Inawezekana sauti anayo,ila Kwa hii ngoma apana...swali anamuimbia nani?tandale,mbagala,kariako,tegeta,bunju morogoro,geita na kadhalika,hio feeling hapo na hio lugha huu mziki hauwez ukawa ni bidhaa kwao...nakushauri mdogo angu sauti unayo,ila mziki ni bidhaa ss hivi kwaio tambua soko...zalisha bidhaa ambayo inaendana na uhitaji wa Hawa wanao kuzunguka...vingereza viacheni kwanza....jifunzeni Kwa zuchu,na Nandi Kisha tengenezeni mziki Kwa mfano ule ila nyie sasa boresheni fanyeni Bora zaidi kadiri ya mtakavyo weza... soko la kwanza ni la nyumbani kwenu kwanza....sauti unayo mschana imba kiswahili tafauta beat kali bongo flava waandishi wazuri wapo zingatia melodies kali Fanya production nzuri unatoboa...lakini hivi Kwa mziki huu sio kweli...you shud learn the way then find your way
Good,sio mziki m'baya na Wala hauja imba vibaya,ilivyo taka beat umefanya ila soko lake liko wapi Kwa hpa ulipo.? So ucnielewe vbaya...mpka nmekushauri it's bcoz sauti yako ina ladha yake,utakapo Anza kuwaimbia watanzania watakuelewa na watapenda mziki wako,uzingatie tu feelings zao kwenye mziki ni zipi then chagua ambayo ni sahihi kulingana na tone ya sauti yako,uzungu utumie kwenye vyombo uchanganye na ubongo flava...uzungu+bongo flava..hakikisha kwenye mziki wako Kuna identity ya taifa lako kimziki..ki lugha at list 30% English 70% iwe kiswahili.TZ Peke ake Kuna wasikilizaji wa mziki zaidi ya 30m waimbie hawa,wasipo kuelewa Hawa ni ngumu kueleweka na walioko nje ya Tz na wakikuelewa hawa wa nyumbani basi wa nje ya Tz watakuelewa mara mbili zaidi...@@nikithatz
Harder,,,inarudisha matumain na kuongeza juhudi za upambanaji wetu❤❤🎉ngoma yenyew @Nikithatz
omg🫶🏽✍️🔥🔥🔥gal lets go
Yeaah 🔥🔥🔥
Another MAJOR female artist 😎😎
Thanks
Harder 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yessss 🔥
BIG HIT
Thanks
Yess one day you will make it honey❤❤❤🎉🎉🎉
Thanks ❤❤❤
You did Harder. Excellent Masterpiece 🙌 We are waiting for more
Nikithaaaa 🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤
❤❤❤
Ngoma kali sana🎉🎉🎉
Waoooo what a beautiful song dear 🎉🎉🎉🎉, I get to see tidder in got look too ❤
Thanksss 🔥🔥
You killing it my gee 🎉🎉🫂🫂
Thanks 🔥
Merry Christmas and happy New year
🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Inawezekana sauti anayo,ila Kwa hii ngoma apana...swali anamuimbia nani?tandale,mbagala,kariako,tegeta,bunju morogoro,geita na kadhalika,hio feeling hapo na hio lugha huu mziki hauwez ukawa ni bidhaa kwao...nakushauri mdogo angu sauti unayo,ila mziki ni bidhaa ss hivi kwaio tambua soko...zalisha bidhaa ambayo inaendana na uhitaji wa Hawa wanao kuzunguka...vingereza viacheni kwanza....jifunzeni Kwa zuchu,na Nandi Kisha tengenezeni mziki Kwa mfano ule ila nyie sasa boresheni fanyeni Bora zaidi kadiri ya mtakavyo weza... soko la kwanza ni la nyumbani kwenu kwanza....sauti unayo mschana imba kiswahili tafauta beat kali bongo flava waandishi wazuri wapo zingatia melodies kali Fanya production nzuri unatoboa...lakini hivi Kwa mziki huu sio kweli...you shud learn the way then find your way
Your opinion ni nzuri nashukuru na nitafanyia kazi 🙏🏾
Good,sio mziki m'baya na Wala hauja imba vibaya,ilivyo taka beat umefanya ila soko lake liko wapi Kwa hpa ulipo.?
So ucnielewe vbaya...mpka nmekushauri it's bcoz sauti yako ina ladha yake,utakapo Anza kuwaimbia watanzania watakuelewa na watapenda mziki wako,uzingatie tu feelings zao kwenye mziki ni zipi then chagua ambayo ni sahihi kulingana na tone ya sauti yako,uzungu utumie kwenye vyombo uchanganye na ubongo flava...uzungu+bongo flava..hakikisha kwenye mziki wako Kuna identity ya taifa lako kimziki..ki lugha at list 30% English 70% iwe kiswahili.TZ Peke ake Kuna wasikilizaji wa mziki zaidi ya 30m waimbie hawa,wasipo kuelewa Hawa ni ngumu kueleweka na walioko nje ya Tz na wakikuelewa hawa wa nyumbani basi wa nje ya Tz watakuelewa mara mbili zaidi...@@nikithatz
🎉❤
❤❤
My Gal❤
❤❤
Hatareee hili goma
🔥🔥🔥
This is fire nikitha✨❤️👏🏽 you should post us and some behind seens on youtube too
Wow ur good musician
Thanks
Sound is🔥
i see u make moves dear keep it up
Thank you so much
💥🔥
BIG 🔥🔥
Moja kali
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Love it👏🏽👏🏽👏🏽 Keep going Harder N🚀💥
Thankssss
Hii Ngoma Kali sana umeimba rafiki yangu
Asanteee
Another Bangerrrr,🎉🎉🎉 Big up girl. Good music, good vibe and good shooting idea. Im impressed
Thankssss ❤️ ❤️
You deserve kwakweli malkia wetu
Asanteee
This is so beautiful ❤️❤️ keep going
Thank you so much!!
Nice one
Thanksss
Nice one liza
Thanks
Keep the Energy 🎉 Quantasage was here
You already know! 🎉
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
🔥🔥🔥🔥
💥💥💥
💥💥💥
Nomaaa🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🚀🚀🚀
🔥🔥
🔥
🔥🔥
Wow good job Moto 🔥 is me popo Williams music 🇰🇪ua-cam.com/video/oahhDk0m6BI/v-deo.htmlsi=i3LaB87SyDuhUj9
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