Shukran Mangwez...natamani ungecheza na Chess wakati wa ujana wako, naamini kwa kichwa chako ungekuwa bingwa mkubwa wa Africa na Dunia, na ungeiwakilisha nchi kwa sehemu kubwa sana...sisi tulikua tunakufuatilia na kuku-admire tangu tu wadogo Tandika, Mwembe Yanga, Davis Corner, Temeke Mwisho, n.k.
Shukran sana mzee MANGWEZ na Mungu akubarik sanaaa akuongezee ujuzi juu ya ujuzi na uzidi kupata wepesi wa rizki zako za kila siku. Usiache kutupa elimu. #NimeanzaNaMangwezNamalizaNaMangwez
Shukran Mangwez...natamani ungecheza na Chess wakati wa ujana wako, naamini kwa kichwa chako ungekuwa bingwa mkubwa wa Africa na Dunia, na ungeiwakilisha nchi kwa sehemu kubwa sana...sisi tulikua tunakufuatilia na kuku-admire tangu tu wadogo Tandika, Mwembe Yanga, Davis Corner, Temeke Mwisho, n.k.
🙏🙏🙏
Professor salute kwako
Really cool, you are not selfish at all. Good work Prof.
Shukran sana mzee MANGWEZ na Mungu akubarik sanaaa akuongezee ujuzi juu ya ujuzi na uzidi kupata wepesi wa rizki zako za kila siku.
Usiache kutupa elimu.
#NimeanzaNaMangwezNamalizaNaMangwez
Daah unatisha mzee
Shukrani proffessor, ila mimi ni bado sana aisee
Mtetezi wetu wa draft🤝
❤❤❤❤❤❤
😂😂😂 Paka Anasikika Akilia " Mabauuu Mabauuu Mabauuu " 😂😂😂 Big Up Prof. Wa Mabao Mangwez.
❤❤❤
Jaman hili drafti ni pana nyie kha! M bado sana😂 shukran professor
Naomba namba Yako ya simu magwelele
@@JumaJafet-bj3lm 0783577735
Copy ninayo ijua vizuri ni sumu ya pandu tu 😂😂😂😂😂😂