kitabakiaaah binadamu nimchangaaah ,vitakimileleh nimilimaaah ".nyimbo tuu jamani usinichambe..
Bahati rudi kapike
Wanatangaza amani huku wameshika panga mikononi 😂
kwan chui mbona hajapewa mualiko? au media zinachonganisha mashabiki na wasanii wao
Alipewa. Huku ona ama😂😂😂
@@Faridah23 tuma picha ya mualiko
😂 Album pekee inayojulikana EAST AFRICA ni ya ALIKIBA hawa wengine wanafosi tu, Ndiyo nyimbo zipo ila wanakosa maarifa
Oya huyo demu hahuwi koogngeya
Marioo jitaidi kujiamini pekeako
Anajiamini ndio maana hajalalamika
Marioo ni muislamu mbona album yake aiite Godson n sio jina lingine ...hii ni kama kufuru I say
Kumbe muisilam hawez kuwa Godson?
SNS Kwa upande Wa MOND awezi kukubali Kutoa promo for free iyo inajulikana , Hivi Mnakumbuka hile chupa ya maji Aliyo ificha mama dangote kipindi kile 😂😂😂😂, kumbukeni atakipindi cha kutangaza jezi ya yanga jamaa aliomba hela licha ya kuwa yeye ni shabiki wa yanga....😂😂😂😂
so this is the first comment😂
Congratulations 😅
@jojoshama2494 tank you🤣🤣