Im 60 years, my wife passed 10 years ago, she wash the biggest rap fan. I wish she was still alive to hear Nyashinski and Khali on a song together. Rest easy my love, and to Nyash and Khali, she really loved you.
Ladies and gentlemen! Huyu ndio Nyash me humtetea venye wengi wenu hutetea Messi Huyu ndio Nyash me humuaminia venye wengi wenu huamini jeshi Huyu ndio Nyash me hutetea venye wengi wenu hujitetea kwa kesi! Nyash Okembo ja Got! Big BARS ONLY
**LYRICS** (Nyashinski's Verse) Big man kwao mi ni jitu Niki reminisce kwao najisifu Wako cut from clothe iko see through Naona weakness yao huwanga wivu So na burn bridge yao na acha jivu Back to back hits Melodies raps number 1 on your list No apologies facts I am back on my shit Nikitake break unaona vile game inanimiss Nani anaeza brag hii design bila ku exaggerate Zao tu ni rhymes najua hawa relate Hakuna ule ana keep up na hii pace Just keep in mind hakunanga debate Ya bidii na time nina dedicate Slim lakini my account heavy weight Ukini meet nakaanga na levitate Medicate alafu na meditate Mi bado wanani rank Hewa safi mahali najificha usisahau mitaa ni za ki punk Unataka aje bana hiyo ni petty cash usione rap haijazi bank Price ya c-class kwa mpesa na subwoofer ndani ya trunk Kwanini time ikifika wale husema wanajiweza hawawezangi tokea Haumini vile unapitwa ni ka umesimama uzee hauwezangi ngojea Natoka mahali mali hupotea Heshima lazima usiwai jikosea Amini sikuwa na lala nilikuwa na lima ndio maana huwezangi compare Ni mlango gani wakitinga uko sure siezi fungua na jina si ukam unidare Haungeniskiza ka singeifanya vile nilisema si ushajionea Ka niko kuna marashi kwa air Hii loud inatupa sana ni ka natangaza haimatter wapi naichomea Juu ni maksudi sitajitetea Shoot for maziwa ni ka delamere Obituary iseme ulikuwa millionaire Of which wakicheki ni kazi inaongea Kichwa ni heavy juu crown iko there MMMh Siku una break mi naingia ku prepare Hii kitu utatake hakuna mtu hukupea Na hakuna lift ni stairs (Hook) Bigman kwao mi ni jitu Money talks na ni sanifu Ndio ujue nani maballer You should know people Unatembea kila mahali na kisu Omba usikutane na pistol Ndio ujue nani wakora You should know people
Kali ako shini yani beats za Shinski lazima zi switch to accommodate kali. It's a shame 😅 Mention one bar kwa kali Shinski akitoa ngomba next na mtu sio level yake sisi fan wake tuna andamana hadi kwa boma yake peacefully ✌️ Am not hating on kali he among the greatest in kenya rap but we don't want to drag Shinski down. He's the goat
@@NeutralHumanKingTrue ,but Kali's fans won't agree,they just shout "respect the OGs" I have always said mistari za Dr. King'ori ni noma kuliko za Khali.
Yenyewe, kusema tu ukweli, ukiskiza production ya hii ngoma kwa headphones, walai ni Sick🔥! The bass, The effects ....... Mwanzo hiyo switch from the chorus to Khali's verse, wuueeh!!!
Absolutely loving this new track! Nyanshisk and Kaligraph Jones have truly outdone themselves. The fusion of their styles is incredible. 🔥. KENYA NI HOME. Follow 🙏. Appreciate.
Mr, I can see you are everywhere, omnipresent, very vigilant! The kind of leader we yearn for, you are aware what's happening & where! I'm sure you even know what's my neighbor is eating for supper ☺️☺️. Keep it up as we await you kwa debe, kudos! Wacha tuskie hii rap tukingoja
Lakini tuseme ukweli...ukitaka kujua mwenye ameua hii jiulize ni line gani unakumbuka after ngoma imeisha... I'm an OG diehard but in this one it's Nyash for me!
