naitwa docta papy au Robert mwansite natokea mbeya ni mtu anbaye naikubali sana Lingala pia ni mwenzio lakini ww ni bingwa,sana mimi nakuita papa Prince mtu ya nzambe na famie yako nakupa Big up sana kumbuka kunirusha docta papy kambemba toka mbuji mayi
Uko vizuri sana,mm naomba uwe unatafsir hadi hizo rap za toutou kaludji, pamoja na maneno anayoongea jb mpiana! Kazi nzuri Sana mkuu, nipo Dar es salaam
Mussa Msonzwa nakupata kutoka Daresalaam Tanzania naipenda kazi nzuri unayoifanya ya kututafsiria lumba ya Congo kwa kiswahili, naimani kwa upande wa Tanzania umevaa viatu vya marehemu Zuberi Msabaha wa bolingo time ya Radio free Africa the sound of Africa
Nikisikia tafusri za rumba za huyu kaka bockson nafurahi hadi najiuliza, kama mbinguni itakuwa wakati wakutafsiri rumba kama huyu kaka anavyofanya hapa, mbingu itakuwa tamu zaidi. Ila ni Mimi tena Jesus marie kutoka Burundi naomba Switzerland Chantal ya werrason
Uko vizur sanaaa naomba usiache hata neno moja kwenye tafasir kuanzia maneno anayoyasema JB mpiana had zile atalaku za toutuo eza lokolo papaa nzambe abenisa yo
Habari yako Prince bockson habari za RDC me ni Faru kutoka jijini Mbeya nakushauri kaka uwe unarudia maneno ya lingala na kifaransa na unatafsiri kwa kuongea kawaida cyo kuimba Apo utawafurahisha siyo kuwafuatisha unaimba siyo vizur halafu pia jaribu kuuzima mziki wakati unatafsiri itakuwa bien hyo kwa wapenzi wa nyimbo za lingala na kifaransa karibu Radio Free Africa utawakama watu siyo mchezo
Sema baba, PRINCE BOCKSON, Mutu ya watu. Nakukubali sana na hiki kipindi kinanikuna sana. Nakufatilia sana kutoka hapa CAPE TOWN kwa Madiba. Twende papa! Tia Rhumba kibao tufaidi
Naitwa Jafari lukavu wa Dodoma Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯ukovizuri sana napendaga sana hizo lingala ila maanayake nilikua siifahamu leo nimejua machache ninaimani nitajua mengi
Why jb mpiana only? Kuna PAPA WEMBA ana nyimbo nzuri sana kama KAOKOKOKOROBO tunaomba tafsiri yake nzuri kuliko kazi kwako Prince Bockson lakn pole na msiba uliokupata
Nasikiya malamu sana kipindi chako, nakutazama kutoka Nakonde Zambia.Chandre
NAITWA PAPA MJEMA DAR SALAM TANZANIA NITJE. NAOMBA UNITAFSIRIE WIMBO WA BOZI BOZIANA LUBUAKA. ASANTE
Mimi naitwa Mbaringo nakupata nikupta nikiwa Arusha Tanzania.... Shabiki wako alie haiiiii💪💪💪
Naitwa biko cosmas wa ubungo dar esalaam nimependa sana hiki kipindi
P b nakuku Bali xana mm naitwa shaibu tegei wa dare Salam tanzania
Nakukubali Sana papaa Mimi nikassimu Niko dodoma Tanzania
Asante sana kwa Kazi yako Nzuri sana . Nimekuwa Nataka sana kupata tafsi ya hii Njimbo . Niko Marekani. Nashukuru sną kwa kweli.
naitwa docta papy au Robert mwansite natokea mbeya ni mtu anbaye naikubali sana Lingala pia ni mwenzio lakini ww ni bingwa,sana mimi nakuita papa Prince mtu ya nzambe na famie yako nakupa Big up sana kumbuka kunirusha docta papy kambemba toka mbuji mayi
Prince bockson Asante sana usikose kunitapa
JB Mpiana is the best of Rhumba music, Big up
Mimi ni JD , Naishi USA 🇺🇸, next time tupe Aspirin ya Koffi olomide, nayipenda sana!!! Keep it up 👍
Uko vizuri sana,mm naomba uwe unatafsir hadi hizo rap za toutou kaludji, pamoja na maneno anayoongea jb mpiana! Kazi nzuri Sana mkuu, nipo Dar es salaam
IPO biyee Sana nyimbo hii brokson
Hata Mimi nazipenda saana.
