RADI KWA SHEKHE MUSELLEM ALIY (02) - SHEIKH AKIDU حفظه الله

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 78

  • @dhakiamohamed6530
    @dhakiamohamed6530 2 роки тому +1

    Sheikh Mselem M/Mungu akuhifadhi na akupe moyo uendelee kutufahamisha juu ya dini.achana na maluuuni huyu anajipendekeza anataka cheo tu na hapati ng'ooo kwa staili hiyooo

  • @omarsakawa2070
    @omarsakawa2070 2 роки тому +1

    Shekh abu abdulhalim huna kazi mungu akuongoze,akupe na kazi ya kufanya.

  • @saleheyusuph5416
    @saleheyusuph5416 2 роки тому +4

    Baarakallah fiika Sheikh wangu Allah awatie nguvu ktk kuondosha Upaulo (Bidaa),, ktk dini yetu ya Uislam.

  • @hidhiriabdulkadri7846
    @hidhiriabdulkadri7846 2 роки тому

    ssarafii niukhafirii

  • @swiddiqmussa3490
    @swiddiqmussa3490 2 роки тому +2

    Nyinyi ni mawakala wa mayahudi2

  • @hajisuleiman5985
    @hajisuleiman5985 Рік тому

    Ww kama daimond

  • @bassryanassor2983
    @bassryanassor2983 2 роки тому +3

    Mm Naona ww huna adabu choyo tu chingi

  • @Ustadhihamza
    @Ustadhihamza 11 місяців тому

    Nyinyi munaojiita masalafi ndio hamufai kusikilizwa wala kufuatwa

  • @hajisuleiman5985
    @hajisuleiman5985 Рік тому

    Nakumbatia bin ali au lete mama yako

  • @omarmohammed2697
    @omarmohammed2697 2 роки тому +2

    Namkubal kassim mafuta ila sh mselem na othman maalim pia wana nafac kubwa moyon mwang , uyu akidu bado sana

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 2 роки тому +3

    Naskia kila wakala wakulu tuu😂😂😂. Hivi huoni aibu na hio porojo yakoo. Allah sw akuongeze na amhifadhi Shekh Mselem inshallah kwa hasadi zenu

  • @MohdEddy-g9w
    @MohdEddy-g9w 28 днів тому

    5:34 pesa wanawake kula ndio sifa zenu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому

    Mama ako inafaaaaaa kumsikiliza

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому +1

    Nyie wabara hususan masalafia jadida mnachuki sana a wazanzibar

  • @KharounhamisiHamisimuhammed
    @KharounhamisiHamisimuhammed 4 місяці тому

    Acheni mambo ya rad ktk mitandao

  • @bassryanassor2983
    @bassryanassor2983 2 роки тому +6

    Huwezi kumfikia mselem hatashubili viatu vyake huwezi kuvikamata mkononi mwako utangoja sana tena narudia tena ushika adabu yako na mwanachuoni wetu mkubwa

  • @issarashidi2509
    @issarashidi2509 2 роки тому

    Ana kaumajinuni kanamnyemelea huyo

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 2 роки тому +2

    Mselem akili nyingi nyinyi vichwa maji ilo ndo tatizo

  • @MohdHaji-p2w
    @MohdHaji-p2w Рік тому

    Naomba dua na wewe yakukute ufungwe usitoke uone kiburi chako

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 2 роки тому +3

    Umechelewa sana wewe. Choyo tu kwa Msalem. Hufikii hata robo ya Mselem. Nenda kakae kitako ujifunze tena dini.

  • @Ustadhihamza
    @Ustadhihamza 11 місяців тому

    Kwaiyo vile kutukana watu kwenye membari ndio usalafi pole sana wewe namasalafi wenzako munatakiwa kutubia sana .
    Khutba nzima ya ijumaa unatukana watu eti ndio usalafi endeleeni naharakati zeni zakuwagombanieha waislam

  • @allysalum1281
    @allysalum1281 2 роки тому

    kasome tena broo

  • @hassanmussa3664
    @hassanmussa3664 2 роки тому +1

    Unatumia sunna gan kumkosoa mtu

  • @bassryanassor2983
    @bassryanassor2983 2 роки тому +3

    Yy sunna ya kufungwa ndani gerezani kateswa sana ww una lipi ulolipata kwenye hii dunia misukosuko kwaajili ya dini

  • @dhakiamohamed6530
    @dhakiamohamed6530 2 роки тому +1

    Dunia nzima hivi weee ndo sheikh?we unajifanya peke Yako ndo utaenda peponi?usimuhukumu mtu Mwenyezi Mungu ndo mwenye kujua.hatuwachi na Wala watu hawawezi kuacha kumsikiliza Mselem.

