Sikujua habari hii kwa undani hivi, nilikua nasikia tu 'Nikko'. Pole yake tahira uyu. Ametumia muda mwingi wa maisha yake jela bila sababu za msingi. Ujasiri wake angetumia vema angeishi maisha tofauti na hayo
Asanteni sana kwa habari mhimu, sasa maoni yangu ni kwamba if you get bloody, dirty money this definitely a curse not only for you yourself but also to your people and your Nation.
Ok kaka nakuskia vizuri ila kitu tcha msingi ni iki esprit ya familia aiishaki ata wewe kilema tchako kita tembea paka kwa wadjugu wako samaani kwa kiswahili tshangu kigumu naishi kongo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
OK kaka nakuekewa vizuri,ila kitu cha msingi ni hii roho kishetani ambayo itakuwepo kwenye ukoo wenu,ni urithi au pepo mchafu,hautaisha kwenye ukoo wenu,yupo mtu atarithi tu
Mimi naamini kuwa laana ya ukoo ipo lakini magonjwa ya akili sio kitu cha kupuuziwa hata kidogo na ubaya zaidi ni mgonjwa wa akili huwezi kumjua kama wagonjwa wengine. Tujitahidini kukaa na watu vizuri, tuseme maneno mazuri na vitendo vyetu viwe vizuri huenda hiyo ikawa ni tiba ya magonjwa hayo. Kitu kingine ni kwamba ukimuona mtu ameanza dalili zisizoeleweka basi muwahishe kwa msaikolojia haraka sana mana ukichelewa mambo yanakua kama hayo ya Nikko au zaidi ya hayo. Bipolar inatibika na magonjwa yote ya akili yanatibika ukiyawahi kwa mapema.
Exactly STELLAMARIS OKOKO uko sahihi kabisa Hiyo ni laana ya ukoo kuna mtu alitenda ouvu kwenye hiyo familia kwa hiyo wamepata madhara yanayosababishwa na urithi wa uovu kutoka kizazi hadi kizazi, hao mpaka wakimbilie kwa Kristo Yesu pekee ndiko kuna uwezekano wa kuwaondoa katika hiyo laana, la sivyo hadi kizazi chote kifutike.
Allah atulindie Familie zetu kwa madill mema
Wozaaaaaa, pamoja sana kaka Shed 🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Sikujua habari hii kwa undani hivi, nilikua nasikia tu 'Nikko'. Pole yake tahira uyu. Ametumia muda mwingi wa maisha yake jela bila sababu za msingi. Ujasiri wake angetumia vema angeishi maisha tofauti na hayo
Kizazi cha shetani iko yani full ushetani
Asanteni sana kwa habari mhimu, sasa maoni yangu ni kwamba if you get bloody, dirty money this definitely a curse not only for you yourself but also to your people and your Nation.
SUBHANALLAH,Allah atunusuru kwakweli
Nilikua natafuta sana story ya huyu jamaa ahsante sana justin shed
Allah atuongozee familia zetu katika maadili mema Amiin
Ameen
Umenifurahisha sana nilikuwa sana natak kumjua uyu jamaa
Napenda simulizi kama hizi ...ahsante 🥰
❤
Ok kaka nakuskia vizuri ila kitu tcha msingi ni iki esprit ya familia aiishaki ata wewe kilema tchako kita tembea paka kwa wadjugu wako samaani kwa kiswahili tshangu kigumu naishi kongo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
OK kaka nakuekewa vizuri,ila kitu cha msingi ni hii roho kishetani ambayo itakuwepo kwenye ukoo wenu,ni urithi au pepo mchafu,hautaisha kwenye ukoo wenu,yupo mtu atarithi tu
Kaka hembu tafuta shory zawalemavu walio fanikiwa duniani,,,Mana minkijana mwenye ulemavu,,itanihamasisha
Pole sana mungu atakuongoza usikate tamaa... Je... Ni mlemavu wakiungo gaani
Safi sana, from USA 🇺🇸.
Jistin Shed ni Millard Ayo aliyechangamka
Amini nawaambia.
Shukran cn mchambuzi wa habari hii coz most of us tulikuwa tunamskia tu huyu jamaa
Niatal dunia imeisha mungu atufanyie wepesi🤲🤲
Mimi naamini kuwa laana ya ukoo ipo lakini magonjwa ya akili sio kitu cha kupuuziwa hata kidogo na ubaya zaidi ni mgonjwa wa akili huwezi kumjua kama wagonjwa wengine. Tujitahidini kukaa na watu vizuri, tuseme maneno mazuri na vitendo vyetu viwe vizuri huenda hiyo ikawa ni tiba ya magonjwa hayo. Kitu kingine ni kwamba ukimuona mtu ameanza dalili zisizoeleweka basi muwahishe kwa msaikolojia haraka sana mana ukichelewa mambo yanakua kama hayo ya Nikko au zaidi ya hayo.
Bipolar inatibika na magonjwa yote ya akili yanatibika ukiyawahi kwa mapema.