Naomba wimbo wa Madilu system ya ja
Jackson Kimosop Nairobi Kenya JB mpiana ✅💯
Njiku bundala maswumbwe geita tanzania sitino mobi viva la mziki ndindi
Prince Bockson uko Sawa kabisa translate kibuisa mpimpa also by werrason
Aje aje price nakupata malamu kabisa na kati ya Moshi hapa hii ngoma kali sana.....Salute sana .
Imetisha sana mkubwa
Naitwa John Wilson nipo ngara kagera nakukubali sana broo. endelea kutupa burudani. Naomba tafsri ya wimbo Unaoitwa KAMA wa WENGE BCBG.
big up niko Dar mpenzi wa wenge musica
Bockson it's me asiimwe Pascal from Uganda but currently in Johannesburg please tafsiri wamwimbo universite by cindy lecour
Safi sana.
Boss prince uko vzr aiseee lete tafsir ya JB Mpiana - 48 heures Gecoco
Danger Tata
Kazi nzuri Sana Brother
Naitwa john mhepela nakupata nikiwa tunduma boda ya Zambia nitaje Sana kwenye kipindi Chako
Jb mpiana papa na Daida de soroya
Mussa Msonzwa nakupata kutoka Daresalaam Tanzania naipenda kazi nzuri unayoifanya ya kututafsiria lumba ya Congo kwa kiswahili, naimani kwa upande wa Tanzania umevaa viatu vya marehemu Zuberi Msabaha wa bolingo time ya Radio free Africa the sound of Africa
Kaka nakupata vizuri nakupa ta vizuri toka kijichi Dar
Naitwa said kipango na kati ya mahenge morogoro napenda sana unitafsirie wimbo wa fally unaoitea aflayé
Ilove u this song of lingala
Pres Bockson mim naitwa Papaa Josee Jordan na kati ya Dares salaam Tanzania.
Jifela from London.
Zembo ya bien Zembo kitoko I am geofrey Papa ya Bana Nakati ya Border ya Tunduma Songwe Naling translation ya Jb mpiana ya Zembo ya Heures 48 Gecoco
Sikusikii tena siku hizi Bwana Broockson
Unatasiri na kucheza inazidi kuwa noma joo
Nipo Dares salaam,Tanzania naitwa Papaa mkulu
Naitwa yahaya omarii naomba nyimboo ya kodii dikwizi
Simon Apollo from Tanzania
Nimekubali sana kutoka London.
Combo na nga Muhidini Gumbizi na kati ya dar,Nakufatilia kila wakati Papaa.Melesi na yo
JB m'piana est le malheur de sa génération côté chant aza danzé
Bien te chantez Prince. Naingojea Liberez by Wenge BCBG maana JB Mpiana kwa Lingala ni noma sana
Jeanmbeck mwenyewe anasema salamu zimefika asilimia mia(100%), my big brother Bockson mtu wangu wa nguvu. 👏👏
Kulwa katungwa Kati ya vijibwen nasema napata Raha sanaaaa kusikia tafsir
Charles Samson, tokea shinyanga tanzania, mie shabiki wako mkubwa sana.
Safi sana kamanda wangu uko vizuri tafsiri na bozi boziana lunda
nikiwa na stress lazima niickize hii nyimbo
Mungu akupe moyo huo milele nakukubali kinona nakupata kutoka morogoro
Naitwa. Capt. Kilonzo. Napatikana. Dar. Nipe. Tafsiri. Ya. Wimbo. Baba. Lunda
Bana lunda tayari tumeisha fanya, tizama kwenye vidéo zetu apo utapata nyingi saaaana
Karibu tena mutu wetu,Siku nyingine mukipata shida mukuwe munatujurisha tufanye geste kidogo
asante sana ndugu
Hii album yake jb mpiana ilikuwa 🔥
Mimi kwa majina ni Phil Omondi " MOPAYA"
Kipindi ni kitamu sana ninapenda sana
Nikisikia tafusri za rumba za huyu kaka bockson nafurahi hadi najiuliza, kama mbinguni itakuwa wakati wakutafsiri rumba kama huyu kaka anavyofanya hapa, mbingu itakuwa tamu zaidi. Ila ni Mimi tena Jesus marie kutoka Burundi naomba Switzerland Chantal ya werrason
Mungu akubariki sana bockson
Kazi mzuri sana unaifanya
Willy mkwembe Niko kilombero tz napenda utafsili Maggie koff olomige
Brother keep it up. Papa Bonheur please
Jb Mpiana Papa Chéri Souverain 1er is the best , Check 👊 ce n’est pas pareil. C’est mignon!!!