  • @SafiaHaji-fo3sl
    @SafiaHaji-fo3sl 4 місяці тому

    tubia ww huna adabu

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 2 роки тому +2

    Nimesoma comment zinanipa jawabu kuwa sheikhe mselem ni mtu wa haki na huyu Alie toa rradi ni mtu wa batili

    • @muhidinn5648
      @muhidinn5648 2 роки тому

      Umepatia huyu ni muongo mshenzi

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 2 роки тому +2

    Huyu anamuonea choyo Sheikh Msellem Ally.Huyu anaogopa hata kuonesha sura yake kwenye video. Apache kuwagawa Waislamu.

  • @hajisuleiman5985
    @hajisuleiman5985 Рік тому

    Ww unaumia unachuki yawazi kuruadi wamtu wote tupiga ikisomwa ili tukulewe mlete mama yako tusikilize hundtukafahamu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому

    Jamani nawaombeni waislam wa tanzania
    tuwaombeeni duwa baada ya kwamba washagwanyika wazid kugawanyika hawa masalafia jadida
    Kwa kuwagawa na kuufarakanisha umma

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 2 роки тому +1

    Salafy msihudhurie tulobaki tutahudhuria msitushikie akili

  • @Ustadhihamza
    @Ustadhihamza 11 місяців тому

    ilimu huna unakaa mitandaoni unaongea ujinga. mumetumwa na mayahudi kugombanisha waislam

  • @SafiaHaji-fo3sl
    @SafiaHaji-fo3sl 4 місяці тому

    ww wacha ujinga huo huna cha kuzungumza din yenyewe huijui

  • @ndagonisecondary9578
    @ndagonisecondary9578 2 роки тому

    Bamkubwa achana na hasadi yako SH MSELLEM akikosea ni binaadamu ila ww yaonekana wajipa uhakika ya kupatia kila jambo ALLAH akuongoze katika haki

  • @takdirmahmoud
    @takdirmahmoud 2 роки тому +1

    Sisi tunamuelewa Sheikh Msselem

  • @hajisuleiman5985
    @hajisuleiman5985 Рік тому

    Ww huna mpango mlete mana yako tusikilize

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому

    Mama ako ji mtu wa sunns

  • @hajisuleiman5985
    @hajisuleiman5985 Рік тому

    Na ww sio mtu wasuna nyinyi wanafiki

  • @jumamwinyi2845
    @jumamwinyi2845 2 роки тому +2

    Hakika ww mungu akuongeze sisi katu hatuto kufata daima ww maana umesoma lakin huja elimika kabsa na huna hata adabu ya kuongeya Wala hekima yakuongeya muombe Allah akupe hekima kwani aliye pewa hekima hakika amepewa kheri nyingi kubwa Sasa

  • @labiybusoud5294
    @labiybusoud5294 2 роки тому

    Waislam nahisi njia nzuri ya kuzuia huu uovu wa viumbe waovu kama huyu anaejiita shekhe ni kuziripiti channels zao ili UA-cam wazifungie. Itakuw ni sadaka kwetu. Maasalam.

  • @omarmohammed2697
    @omarmohammed2697 2 роки тому +1

    Porojo tu 😂😂😂😂

  • @shabanihassan8678
    @shabanihassan8678 2 роки тому

    Izo bangi sheikh Akidu

  • @takdirmahmoud
    @takdirmahmoud 2 роки тому

    Kwaiyo huyu Sheikh yy anajiona ndio ameongoka,, Sub-haanallah

    • @muhidinn5648
      @muhidinn5648 2 роки тому +1

      Hiki ni kigenge Cha porojo

    • @muhidinn5648
      @muhidinn5648 2 роки тому

      Mwalimu wao ni bilisi na matamanio waulize Mtume amewahi kujiita salafi japo Mara moja?ni taasubi tu.

    • @suleonlinetv2415
      @suleonlinetv2415 2 роки тому

      Dah huu niunafiq uliyowazi. Msitutatize. Wewe. Unajiamin vipi kuwa uposahihi. Mche allah

  • @mazruqmohammed4108
    @mazruqmohammed4108 2 роки тому

    Wewe mama yako ni mtu wa sunna

  • @OmarOmar-wx9zg
    @OmarOmar-wx9zg 2 роки тому +3

    Kwanza kabisa wewe Akidu msingi huu wa mwanzo ktk misingi ya Sunnah wewe umeukosa, kupitia maneno yako kwanini huchungi heshma ya Sheykh Msellem? Wewe unamtupia tu maneno wakati unaifahamu nafasi yake kwa jamii ya kitanzania, niipi faida ya dharau zako hizi?
    Wewe una jijengea picha gani kwa kila Muislamu mwenye maarifa ya Dini, na kila anae mpenda Sheykh Msellem?
    Katika misingi mikubwa ya Da'wah ya Ahlissunnati Wal-Athar ni hekima, busara na maneno mazuri.
    .قال الله تعالى: ولو كنت فظا غليظ القلب لانفضوا من حولك.
    Da'wah yenye dharau na kejeli namna hii wewe umeitoa wapi, da'wah isiochunga maswaali'h na mafsadi ninani ktk Salaf alie lingania Dini kwa mtindo huu?
    Ukifanya Da'wah na kujipa kibali mikononi mwako bila kuangalia waliopita kuanzia Rasulullaahi Swallallaahu 'Alayhi Wasallama na Maswahaba na Walio wafuata kwa wema namna walivyo ilingania Dini na namna Da'wah zao zilivyo kua na barka, na Allaah Azza Wajalla alivyo tia Tawfeeq ktk Da'wah zao, wewe ukajifanyia utakavyo kwa kisingizio cha Sunnah hakika bila ya shaka tarajia maharibiko na watu kuku kimbia na kutahadharishana kuhusu wewe, na nihaki watu kufanya hivyo kama huta badilisha mfumo wa Da'wah na nakuomba nenda kasome kwanza Uswuludda'wah khalafu ukisha fahamu vizuri njoo ufanye Da'wah.
    Abuu 'Aarif.
    +255673779519

