Zilipendwa - Niko Zengekala Mtoto Jacky
Вставка
- Опубліковано 28 лис 2024
- ZILIPENDWA_TZ
Burudika na wimbo huu mkali wenye kumbukumbu nzuri na nyimbo nyinginezo kibao zaidi kutoka kwa wasanii mahiri waliotamba enzi hizo
#Zilipendwa #zilipendwa_playlists #oldsongszilipendwa #Mzikiwazamani
• Dawa ya mapenzi - Mbar...
#Hashtag #Zilipendwa #zilipendwatz #Oldmusic_zilipendwa #UA-cam #UA-camtanzania #mzikimtamu #mzikiwakwetu #Mbarakamwishehe #trending #Kingkikii #Mzikiwazamani
@Zilipendwa TZ
Sauti ya dhahabu ya Niko Zengekala hayupo duniani lakini sauti yake inanikumbusha utotoni.
Love the song
Hapo bado hajaingia Dar-Es-Salaam, msondo ngoma kuuwasha moto 😢
Love too much this song
🔥🔥🔥🔥 wimbo mzuri mno
Taitahills boiz the Best
Zamaani kiasi. Enzi hizo nikisulubika ki malezi maeneo fulani hivi kusini mwa Zanzibar!
Taitahills boy
Asante
i love this song! It brings such joy. Can anyone translate the lyrics? Love to know what it's about
Its about Jacky, a girl he met in Kampala, Uganda. He promises to meet her again (and be with her forever).
thank you! 😍@@G.r.e.a.t.I.Q
Hii nyimbo ilirekodiwa 1984,0chestral vinavina mpiga solo ni Fred mwalasha , dram yuko Michael beche , waimbaji yuko majuto mbugani , monduli na Nicolas zengekala
Hii ilikuwa released mwaka gani
Mweny kujua please
Ni mwaka 1985 mwenzi 8 akina Mohd Tungwa maneno shaabani simba mbali saidi makelele Fred Marasha konsom mkomo azizi dafa Lazaro Bozo shaibu monduli
Ahsante kwa ufafanuzi makini kabisa
Ni mwaka 1985 wakati huo miminilikuwa form one huko konde secondary school wilaya ya micheweni Pemba