@@uncledman1443 Niggah I just said I'm an OG diehard fan but I'm also brutally honest 😂.. don't argue with emotions , let's just try to be logical and go with facts ..bars za nyash will make you wanna think msanii anasema nini cause he just don't spit words ..za OG unazielewa as he spits, I'd say he goes heavy on the rhyme more than thought provoking bars!
Ka Nyashinski ame kill it piga like
GOAT. Nyashinski
OG. Khaligraph
SAVAGE. Savara
Trinity ingine wagwan
Wawawa! Kumbavu zangu Umbwa mimi! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nini bro ama ulikataa colaboo hehe
Brooo umeona English translation ya iyo comment 😂😂😂😂😂??
umbwawewe
@@kennahinfernoEnglish imechoma zaidi,his ribs😂
@@kennahinfernoulikuwa unatafuta nini kwa translation lakini 😂😂😂😂
Enyewe OG ni OG tu!!!!wapi like za papa jones❤😂😂
manzee 😂
wasee hawaelewangi ngoso thats why hawampendi
@@RAJ-R64si eti hawaelewi, hawapendii kizungu mingi.. attitude
Im 60 years, my wife passed 10 years ago, she wash the biggest rap fan. I wish she was still alive to hear Nyashinski and Khali on a song together. Rest easy my love, and to Nyash and Khali, she really loved you.
Mnaopen up mpaka kwa comment section 😂😂|eiy
😂Huyu anaongelea miaka za baba yake
@@issacledama945 kwani mmenigundua😂
Huyu hizo miaka sio zake😂😂
Tema Buda 😂😂
Ladies and gentlemen!
Huyu ndio Nyash me humtetea venye wengi wenu hutetea Messi
Huyu ndio Nyash me humuaminia venye wengi wenu huamini jeshi
Huyu ndio Nyash me hutetea venye wengi wenu hujitetea kwa kesi!
Nyash Okembo ja Got! Big BARS ONLY
"kichwa Ni heavy juu crown iko there"... Nyashinski big man jitu
Take a break ku prepare
Mashash
Slim but account n heavy weight
"Na burn bridge Yao na wacha jivu" 😅 damn....
Naisoma tu shinski akiisema😂
Kutoka Tz 🇹🇿🇹🇿 kama we ni Mwaisaaa gonga like Ngoma kali kutoka Kwa wakali wa hip-hop ya Kenya 🎉🎉
TWO GOATS 🔥🔥🔥🔥🔥
3 GOATS
Savaras contribution is faya yes but.......
Uko uku mkuu 🤝🏾
3 goats
#SKOTZIKI mix doba zangu bro plzz
Sasa Nyashnski amehook Omolo Nini Tena mnangoja 😊🔥🔥 nipeni likes za Omolo
Unatembea Kila mahali na kisu chunga uspatane na pistol🔥🔥🔥🔥🔥let's give this GOAT his flowers already🙌🙌🙌
Nyashinski is a legend
This is what Khaligraph wanted from a long time ago!!! Let it play. Real OGs 🔥🔥🔥🇰🇪
nyash akapull up na Glock 19
I wonder what you are saying yet these 2 gods did a Sifu Bwana song together.
@@reubenoyola I am sure u know what these two giants are good at... This is the thing.
@@reubenoyola but they didnt go head to head on it bro punguza kihere and they are not gods please
Let it play.
Nah, Khaligraph Jones is cold. As a Kenyan raised in London, he literally sounded like Kano when he switched the UK grime tone. He is cold!
Same man. Love the accent
Khali is the Goat hawa wengine ni kismart tu wako nayo and grace
@@Money_Cass11lucky you album iko na jibu to your claims. Anything you say already there's answer to it. Lucky you!!
@protusmabuka Nyash is a good artist but I only listen to Greatness that's why sijawai mskiza... He's too old to be bragging with local music
💯🪄Respect the OG 🇰🇪🐐
"Naona weakness yao huwanga wivu" ... G.O.A.T!
