Japo ni mara ya kwanzaKiswabili kutumika kwenye Bunge la Kenya, nawasifu sana kwa jinsi walivyoweza kuongea Kiswahili bila kuchanganya na maneno ys Kiingereza(KiswaEnglish)kama wenzao wa TZ wanavyofanya
Kenya ni aibu kwa sisi Kenya tumia kingereza kama lugha yetu ya husiano lazima bunge na serikali ya Kenya waanza jihudi kutumia kiswahili kama lugha ya bunge na husiano katika serikali na maarifa zote.Serikali ya Kenya kuongoza kwa hizi jihudi na wananchi watafuata
Jamani wakenya mbona mnaongea kiswahili vizuri ila naona mnafanyia mzaha na ajabu president uhuru anaongea vizuri kuliko nyie wote sababu anakua sirias
Vihoja bungeni walikua wakiongea lugha ya kigeni badala ya lugha ya mama taifa hapo kiswahili uka tupwa nje ya dirisha kwa hivyo sasa ina shida kurudi mlangoni wali dharau lugha bora ya asili kwa taifa ya kenya waka chagua lugha duni ya kigeni , kiswahili ni bora kuliko kingereza umemuona mama suluhu alivyo tumia lugha sahihi, hongera .
Wewe unamaanisha matako,matiti ama matata ongea kinaga ubaga tuna kila kitu tafuta utaipata we are a country of plenty as stated in our national anthem
Nimependa hili bunge na wanaweza kiswahili cha kuongea nyumbani ila maneno ya kitaalam ya kiswahili yanawapa tabu,hata TZ wanaongeza maneno ya baadhi ya vitu kila kukicha mfano live-mubashara.
Kenya oyeeee!!! kazaneni ndugu zetu wa kenya..wembe huohuo...Kenya oyeeee!!! oyeee!!! kutoka kwa ndugu zenu Tanzania..Tanzania oyeeee! magufuli oyeee, samia oyeeee
Usiache mpachao kwa msala upitao, kiingereza ni msala upitao maana kama itatokea wenye lugha yao wakisema hawataki lugha zao kama vile kingereza ,kifaransa,Kireno nk! Je tutawasiliana kwa lugha gani? Au tutaongea lugha zetu za makabila? Je mfano unaongea kikuyu na mwengine kikamba unaweza kuelewana? Au unaongea kisambaa na mwengine kichaga watasikilizana? Madhara yake ni kuingia kwenye ukabila, kutoheshimiana, kutothaminiana, na mbaya zaidi inaweza kusababisha kutoelewana na mpaka vita ya wenyewe kwa wenyewe, navhata kusababisha uchumi kudumaa, lakini kuthamini lugha rasmi ya kiswahili ikazungumzwa na watu wote faida yake ya kwanza ni upendo, kuheshimiana kwavile mnaongea lugha moja hamuwezi kusemana vibaya( kutetatana) matokeo yake ni kuchochea kasi ya maendeleo kijamii na hata kitaifa kwa ujumla
Ni wakati was kujitambua kwa lugha zetu tumeipotesa. Tulipotokea wapi? Mzungu akakukatasa hats kuongea na hapo ulipotesa ulijisaliwa nayo. Tujisatiti kilugha ili tuwe Uhuru na tujitumikie wenyewe. Hata lugha mama tushaizika. Tuifufue Uafrika. Kataa kata kizungu na mujiamini kwa lugha kwa maneno na vitendo.
KONGOLEEE KWENU BUNGE NA WABUNGE WA KENYA,Lazima tukatae utumwa wa lugha za wenzetu,na HILI ni jambo MUHIMU SANA NAFAHAMU IPO SIKU MTAKUWA WEPESI NA FASAHA KWA MANUFAA YA WAKENYA WETU
Wabunge wametia aibu mno kusoma kiswahili kukwama kwama eti mswaada huyu very funny.ilhali kiswahili kilikuwepo miaka nenda Rudi kikifundishwa vyema shule zote nchini Kenya na pia vile vile ni lugha ya taifa tangu jadi....huyo nae eti butu kwani huyu nae Ni mkongo man......from nursary school to form 4 kiswahili imekua ngumu kuongea mungu saidia..usiwache mbachao kwa msala upitao....hio ndio maana mwakorogeka kwa uzungu mwingi.