  • @mahmoudali2662
    @mahmoudali2662 2 роки тому

    Jamani mnajua sababu ya kuto kuonekana hawa jamaa nihivi hawa ni wajumbe wa shetwani siku akionekana nahawa jamaa pia mtawaona.

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 2 роки тому +1

    Shekh mselem hajawahi kuwatukana viongozi ana akili zake na adabu zake

  • @mussahassan1779
    @mussahassan1779 2 роки тому +1

    Huyu jama hajuwi nni anakiongea Kwakweli mana Hana Aya hata1. Towa kosa aliyoongea sheikh Mselem Bin Ali rathiyallahuanghu
    Huna hata Aya 1 uliyotapsili
    Kwenye Quran
    Sheikh Mselem Bin Ali rathiyallahuanghu kama hujuwi ndio sheikh anaye tapsili Quran est Africa na Kati kwa Lugha ya kiswahili
    Tena fanya kila njia umtafute umuombe radhi

  • @suleali4915
    @suleali4915 2 роки тому

    Kwa upuuzi huo wa kuwakejeli watu wallah mutasota sana ila hamuwezi kupendwa

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому

    Huyu hana tofauti na myahudi

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому

    We na mselem ni mbingu na ardhi

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 2 роки тому +1

    Salafy wanataka sheh mselem arudi ktk sunnah wakati sheh msem mwenyewe ni mtu wa sunnah hebu tumwachie mungu yy ndo atoenda kutoa hukumu

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 2 роки тому

    Hili jamaaa ni jinga sana, huna ata hekma na busara. Hujielewi, lete ushahidi wa kauli za muutazilah.

  • @abuushaakir9582
    @abuushaakir9582 2 роки тому

    Assalaam alaykum warahmatullaah wabarakaatuh mmemnaasihi musellem mkamjuza kosa lake?? Au raddituu ?? Sasa masalafii usuulubu daawa twakosea sana...

  • @tumainizaidu5124
    @tumainizaidu5124 2 роки тому

    Ifike wakat mueache hasadi.

    • @amourkhamis3590
      @amourkhamis3590 2 роки тому

      Ww acha kumzalilisha shekhe mselem ally kwan lini kamtukana kiongozi au yeye alikuwa anateteya Zanzibar kwa ukafiri uliyopo

    • @salumjidawi1590
      @salumjidawi1590 2 роки тому

      Tatizo la salafi hawana adabu hata yakuvalia nguo

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому

    Nyie masalafi kazi yenu mipasho tu si dini
    Kauzeni kanzu

    • @AbubakarTwaha
      @AbubakarTwaha Рік тому

      As alaikum ndugu zangu hakika anayemkosoa shekh letu mselem ally sio bure nakuombeni msimtukane kwenye momento zenu maana huyo huwenda nikatika watu walotumwa na mayahudi

  • @MohamedSaid-my1qx
    @MohamedSaid-my1qx 2 роки тому

    Huu usalafi kuna muda huwa una changamoto sana yaani salad huwa anajipa Pepo Kisha wengine wote matoni

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому

    Bora niwe sufi kuliko kuwa salafia jadida

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 роки тому +1

    Hivi huwa kunawakati mnavuta bangi nini manaake mnajipa majina mazito kweli sijui abuu fulani kumbe hakuna wajinga kama nyie sasa mselemu Ali kawakosa nini? Watu wabaya saana nyie hata sijui huu uislam wenu wa aina gani

  • @seifseifmohamed7118
    @seifseifmohamed7118 2 роки тому

    Wewe akidu shika adab yako kwanza unaalama ya mwana wa kharamu nenda kamuulize mamako

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 2 роки тому +1

    Sasa wewe Sheikh umewahi kuwafuata hawa viongozi madhalimu ukenda kuwanasihi kwa siri? Pia hebu nipe mfano mmoja wa Sheikh Msellem kutukana viongozi?

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому

    Kataaaa salafia jadida
    Kataaa SALAFIA jadidaaa
    Kataaaa SALAFIA jadidaaaa
    kataaaaaaa salafia jadida