💯💯💯💯💯
Let the OGs play in our radio's ❤❤ kichwa ni heavy juu crown imejaa, we go get you, mimi ni jitu
"Slim lakini account yangu heavy weight" Shinski is goated
3:36 is the part you are all looking for
Umejuaje😂😂
"Ni mlango gani wakitinga uko sure siwezi fungua na jina, si ucome unidare......" 🚀🚀
One man one shilling one vote Gachagua nini hio
"price ya c class kwa mpesa”🔥🔥🐐 nyashinski 🐐
🔥🔥🔥 Moto
C class ni how much
@@Johnnie-ke485K
What 😅🤔
@@Johnnie-ke 3.5 mil
"Shinski collabo tufanye,
Tushike from Daago to.."
Papa Jones.
Three GOATs when they collabo its thunder.......nice flow. Simplicity with crazy results.
**LYRICS**
(Nyashinski's Verse)
Big man kwao mi ni jitu
Niki reminisce kwao najisifu
Wako cut from clothe iko see through
Naona weakness yao huwanga wivu
So na burn bridge yao na acha jivu
Back to back hits
Melodies raps number 1 on your list
No apologies facts
I am back on my shit
Nikitake break unaona vile game inanimiss
Nani anaeza brag hii design bila ku exaggerate
Zao tu ni rhymes najua hawa relate
Hakuna ule ana keep up na hii pace
Just keep in mind hakunanga debate
Ya bidii na time nina dedicate
Slim lakini my account heavy weight
Ukini meet nakaanga na levitate
Medicate alafu na meditate
Mi bado wanani rank
Hewa safi mahali najificha usisahau mitaa ni za ki punk
Unataka aje bana hiyo ni petty cash usione rap haijazi bank
Price ya c-class kwa mpesa na subwoofer ndani ya trunk
Kwanini time ikifika wale husema wanajiweza hawawezangi tokea
Haumini vile unapitwa ni ka umesimama uzee hauwezangi ngojea
Natoka mahali mali hupotea
Heshima lazima usiwai jikosea
Amini sikuwa na lala nilikuwa na lima ndio maana huwezangi compare
Ni mlango gani wakitinga uko sure siezi fungua na jina si ukam unidare
Haungeniskiza ka singeifanya vile nilisema si ushajionea
Ka niko kuna marashi kwa air
Hii loud inatupa sana ni ka natangaza haimatter wapi naichomea
Juu ni maksudi sitajitetea
Shoot for maziwa ni ka delamere
Obituary iseme ulikuwa millionaire
Of which wakicheki ni kazi inaongea
Kichwa ni heavy juu crown iko there
MMMh
Siku una break mi naingia ku prepare
Hii kitu utatake hakuna mtu hukupea
Na hakuna lift ni stairs
(Hook)
Bigman kwao mi ni jitu
Money talks na ni sanifu
Ndio ujue nani maballer
You should know people
Unatembea kila mahali na kisu
Omba usikutane na pistol
Ndio ujue nani wakora
You should know people
Ya OG imekushinda 😂
😅😅😅😅@@vanzakkah5858
Hakuna ule anakeep up na hii pace*
@@TrillahMainah I think ana mean press from football
Wangapi tumengoja kumedi na hii dopa since ile IG reel🔥😂
Manze nimeishi kungoja hii track, I remember og alipost na caption ya eti aliambia nyashinski no more singing love songs 😂hii track ni 🔥🔥
Ni Wewe tu 😂🤧
Yoo we are not busy enough 😂
Mimi hapaivi
@@nelsonnjoroge2248 bana😂🔥
"I was the OG before the IG waliingia IG before the OG"
"I was OG before the IG..wee uliingia IG before the OG ..saii iG nikaahaikusaidii"🔥🔥🔥🔥🔥🔥.the Real OG🔥🔥🔥
spitting liit facts .. amenichomea keyboard.. video icome thro' real soon
@@grahamkinyua4495zii hi haifai video....
Walai
Hands up for nyashinski,ni jitu
Savara Savara savara 🔥🔥🔥
Mama told me to keep that crown coz it fits you!! Niko maftani ni ka nalipwa na Russia! Noma🔥 Big man kwao me ni jitu!!!!!🔥🔥🔥🔥
Can we all agree how clean the transition from shinski to OG was TWO GOATS Shiiiiisssssshhhh🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥 top notch
Kali ako shini yani beats za Shinski lazima zi switch to accommodate kali. It's a shame 😅
Mention one bar kwa kali
Shinski akitoa ngomba next na mtu sio level yake sisi fan wake tuna andamana hadi kwa boma yake peacefully ✌️
Am not hating on kali he among the greatest in kenya rap but we don't want to drag Shinski down. He's the goat
Too smooth. This track ni rap ya ukwela...kuna word play hapa you have to think about!!