MUNGU aonekanie watoto wetu
HASBIALLAHU waneemal wakeel
Eti unasema umepinda.... Kuna watu wamepinda kudadadeki 🙌🙌🙌
Nakwambia
Da Noma sana
Tuletee ya Paul Castellano boss wa Gambino crime family itakuwa Good sana
Hii familia ni yakipuuzi sana
Ahsante sana huyu mtu nilitakaga sana nimjue
Uyo kaka duuh. Ushetani mbaya sana
Nili request story ya George Stinney Toka mwaka jana...!!!very interested story mtt mweusi aliyeukumiwa kunyongwa kimakosa USA
Iko kwa professor Jamal the story book
Du! Big up kwa kutujuza bro🙏🙏
Hata sura yenyewe tu inatisha kuliko mengine 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wah Dunia hii Ina mambo kweli Mungu tu atulinde maanake yy ndiye tegemeo letu
Ameen 🙏🙏🙏 My
Umetisha sana mzee hii nilikutumia inbox 📥 utulete story
Duuh hatari bora walivyomfunga maisha mfungwa hatari huyu
Hiyo ni laana ya ukoo.generational curse accompanied by satanism.the family is paying debts.very unfortunate end scary.thanks you for the story.
Exactly STELLAMARIS OKOKO uko sahihi kabisa Hiyo ni laana ya ukoo kuna mtu alitenda ouvu kwenye hiyo familia kwa hiyo wamepata madhara yanayosababishwa na urithi wa uovu kutoka kizazi hadi kizazi, hao mpaka wakimbilie kwa Kristo Yesu pekee ndiko kuna uwezekano wa kuwaondoa katika hiyo laana, la sivyo hadi kizazi chote kifutike.
Yes its really story bro✋🏽
Kazi Nzuri Ya Ufafanuzii
Hongera sana
Ana fanna mchiz iv ypo kwny muv y Matrix
Duuu hii familia ni 🔥🔥🔥
Ukoo huu unaitwa wajela jela
Duh nilijua nimepinda kumbe kuna alie pinda zaidi yangu yupo🤣🤣🤣🤣
Is too cool
Huyu mfungwa n noma
Dah hii family nouma aisee
Asante sana kwa video nzuri
hata akisha nyongwa family yake haitapewa maiti yake mpk hyo miaka ipite
Hadithi nzuri
🤗🤗🤗eti alihukumiwa miaka 450
Wanasema alihukumiwa kifo na miaka 450 jela sasa hapo sijui walikuwa wanamaanisha nini.
Kifungo cha maisha
Yan unakuwa mfungwa adi ktk maisha mengine yan uyo ata akifa kaburi lake linafungwa pingu
Mtuhumiwa chizi,ndugu zake vichaa na nduguzake pia hawanaakili.
as twende kazi
Dahh noma
Uyu kaka namuogopa
Dunia hiyi inamengi jamani
Duh nihatar
Waaaaa huyo ni muhalifu kweli
Kaka unatufurahisha sana mashabiki wako tuliosubscribe
Safiiiiiiii
Nikko please,receive the Lord Jesus Christ of Nazareth,He is,coming back,u are on the wrong side
when is he going to come back ?
@@azizhamudi3196 wafika mpaka huku😁
duuuuh dunia inamambo 😢
Hakika dunia inamambo mazito sana
Yaani duniani kuna ma krazy zaidi
Huyu jamaa kama sio noma basi ni nyoko...
Tunaomba utuandalie video inayohusu kituo Cha Anga Cha kimataifa
Safi sana
Story inatisha hasa alipouchonga ulimi ufanane na nyoka aise tena kwa kiwembe du.
Hii familia niazimwi
🤝🤝🙏🙏💥💥
Hii familia nouma
Huyo Jamaa ni Shetani
Uchawi huuu kbs
Sasa twende kazi 💪
Angekuwa black Amerika ungekuta walisha mny'onga siku nyingi
ila kwa kuwa ni white kesi inapigwa kalenda
Daah wazungu hawajaifanyia filam hii story kweli??
Story yake ilitolewa na familia yake yote ambao wako jela na story za mmarekani
Hii dunia inaviumbe hatari sana huyo jamaa bora ukutane na simba
Mtu huyo angeombewa kuvunja pattern zinazomfuatilia ataachana na hivyo vitu.
Du familia yao iliingiliwa na mapepo machafu
Asant xn mkuuu
Mimi naitwa Justin shed sasa twende kazi
Miaka Mia nne hii htr
Duh🙏🙏🙏
Wamesha mnyonga kitambo
Duuuuuh huyo jamaaa hafai
Mh jama alikua katili Sana alichonga had uume wake dah Atari sana
Yuko jera au kanyongwa
Video ya Manchester United jamani
Uyujama niatalisana
Tatizo wanawalea watu Kama hao ingewekwe Sheria mtu akiuwa kwa makusud nayeye mbele za watu ili kuwafunzo
Mafia family 🔥🔥
Duh amechonga hata visivyostahili huyu alikuwa na mdudu
Family yenye laana duh
Hii familia ukikosa kuoa au kuolewa ni makoshaaa
Najikuta nawacukia utafkiri Nina lakuwafanya khaaaaaa astafirullah astafirullah yarabh
Weeehh SubhanaAllah 🙆🏼♀️🙆🏼♀️😱🤮🤮
Daha jamaa hatari sana
Mh hatari
HUYUUUU JAMAAAA MTUUU MBAYAAAA
Aaah huyu jamaa hatari
Sasa twende kazii
Duniani Kuna watu waajabu
Historian ya Korea kugawanyika
Nilikua natamn sana utuletee huyu mwamba
Tunaomba video ya dark web na jinsi ya kuingia dark web
Hii familia balaaaa🤔🤔
mzuri tu ila hzo tattoo ndo zmefanya atishe na alijijua mrembo akaona ajiharibu na kujichora