@@juliu876 John 11:25-26 [25]Jesus said unto her, I am the resurrection, and the life: he that believeth in me, though he were dead, yet shall he live: [26]And whosoever liveth and believeth in me shall never die. Believest thou this?
@@mosesnjenga2767 Ndugu yangu, kutokuamini kwako hakuwezifanya anayeamini akose kuamini, wewe ngoja kifo tu bila Imani na kusamehewa dhambi zako ndipo utawaona waliofufuka, Leo ni kama Hadithi kwako, umesahau hio ndio njia utapitia na kutokuamini kwako, hakuna anayekulazimisha kuamini my friend, amini chenye utaamini ata uchomwe na ugeuzwe upepo Bado utafufuliwa ndio utajua Mungu achezewi,
These cremations of the dead do not augur well in today's societal norms and a change must be made for posterity. If the Hindu religion still insists on the practice, it is because it is not recognized as a genuine Faith which their faithfuls espouse.
Mombasa Cement🎉
°°••○○PEACE RESPECT○○••°°🎉
Sending Healing Prayers Comforting Thoughts🎉
Mi kitu yyte that won't earn me The kingdom of heaven issa No
Kila watu,dini na mira zao
sorry tell and RIP it Patel on find. God bless you and pray a family for Patel.. 🙏.
Majority aren't comfortable with that, immersive translate offers you the best features for generating siblingual video subtitles.
Mali muhimu duniani ni ( HUZIMA)
Halikuwa mtu wa mahana sana wacha hao wachawi wanaitwa ruto
Kwao Hawafufuki hawana haja na mwili wao
Kwani wenye walizikwa 100 years ago wako na mwili wa kufufuka?
@@juliu876
John 11:25-26
[25]Jesus said unto her, I am the resurrection, and the life: he that believeth in me, though he were dead, yet shall he live:
[26]And whosoever liveth and believeth in me shall never die. Believest thou this?
Wangapi umeshuhudia wakifufuka?
@@mosesnjenga2767
Ndugu yangu, kutokuamini kwako hakuwezifanya anayeamini akose kuamini, wewe ngoja kifo tu bila Imani na kusamehewa dhambi zako ndipo utawaona waliofufuka, Leo ni kama Hadithi kwako, umesahau hio ndio njia utapitia na kutokuamini kwako, hakuna anayekulazimisha kuamini my friend, amini chenye utaamini ata uchomwe na ugeuzwe upepo Bado utafufuliwa ndio utajua Mungu achezewi,
Tutapa miili mipya wakati wa kufufuka
These cremations of the dead do not augur well in today's societal norms and a change must be made for posterity. If the Hindu religion still insists on the practice, it is because it is not recognized as a genuine Faith which their faithfuls espouse.
@@alphoncezai5974 what is a genuine faith?
Kwani walisema ashes to ashes kwa bible inamaanisha nini...haya pia wapi imeandikwa watu waekwe kwa jeneza