Habar zenu wadau kwakwel sijawahi kukoment ila kwa hii move yaani kma nimetungiwa mm huu movie maisha hya ndo yamenitokea na mm ktk maisha yangu na mm nimeacha mtu nimpendae nikabak na ndoa yangu
Yaani hii movie imekosa viwango kabisa tena kabisa si kwa ubaya, ila kiukweli vipande vinajirudia hapo kwa hapo tena kwa dakika nyingi na hatuoni muktadha wake kama ni series basi ni sawa ila kama ni single movie tu basi kwa kweli hii movie haina ubora
Amanda kipenzi Cha wengi hata nmefurahi kabra sija iangalia we miss u siz
Nimewamis pia ❤
Tunakupenda sana Kenya@@Amandafilmtz
Team nyuki nipitieni🎉🎉🎉
Kazi nzuri xana nyuki MUNGU Akutangulie .yaani mi nampenda nyuki wakimxalitidi au akiachwa anakuwa mdg kama pili tonii......
Napenda hii umoja na ushirikiano wengu Wana Tanzania ❤Natokea 254Kenya🇰🇪 napenda sana kazi yenyu safi na uigisaji wenyu Kwa ujumla❤kazi safi sana📷🌺🌺
Wow 👌 😍 kitu pambe
Amanda umefanya maamuzi bora 🎉🎉tulia unakopendwa❤❤
Nyuki pore sana kaka kirasiku unawumizwa kupitiya mapezi 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuli❤❤❤❤❤❤❤❤
Good job babe congratulations 🎉❤🎉🎉🎉
Ni nzr sana.ila nyuki umetusahau na siku 3.
Furaha kubwa la tawala kwa kututoa matongotongo ya mda mrefu kaka etuu more love🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ohy wakwanza leo na nimejua siri ya move hii nitamu kama huamini tizama hadi mwisho na uniambie unampenda nani kwenye hii move❤❤🎉🎉
Amanda una figure poa na nyuki kakuchanganya na uko na maisha yko❤❤
Habar zenu wadau kwakwel sijawahi kukoment ila kwa hii move yaani kma nimetungiwa mm huu movie maisha hya ndo yamenitokea na mm ktk maisha yangu na mm nimeacha mtu nimpendae nikabak na ndoa yangu
Unajua kaka, keep it on moving
Mm najikuta nacheka cheka tu 😂😂😂 yatima wa mapenz
😂😂😂 pole
Sasa amanda yeye alicheza usiku tuu na nguo moja
Jamani nyuki tumaliziye kwanza mtoto wa Boss uyu amanda yawezekana unaupenda sana
Uko Vizuri Nyuki Bid up Kakaa filamu iko 🔥
Nashukuru
Nipitie pia
Daah 🎉🎉🎉 kazi nzr sana
Hongera sana ,bonge la lovestory
move kali sana
Anaejua ako kawimbo kamelia apo kwa amanda aniambie (unasema unanipenda mimi)
Nimemuona twizz kaka ❤❤
Nice one,,,mwambie nyuki nko hii ingne ache kusumbuka😂😂😂
Nice song ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tumependa
Zuri sana❤❤❤❤❤❤
Hatariii🎉
Wow. ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Happy new year Nyuki kazi nzuri ❤❤❤🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana❤
Amanda my favorite ❤❤❤❤
Hay naomben like hapa
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Wow 👍👍👍👍
🎉❤❤nzuri
❤❤❤❤
Tuwongeze❤❤❤
Nashinda UA-cam kucherk move nzur sana
Sinyuki uliunza😅vibaya huu mwaka pole😅😅😅😅😅🎉🎉
Amanda una sauti nzuri kama ulivyomuonekano wako dada piya napenda unavyoongeya kwa upole sana napata raha nikikuangaliya dada
Shukran
Nyuki tv mulitukatia mke wa rafiki njiani
Amanda I love you, anda Miss you kipenz
Uyu aliesema wakenya c wazuri 😢😢😢 amejaa dhambi chungu nzima😂😂,, ata shetani anamshangaa😅😅
😂😂😂😂😂😂
ata ivo jamaa anamoyo sana 😂😂 hakugusi ata kibao daa😂😂😂 sisi wakurya taar umesha kula bapa la panga
😂😂😂😂😂😂punguza hasira
Hasira aisaidiii rafiki😂😂
#nyuki
nyuki nyuki
Kazi kulialia tu kama wahindi
Mr nyuki🎉🎉😂
🎉🎉
Yaani hii movie imekosa viwango kabisa tena kabisa si kwa ubaya, ila kiukweli vipande vinajirudia hapo kwa hapo tena kwa dakika nyingi na hatuoni muktadha wake kama ni series basi ni sawa ila kama ni single movie tu basi kwa kweli hii movie haina ubora
Upo sahihi kaka
Tunga yako yenye ubora utupostie😅😅😅😅
nyuki apewe maua
Giza limezidi
Tunashuru mnatuelimisha na tunafurahia kazi zenu ila mjitahid kumaliza Kila mnayo ianzisha
Amanda the pretender 😂😂😂😂👌👌👌👌👌👌👌
Alafu badae mtuambie kwa nini mkakosa kuoana na mnapendana kweli
Harafu mukianza movie hamuziendelezi munaziacha munatoa nyingine tutafika kweli kwenye ubora sasa
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤😅😅
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
❤❤❤❤🎉❤❤
amanda kua mkweli 😂😂😂
Hv ile nyingine mloshikana ugoni iliisha MN naisubiria
Jmn mm naomba kujua hizi nyimbo mbili zilizo tumiwa humu ndn anae zijuia walio imba has ya kwanza hy I miss you
mimi nazijia 😂😂😂
@@mickychuku6444 Naomba nisaidien jmn please
@@mickychuku6444 naomba nisaidie nizipate daa
@mickychuku6444 zitaje bhasi ata mimi nazitaka😅😅
Munawahi nadhani hatamuvi hamujaiangaria munakoment
😅😅
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tunataka 3days muendelezo
Sasa hii movie mbona nyimbo inachukua sekinde nyingi
movies zako ni mzuli shida yako moja baaz ya movie haziishi kwann
labda 😂😂😂wew atakuskia
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🧐♥️♥️
😂😂😂😂
This movie is so boring 😴