Hawa wabunge wanastahili pongezi. Japokuwa ni watu wa kiingereza lakini hawachanganyi kiswahili na kiingereza kama watanzania ambao hawajui kiingereza lakini huchanganya kiswahili na kiingereza kana kwamba hawajui kabisa kiswahili
@@linetnekesa8019mimi sio mtu wa kurukia train kwa mbele sawa. Tupo ktk mjadala unaokwenda kwa lugha ya kiswahili na sio english sijui unaelewa au unataka kujipendekeza humu?? Hivi unaweza kuelewa elimu yangu niliyoisoma? Acha uchoko au unajitongozesha humu? Jaribu kuwa heshima mbele za watu na hasa kwa yule ambae humjui itakusaidia. Mimi ni mswahili hata kama najua kireno lkn mimi ni mswahili na najivunia kwa hilo. Sio mtu wa kufagilia lugha za wengine coz mimi sio mtumwa na siwezi kudharau kwangu. MDHARAU KWAO NI MTUMWA kama ulivyo wewe mjinga mjinga.
@@noblechild5652 kwani Kenya kiengereza wanazungumza wote? Tunaangalia documentaries za kiengereza huku Ulaya za nchini Kenya, wengine wanatrasletiwa kwa kiengereza.
Chega ..kigereza....noa ni nini? Pumbavu sana Si kwamba tunapigwa chenga ni kwamba hatutaki hata kuiskia hiyo lugha ya mkoloni kwani tulishapata Uhuru.Kuongea lugha ya mkoloni ni ishara ya utumwa.
Hata Wakenya bado mnapigwa chenga na hicho Kiingereza, japo mnakipenda na kudhani kuwa mnakiongea to the native speakers' standard. Wakenya wanaojua Kiingereza ni watu kama Jeff Koinange, Victoria Rubadiri, Yvonne Okwara etc. Wengine hamjui kitu. Sasa inakuwa tabu pale ambapo haujui Kiingereza na Kiswahili pia haukijui. Labda hata lugha ya kijijini kwenu pia hauijui. Aibu!
@@dxhkitengela5454 Sasa kama mtu hajui lugha ya taifa lake halafu haoni aibu huo si ndio utàahira wenyewe? Mzungu anashangaa watu wanaacha lugha yao wanaongea lugha yake.
@@Ndu-wa.uroony2 kingereza sio lugha ya mzungu ni lugha inayotumika dunua mzima ili kutushikanisha swote na kuelewana, usikue mjinga wewe ukisoma ni somo moja pekee ambayo anafundisha kiswahili hizo somo zingine zote ni kingereza
@@dxhkitengela5454 Kwenda zako acha basi lugha ya taifa lako ongea kiingereza.Mbona mchina akiwa kwake haongei kingereza na yeye ndiye mwenye biashara duniani kote? .Sisi watanzania tulitawalia na muingereza kwahiyo kwetu kiingereza ni lugha ya kibeberu. Tunaiongea lakini kwa kwa kuipa nafasi ya mwisho
@@dxhkitengela5454 Kiingereza ni lugha ya Waingereza na kama Mkenya hauwezi kuongea Kiingereza katika kiwango cha Muingereza. Fuata lugha yako ya taifa, acha kutawaliwa kifikra!
Hongereni sana ndugu zetu wa kenya kwa kutumia lugha ya kiswahili karibuni sana kwenye kiswahili
Nawapenda sana hawa wa Bunge wa Kenya.
Nafurahia sana.
Swahili ni lugha yetu. Bwana kiti Tafadhali wabunge. Wachukuwe aya maneno ya lugha ya kiswahili Seriously.
Asante .
Mimi kama mkenya nina sema kuwa wa bunge wa Kenya wana chukua mzaa kwa hii lugha yetu ya kiswahili,kiswahili kitukuzwe.
Hii tamu sana
Nimefurahi sana kuona mume amua kutumia lugha yetu ya kiswahili. Nmefurahi sana. Twendele ivio. Asante.
Dah wakenya mnanifurahisha kiswahili hicho,hongereni sana.
Eh, tuko na shida. Lakini atleast we start from somewhere. Hongera.
apewe chanzo ya kujibu., badala ya mafasi ya kujibu.gonga like
KKKKKK>>>>>>>> Duale Greatest Majority Leader Ever In Kenya>>>>>>>
Japo ni mara ya kwanzaKiswabili kutumika kwenye Bunge la Kenya, nawasifu sana kwa jinsi walivyoweza kuongea Kiswahili bila kuchanganya na maneno ys Kiingereza(KiswaEnglish)kama wenzao wa TZ wanavyofanya
Safi Sana Kwa michango wako kuwatambuwa watu wenye ulemavu wa kutosikia ,karibu Sana bongo
OMG this was funny 😂😂😂😂😂
REPORT=TAARIFA eg. I am reading this report= Ninasoma taarifa hii.
