Uongozi wa yanga wanafanya maamuzi ki hisia na Hilo ndiyo tatizo lao.dube wamemsajili ki hisia sana. Kwanza kwa kulipiza kisasi kwa Azam fc jinsi Azam walivyomchukuwa fei toto.na wao wakataka walipize kisasi. Halafu kwa kuwa dube aliwafunga Simba mara kadhaa wakaona kwamba anawafaa sana. They are not professionally.they are too emotionally.
Simba raha sanaaaaa na mpanzu teeeeenaaaaaah jamaniiii,,,,,,,ubaya ubwela unanoga one ❤❤❤❤❤❤
Simba bingwa 👑🦁🙌
GB 64 Mwamba sana, nakukubali sana,,,
Wewe unanifurahisha Sana kaka GB 64 unyama mwingi
Nakukubali kaka gb64
GB 64 bigup,ila mwana mwambie mkwala atafute timu nyingine. Hapo kwetu hawezi.
Sahihi
Jamani mkwala wakimtoa upande wa pili wanafagia ,,mkwala apewe mda mbona mchezaji mzuri2 ,love simbaaaaaa tusiwe na papara mwaka wetu huu❤❤❤❤simba
Huwez kupata strike kama mukwala sio kila mchezaji ananza kuwaka mapema
😊😊p😊 5:42 5:57 so lplop@@cathbetsolomon3151
Simba nguvu moja
Nakubali sana Gb64 wape ubaya ubwela
Huyu ndio Gb 64 mwamba sanaa
Sijui mwaka huu Utopolo mtamroga nani sbb mpk wachambuzi ndio hawa kina GB
Gb64🔥🔥🔥
Gb64 ndio nini Sasa unaongea kuhusu baleke na dube waachie wajaze wenyewe
Uongozi wa yanga wanafanya maamuzi ki hisia na Hilo ndiyo tatizo lao.dube wamemsajili ki hisia sana. Kwanza kwa kulipiza kisasi kwa Azam fc jinsi Azam walivyomchukuwa fei toto.na wao wakataka walipize kisasi. Halafu kwa kuwa dube aliwafunga Simba mara kadhaa wakaona kwamba anawafaa sana. They are not professionally.they are too emotionally.
Nikifikiria kitakachowakuta Walamihogo, Nyuma mwiko tarehe 19 nachanganyikiwa, wale wazee tutawakamua 😂😂😂😂 malalamiko yaongezeke.
Gb waambie kilatimu aliyo iizamini gsm kwetu nikama yanga waambie naitwa papa jalikazi mbezi msakuzi
Gb waache hao usiwafundishe madunduka😊
Baada ya Ahmed Ali huyu ndo Atakuwa Afsa habari wa simba
Huyu Jamba Anakit🎉
Fact gb 64
Feitoto ni mtu muhimu Acha aje
Kaka una bay