Boda2Boda (EP18)Part.3 Matarajio yangu ya sauzi yalikua juu, Nilipofika Ghetto mtu 18 chawa noma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 48

  • @JumaaBakari-x5v
    @JumaaBakari-x5v 10 днів тому +3

    Baria upande wakula anajua kusimulia 😂😂😂😂

  • @mshua337
    @mshua337 12 днів тому +1

    Kuna best yangu yupo south kitambo sana.alienda kwa ajili ya mpira.kapitia mapito sana natamani mumtafute 😂😂

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y День тому +1

    Kaziii kaziii TV msarimiee Karim waamoro naaaa mohamediii msangiii nimependaaa storii zenuuu

  • @manmanixh
    @manmanixh 12 днів тому +2

    Twende kaz manniger oyaaa

  • @rostamkareem2691
    @rostamkareem2691 6 днів тому +1

    Mzaramo umeua ⚡️⚡️⚡️🔥🔥

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 2 дні тому +1

    mzaramoooo kweeriiii msafirii

  • @samwelibrahim1716
    @samwelibrahim1716 13 днів тому +1

    Nakubali sana hili pindi mabaaria unaowahoji wanaeleweka sana
    USHAURI
    baada ya kuwahoji safari tunatamani kujua na mapambanoo mengine baada ya kufika mpaka walipo kwa sasa

    • @kazikazitvboda2boda
      @kazikazitvboda2boda  13 днів тому +1

      Poa tutalifanyia kazi.. Sema inategemea na story wengi wao mbona wameongea ukweli.

  • @Dontlosehope-k2z
    @Dontlosehope-k2z 13 днів тому +3

    NEVER LOSE HOPE MEN ✊🏽

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 14 днів тому +2

    Mwana kaongea point kubwa sana kwa swala la maisha ukiwa home akili inalala lkn ukiwa mbali unachangamka
    Kwa swala uhalifu wabongo wanaiga sana..Maisha ya nje magumu mno kila kitu lazima ulipe hivyo akili inatakiwa ifanye kazi kubwa..Big up sana mwana kaongea vzr sana

  • @saidmwinyi5918
    @saidmwinyi5918 13 днів тому +2

    Pindi la maana sana sema story zinafupishwa mno labda changamoto ni muda wa kukutana kutokana na ratiba lakini ningeshauri story zihadithiwe hatua Kwa hatua Kwa matukio yote. Ahsante

    • @kazikazitvboda2boda
      @kazikazitvboda2boda  13 днів тому

      Pamoja sana.. Tutaboresha Hilo shwala la kuongeza muda nimeona watazamaji wetu wengi mnapenda story ndefu zaidi kuliko fupi fupi

  • @TEBOHOMOKOENA-b5h
    @TEBOHOMOKOENA-b5h 14 днів тому +3

    Pamoja sana

  • @wahiwaziri7363
    @wahiwaziri7363 14 днів тому +2

    Dah, story iko na mafunzo mengi ya -ve &+ve, big up Kwa mzaramo na emzona, wadau na wapenz wa simulizi za travela b2b hatuna sababu ya kutolike,kushare Kwa wanetu na kucoment chchte kuhusiana na simulizi, hii itapelekea watayarishaji wa pindi ili wapate compliments ambazo wataongeza ubunifu na kutafuta mabaharia wenye story nzuri kama hii. Pamoja sana wadau.

    • @amaniathumani2379
      @amaniathumani2379 14 днів тому +1

      Shukrani sana mzee ☝️

    • @kazikazitvboda2boda
      @kazikazitvboda2boda  14 днів тому +1

      Umetusha sana mwenetu.. Hii comment ni ya kibaba mno.. Inabidi tukuweke kwenye group letu la wadau kama hutojali...

    • @wahiwaziri7363
      @wahiwaziri7363 14 днів тому

      @@amaniathumani2379 pamoja sana, kwangu Mimi simulizi yako imeset standard kwenye b2b, natarajia mabaharia wajao wataanzia ulipoishia.

    • @wahiwaziri7363
      @wahiwaziri7363 14 днів тому

      @@kazikazitvboda2boda fresh kaka

    • @wahiwaziri7363
      @wahiwaziri7363 14 днів тому

      ​Pamoja sana kaka mkubwa, kwangu Mimi hii simulizi yako imeset standard kwenye b2b, simaanishi zilizopita hazikua Bora bt hii yako mtiririko wa matukio, namna ulivyowasilisha, ushauri uliotoa mwishoni Kwa pamoja ilikua 🔥 🔥 🔥. Timu nzima ya kazi kazi iko na assignment sasa ili simulizi zijazo zianzie hapa ulipoishia kaka! ​@@amaniathumani2379

  • @josephmay4260
    @josephmay4260 14 днів тому +1

    Dkk zakutosha safi sana

  • @topselaz6366
    @topselaz6366 13 днів тому +1

    Tupo live

    • @kazikazitvboda2boda
      @kazikazitvboda2boda  13 днів тому

      Pamoja mdau

    • @topselaz6366
      @topselaz6366 13 днів тому +1

      Nakubali bonge moja la inspiration story mi nmemkubali sana baharia kaenda safar na kajua kafata nn kibish kapambana mpk leo anaish huko hamna story ya madawa wala ujambaz watoto wengi wanafeli kwa kutokujua nn kimewapeleka huko

  • @GoodluckLyakund
    @GoodluckLyakund 14 днів тому +1

    Mzalamu ametisha sana

  • @AlfaAron
    @AlfaAron 13 днів тому +1

    Mzalamu umenimalizia bundle langu

  • @ForeverCaptain
    @ForeverCaptain 14 днів тому +1

    Story Kali sanaaaaa

  • @EmsonMchau-q5c
    @EmsonMchau-q5c 14 днів тому +2

    🎉🎉🎉🎉😂😂

  • @RahimKulwa
    @RahimKulwa 14 днів тому +3

    Kinyo wa bunju@