Kenya ni aibu kwa sisi Kenya tumia kingereza kama lugha yetu ya husiano lazima bunge na serikali ya Kenya waanza jihudi kutumia kiswahili kama lugha ya bunge na husiano katika serikali na maarifa zote.Serikali ya Kenya kuongoza kwa hizi jihudi na wananchi watafuata
🤣🤣🤣🤣Hiki kiswahili kinazungumzwa hapa n mzaaa tupu😜. Wakenya Mnajua kuongea Sheng hadi lugha yenyewe inakuwa ya Mautani sana, Wooiye Mbavu zangu mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤩🔥🔥🤩😂😂😂Rais Suluhu Ni kiboko chao
😂 💯
Jamani wakenya mbona mnaongea kiswahili vizuri ila naona mnafanyia mzaha na ajabu president uhuru anaongea vizuri kuliko nyie wote sababu anakua sirias
Vihoja bungeni walikua wakiongea lugha ya kigeni badala ya lugha ya mama taifa hapo kiswahili uka tupwa nje ya dirisha kwa hivyo sasa ina shida kurudi mlangoni wali dharau lugha bora ya asili kwa taifa ya kenya waka chagua lugha duni ya kigeni , kiswahili ni bora kuliko kingereza umemuona mama suluhu alivyo tumia lugha sahihi, hongera .
wakenya nimewapenda sana endeleeni kukataa utamaduni wa kizungu kwa maslahi ya kukuza utamaduni wetu sisi ni wamoja
Kenya nchi yetu hakuna matata!!
Wewe unamaanisha matako,matiti ama matata ongea kinaga ubaga tuna kila kitu tafuta utaipata we are a country of plenty as stated in our national anthem
@@tiktak1448😢 matusi ya nini?
Nimependa hili bunge na wanaweza kiswahili cha kuongea nyumbani ila maneno ya kitaalam ya kiswahili yanawapa tabu,hata TZ wanaongeza maneno ya baadhi ya vitu kila kukicha mfano live-mubashara.
Every kenyan speak Swahili
Yes we do. It's a mandatory language to learn in school but the Tanzanian version is finest 💯 ours is 95 percent standard or thereabouts.
Wathiii muko hamko kasheshe ime vuka maboarders kaeeni radar vitisho si vitisho tena maweri kibao right left
wapi hii kigotha yamine
Nyasae konya
Kweli sana. Nakupongeza mweshmia Junet
Kenyan REALLY can not speak swahili but am glad to see the effort tho
Daah! Rais Samia Angesikiliza haya mahojiano ya kiswahili ndio angepata "vionjo" zaidi. Khaah!
😂😂😂😂😂 Angerekebisha hiki kiswahili Chao chote. Anauliza Chapter inaitwaje kwa kiswahili 🤣🤣🤣🤣
SAFI SANA WAKENYA.RAHA SANA KUJIVUNIA LUGHA YETU.WAZUNGU BY BY BY BY.
Kenya oyeeee!!! kazaneni ndugu zetu wa kenya..wembe huohuo...Kenya oyeeee!!! oyeee!!! kutoka kwa ndugu zenu Tanzania..Tanzania oyeeee! magufuli oyeee, samia oyeeee
kweli kiswahili kenya ni burudani toshack.usiache mpachao kwa msaada upitao..baba umejaribu
Mko vizur sana mtaweza tu wapendwa wetu
safi sana mtu ni hasili yake kwenye utaifa,jidada italeta mafanikio ya waafirika wote,Kenya ni mfano mzuri sana.