@@NeutralHumanKingTrue ,but Kali's fans won't agree,they just shout "respect the OGs" I have always said mistari za Dr. King'ori ni noma kuliko za Khali.
@@BorderSoundsEnt It was just perfect!
I just love how OG can transition between languages smoothly.
That Savara line went hard lakini...Nyash, thanks for this EP. Kenyans needed it!🔥🔥
Always huyu msee ni moto.
Kama unakubali nyanshinski gonga like 🔥🔥🤑🕺
There are matches made in heaven... Bien - Bensoul , Khaligraph - Nyashinski....
Facts💪💪💪🔥
Ni kama ukiwa na GOAT you must deliver...hapa khaligraph ameflow but pia punchlines on point...you should know people
Collaboration moja kaliiiiui from tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥
Yenyewe, kusema tu ukweli, ukiskiza production ya hii ngoma kwa headphones, walai ni Sick🔥! The bass, The effects ....... Mwanzo hiyo switch from the chorus to Khali's verse, wuueeh!!!
mmebonga sana na nimewaskia sana nawachapa one AT A TIME......SHIIIIIIETT
Savara is the icing on the cake. 🔥🔥🔥
Nyashiski ND Jones are our national treasure ❤❤❤
Kumbavu zangu mniitie occto ajiskizia doba🔥🔥🔥🔥
Ni mlango siwezi fungua na jina hebu NI dare 🔥
Another one!!! Goat ameongeza pembe, nikuwagonga akienda.
Na OG abaki kuwa tu OG 🔥🔥🔥🔥🔥
Absolutely loving this new track! Nyanshisk and Kaligraph Jones have truly outdone themselves. The fusion of their styles is incredible. 🔥. KENYA NI HOME.
Follow 🙏. Appreciate.
Hawa wamedeliver? Au sio Morara?
🔥 🔥 🔥 Savara is a good artist but this was to only feature Nyash and OG
Chimamba
Audit hawa😂😂
Mr, I can see you are everywhere, omnipresent, very vigilant! The kind of leader we yearn for, you are aware what's happening & where! I'm sure you even know what's my neighbor is eating for supper ☺️☺️. Keep it up as we await you kwa debe, kudos! Wacha tuskie hii rap tukingoja
Nyash Nyash Nyash...nimesima Jina yako maraa ngapi.we ni mkali
"ni mlango gani wakitinga uko sure siwezi fungua na jina si ukam unidare ....." 1:12🔥🔥🔥🐐
Tebu switch hii plan ju ni bitch move😂😂....OG ni king😮
Nyashinski & OG need to make an album Collab this duo is undefeated 👑🔥
Combination ya shinski na Jones 🎉🎉❤
Very underrated 😢
The OGs Have Killed it!
This track hits so hard!!! This duo Shinski x OG 🔥🔥🔥🔥🔥
OG.... you ddnt have to kill nyashinski on his own track bro Shiiiiisssssshhhh🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
he came close
Where? They killed the track. Both of them.
😂we susu ulale
OG na sheng ni NGORI!!!
@@donmelunar💯
Nyashinski n more fire 🔥
WEEE HII VIDEO inafaa kucome through, KEEP THAT CROWN COZ IT FITS YOU.....OG😶🌫
From kleptomaniacs to being the don....nyasinski is a beast......OG 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥now this is legendary colab
i used to pray for time like this..
to rhyme like this🔥
Real ni Deal na shinski anytime., More Love
Kichwa ni Heavy ju crown iko there.... 🔥🔥🔥
I don't think big khali has ever given anyone a rap this huge!!! RESPECT!!!!
Just quitted my job to focus on Nyanshiski album. Best decision I have made this year .
Waaaaiiii Khaligraph bruuuuuuuh!!