One day translate kin ebourge by jb mpiana
pamoja sana, binafsi napenda sana Rumba za JB Mpiana. Vipi kuhusu Banalunda....!!!!!
ipo tume isha ifanya utaipata apo
Uko vizur sanaaa naomba usiache hata neno moja kwenye tafasir kuanzia maneno anayoyasema JB mpiana had zile atalaku za toutuo eza lokolo papaa nzambe abenisa yo
Aisee unatisha sana
Mkamba ndani ya Dar pig up price Bockson
OBADIAH MADEJE
toka Tanzania ,nakupata nikiwa maeneo ya lusaka Zambia
We ni hatari sana
Asante kwa tafsiri eza likolo
Kigali upo sehemu gani
Naitwa Mwaijibe kutoka Morogoro Tanzanian a nakubali sana kazi yako napenda sana Lingala
Prince Bockson tafsiri ya Caren amour ya Extra Musica
Good job
Dunia nzima hakunaga msiki mtamu kama wa wakongoman sema tu mtihan walionao ni weusi
Habari yako Prince bockson habari za RDC me ni Faru kutoka jijini Mbeya nakushauri kaka uwe unarudia maneno ya lingala na kifaransa na unatafsiri kwa kuongea kawaida cyo kuimba Apo utawafurahisha siyo kuwafuatisha unaimba siyo vizur halafu pia jaribu kuuzima mziki wakati unatafsiri itakuwa bien hyo kwa wapenzi wa nyimbo za lingala na kifaransa karibu Radio Free Africa utawakama watu siyo mchezo
Motema
Koka kuzanga
Dr Godfrey kahabi kutoka Namibia
Weka aime moi ya Fally Ipupa, naisubiri kwa hamu
Sema baba, PRINCE BOCKSON, Mutu ya watu. Nakukubali sana na hiki kipindi kinanikuna sana. Nakufatilia sana kutoka hapa CAPE TOWN kwa Madiba. Twende papa! Tia Rhumba kibao tufaidi
Una nikosha moyo kabisa myaka nasikiya nyimbo za JB nimekuwa sijapata utafsiri Asante sana
Bro you went silent we want more of this
Ndio starehe yangu
Asante kaka boksoni usisahau kutafsiri nyimbo ya Heritier watanabe Deluxember
Naitwa Jafari lukavu wa Dodoma Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯ukovizuri sana napendaga sana hizo lingala ila maanayake nilikua siifahamu leo nimejua machache ninaimani nitajua mengi
Naitwa mngoya nataka likama ya werrason nipo Tanzania morogoro
Nimechelewa sana kukupata Mzee, bonge moja la burudani yaani ni Madini juu ya Madini! Naitwa Paschal Bussanda nipo Dodoma Tanzania.
Prince we ni moto
Nakupata petty wangu
Nakupata nikiwa maeneo flan tmk bigupsan
Juma isingiwe nipo Tabora Tanzania napenda Sana kazi zako Kaka
Joakim nipo Moro Tz Naomba tafsiti ya ELOKO OYO FALLY
Perezy nnko dar salaam makumbusho
Kipindi kizuri Sana kaka. Next time tunaomba wimbo wa Evelyne WA Aurlus Mabele. Nipo Dar ES salaam Tanzania
Nazali na fasi ya dar, Merci papa
Why jb mpiana only? Kuna PAPA WEMBA ana nyimbo nzuri sana kama KAOKOKOKOROBO tunaomba tafsiri yake nzuri kuliko kazi kwako Prince Bockson lakn pole na msiba uliokupata
Wapi PRINCE BOCKSON
Nakuja, nakuja
Sigalet Tanzania mwanza
Am Kazoora Didas from Uganda ,I request u to translate for me a song called Muito obrigado by pepe kale and pepe tex, thy bro
Aisee nilingoja kwa mda sana. Uje utafisili Na Family kinkuta. Ya General Defao nipo Mombasa
Setana mabe shetani mubaya
Nina Furaha
Nitumie number ya Simu nikuwezeshe
Kwa muziki wa kikongo hakujawahi kutokea albamu Bora zaidi ya Albamu ya Ndombolo.
Maana nyimbo zote zilikua nzuri kuliko!!
Mkuu tuletee Micko ya Koffi olomide
Kaka turikumiss Sana mttu wetu
Phil ndani ya nyumba from Nairobi Kenya
Kaka mukulu wa bakulu Papaa Prince. Tunaomba tafsiri ya wimbo wa Rose Verte wa JB mpiana album ya TH
fikiri /madinda nakukubali
Mussa Balele kutoka Tanzania napendasana kipindi chako