REFER=REJEA
Usiache mpachao kwa msala upitao, kiingereza ni msala upitao maana kama itatokea wenye lugha yao wakisema hawataki lugha zao kama vile kingereza ,kifaransa,Kireno nk! Je tutawasiliana kwa lugha gani? Au tutaongea lugha zetu za makabila? Je mfano unaongea kikuyu na mwengine kikamba unaweza kuelewana? Au unaongea kisambaa na mwengine kichaga watasikilizana? Madhara yake ni kuingia kwenye ukabila, kutoheshimiana, kutothaminiana, na mbaya zaidi inaweza kusababisha kutoelewana na mpaka vita ya wenyewe kwa wenyewe, navhata kusababisha uchumi kudumaa, lakini kuthamini lugha rasmi ya kiswahili ikazungumzwa na watu wote faida yake ya kwanza ni upendo, kuheshimiana kwavile mnaongea lugha moja hamuwezi kusemana vibaya( kutetatana) matokeo yake ni kuchochea kasi ya maendeleo kijamii na hata kitaifa kwa ujumla
Haki this Parliament daaa hishakua tabu tena 💪💪💪💪💪💪💪😂😂😂😂😂porepore tu mtapika
😂😂😂😂 Kenya yetu jaman 🙄🤔
Ni wakati was kujitambua kwa lugha zetu tumeipotesa. Tulipotokea wapi? Mzungu akakukatasa hats kuongea na hapo ulipotesa ulijisaliwa nayo. Tujisatiti kilugha ili tuwe Uhuru na tujitumikie wenyewe. Hata lugha mama tushaizika. Tuifufue Uafrika. Kataa kata kizungu na mujiamini kwa lugha kwa maneno na vitendo.
Mzungumzaji Muturi ukipenda Speaker Muturi😛😂
Wakenya wanasumbuka na kiswahili😂😂😂
😂😂😂😂...noma
🤣🤣🤣🤣 Wacha kushout
millie ni katuni asee enjoyed this session
KONGOLEEE KWENU BUNGE NA WABUNGE WA KENYA,Lazima tukatae utumwa wa lugha za wenzetu,na HILI ni jambo MUHIMU SANA NAFAHAMU IPO SIKU MTAKUWA WEPESI NA FASAHA KWA MANUFAA YA WAKENYA WETU
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu H. katugoa wabunge Wakenya 😂😂😅 🔔!!! Yenyewe ni burudani tosha 😂🇰🇪 🇹🇿 ni wamoja.
Wabunge wametia aibu mno kusoma kiswahili kukwama kwama eti mswaada huyu very funny.ilhali kiswahili kilikuwepo miaka nenda Rudi kikifundishwa vyema shule zote nchini Kenya na pia vile vile ni lugha ya taifa tangu jadi....huyo nae eti butu kwani huyu nae Ni mkongo man......from nursary school to form 4 kiswahili imekua ngumu kuongea mungu saidia..usiwache mbachao kwa msala upitao....hio ndio maana mwakorogeka kwa uzungu mwingi.
Hawa wabunge wanastahili pongezi. Japokuwa ni watu wa kiingereza lakini hawachanganyi kiswahili na kiingereza kama watanzania ambao hawajui kiingereza lakini huchanganya kiswahili na kiingereza kana kwamba hawajui kabisa kiswahili
Nani kakwambia wabunge wa Tanzania hawajua=i kongereza na nani aliyesema wabunge wote wa kenya hawajui kiswahili?
Kiswahili Kitukuzwe.!
Likini mko vizuri Sana ikiwa hiyo nimara ya Kwanza baada mwezi mmoja itakuwa mmeweza kila kitu
best speech ever hahahahaaaaaa
KISWAHILIII
CHAPTER= SURA
🤣🤣🤣🤣🤣Ameambiwa chapter n Ukrasa 🤭
Kongolee Sana mumejitahidi sana
Mandugu zetu Watanzania 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Kiongozi ya wengi..walalo anaongea kama jaluo.
Way àa
bunge la Kenya limenoga lol.shikamoo kiswahili
Wapi Joshua kutunyi aiitetee kamjesh tume kabwa jameni
Kucheka bila kustop , millie whats that😂
Wanatuabisha Kwanza nduale eeeeh wa Tz wAtatucheka kweli hii n aibu ongeeni kingeraza
🤣
@@linetnekesa8019 kiingereza ni lugha ya taifa lingine ni sawa na utumwa.
@@milomohamed7201 keep on dreaming njoo nkufunze kingereza nawe unifunze Kiswahili sanifu wacha kuwa mshamba
@@linetnekesa8019mimi sio mtu wa kurukia train kwa mbele sawa.
Tupo ktk mjadala unaokwenda kwa lugha ya kiswahili na sio english sijui unaelewa au unataka kujipendekeza humu??