Oh my goodness 🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️biggest song of the summer for sure
Hapa watu serious walikill, no joke over here🫡🫡
Since ile siku ya IG its finally here....😊😊😊😊
Thanks for the ever green hits we will listen to this ata after 1000 years
Nimecomment kabla sijaskiliza..Much respect yo Shiski!
kichwa iko heavy juu crown iko there ❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥(Bornstar ft Nyashinsiki, one day, Inshalla
Jitu, I've been waiting for things. 🌟
J Cole is the Nyashinski of America
True
Shinski ndo J Cole wa kenya
This is soo accurate, and Busta is the OG of the US
Nikifika ni marashi kwa air hii loud🍃 intupa sana nikaa inatanganza haimati ni wapi naichomea🔥🔥🙌🏾
Kichwa ni Heavy juu crown iko there 🐐🔥👑
Hi ni collabo kali ifikie cidoh au sio proud of our kisii man jitu iko on fire💥💥💥💥
Majitu watatu kwa track lazima ikuwe moto
'''''shoot kaa maziwa ni delermare'' CONTRAVASAL STORY YA MTOTO WA DELEMARE 2005 AKIPIGWA RISSASI.....
najua ham relate but nitawachanua
Enyewe nyi ni majitu😎😎
Lullaby songs, mom played me Ether😮
-Khali🔥
Jitu 🔥🔥🔥
Ndio ujue nani maballer you should know people 🔥 📛
Khaligraph Jitu mode activated akiswitch flow kama lanes
Its good we have an understanding now
"ju ni makusudi sitajitetea.... 🎉🎉
OG is the OG,salasya was just chilling
Khaligraph ❤❤❤
Hii ni ngori walai...Shinski hukua na comeback moja hatari🔥🔥hii ni anthem
From 🇹🇿 this 🐐x🐐link up🔥
Big man kwao me ni Jitu nikireminise kwa najisifu cut from cloth na ni see through weakness yao kubwa ni wivu. Naburn hizo Bridge nawachia Jivu 💯💯💯
🎉🎉Nyashinski 🎉🎉,,,always my goat ,,
slim but account ni heavy weight 😎🫴💯💯💀
Kwao ni lines but hawa relate🔥🔥😎💯💀
Ñiko mafutani utadhani nalipwa na Russia ....OG ndio king😮
Ni mlango gani waki tinga uko sure siezi fungua na jina..... Io flex broo🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Unatembea na kisu chunga usipatane na pistol.. Ndo ujue wakora ni akina nani💯
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥nyashinski..
G.O.A.T🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯
Big up nyash vs OG mko sawa moto
Khaligraph🔥🔥🔥
waaaaaaaaaaaaaaawa waaaaaaaaaaaaaaawaa mbwa mimi ,,,,,kumbafu zanguu........hii wimbo ni moto kuliko pasi😗
Whee this one is a big one i swear
OG meets with the G.O.A.T. I love it
Nyashinski amewaosha 👑👑👑give like kama unakubali😂😂😂
KWELI NYASH AMEOSHA OG MBAYA KAMA MTOTO MDOGO
This one is true, Khali didn't go in as I expected.
Nyashinski ameosha OG mbaya.
Hands down
No shiii!!!
Unajua rap ukweli 😂😂
Kweli we need lagus forever mazee👍👍👍💪👌👌🧛🫅🫅🦸🦸🦸
Hapa kila mtu ame play part yake..everyone has killed it
Lakini tuseme ukweli...ukitaka kujua mwenye ameua hii jiulize ni line gani unakumbuka after ngoma imeisha... I'm an OG diehard but in this one it's Nyash for me!
@@rodgerluteshi ww huelewi kilami basi😅😅. Bars
@@rodgerluteshiNyashinski has killed it...but khaligraph amecome through
@@uncledman1443 Niggah I just said I'm an OG diehard fan but I'm also brutally honest 😂.. don't argue with emotions , let's just try to be logical and go with facts ..bars za nyash will make you wanna think msanii anasema nini cause he just don't spit words ..za OG unazielewa as he spits, I'd say he goes heavy on the rhyme more than thought provoking bars!
@@uncledman1443but ukweli kama ni barz nyashinski ame kill it
Authenticity 💯💯💯💯
Savara angengoja time ya rhumba