Hivi unaweza kuelewa elimu yangu niliyoisoma? Acha uchoko au unajitongozesha humu?
Jaribu kuwa heshima mbele za watu na hasa kwa yule ambae humjui itakusaidia.
Mimi ni mswahili hata kama najua kireno lkn mimi ni mswahili na najivunia kwa hilo.
Sio mtu wa kufagilia lugha za wengine coz mimi sio mtumwa na siwezi kudharau kwangu.
MDHARAU KWAO NI MTUMWA kama ulivyo wewe mjinga mjinga.
Sheng for life kama huwezani na mistari usidunda dunde 254+ kiholelalela nduki zita kukumba isee utakalishwa raba
🤣🤣🤣🤣🤣 Sheng ndo hubaba kiswahili chetuu isee👏👏🤝
Sijaona mp yeyote wa central region akizungumza kiswahili watu wakushema la later su,Shu,agaria,wamekweda,wamekwisha, manarudi,maaguka,phiri phiri🤣🤣🤣😅
Kiswahili sio mdomo chetu 🤣🤣
kiSwahili ni lugha ya Taifa la Kenya wewe. Kiingereza si lugha yenu (si mdomo chenu)
🤣🤣
🤣🤣🤣Alaaa
Eeh yawa, kumbe swahili ni sida kwa kila mtu kenya hii.Magoa weka swahili '' compulsary in schools ''
Compasary it is. Sema kwa bunge
😂😂Already kiswahili is a compulsory subject in all schools.
Kiswahili ni ngumu aki I can't
Lugha yako ya Taifa inakuwaje ngumu??
How🤔🤔 na ndio lugha ya taifa?
Weeh kiswahili ngumu sana 😂
Mjadala huo ni wa 2019 Magufuli akiwa Rais. CLICKBAIT!!
sio bwana ni sema mheshimiwa spika
Huu Ni uzelendo mzuri, mmeitendea vema lugha yetu ya Afrika.
Wapunge wetu mnatuabisha ongeatu kingereza c kuongea kama watoto wa pp1
🤣🤣🤣🤣
kongole tosha kwa bunge la kenya. wakenya wengi ni wasema kiswahili sasa mtaeleweka.
Mbona hata Tanzania wanachanganya kingereza fanyene kam tz
Sio wote ila baadhi yao ni wasanii Kv Diamond na wengineo
@@noblechild5652 kwani Kenya kiengereza wanazungumza wote? Tunaangalia documentaries za kiengereza huku Ulaya za nchini Kenya, wengine wanatrasletiwa kwa kiengereza.
@@noblechild5652 Ktk wanaozungumza kiengereza Tnz huyo Diamond hayumo kabisa. Just anajaribu tu broken eng. Tnz inawatu waliosoma na wengine wanazungumza kiengereza kizuri kupita hata nyie wakenya mlokirithi.
@@alhamdulillah5796 Eeh Wakenya huongea kiingerezza na kiswahili pia. Lakn Sheng ndo imetawala kenya
@@alhamdulillah5796 🤣🤣🤣 Kenyans knows English more than kiswahili,, na kiswahili ndo lugha ya taifa lakn wengi wetu hatuongei kiswahili sana
Watanzania nao hupigwa chega na kigereza vile vile wakenya noa kiswahili ni ndoto
Chega ..kigereza....noa ni nini? Pumbavu sana
Si kwamba tunapigwa chenga ni kwamba hatutaki hata kuiskia hiyo lugha ya mkoloni kwani tulishapata Uhuru.Kuongea lugha ya mkoloni ni ishara ya utumwa.
Tofauti ni kwamba, kiswahili ni lugha yetu, kizungu ni lugha za mabeberu
@@Ndu-wa.uroony2 wewe wacha hamjui kingera nyinyi watanzani musi singizie wakoloni hapo. kama hamjui kingerrza hamjui
Hata Wakenya bado mnapigwa chenga na hicho Kiingereza, japo mnakipenda na kudhani kuwa mnakiongea to the native speakers' standard. Wakenya wanaojua Kiingereza ni watu kama Jeff Koinange, Victoria Rubadiri, Yvonne Okwara etc. Wengine hamjui kitu. Sasa inakuwa tabu pale ambapo haujui Kiingereza na Kiswahili pia haukijui. Labda hata lugha ya kijijini kwenu pia hauijui. Aibu!
@@davidngwesa 😂😂 buree kabisa eti kingereza inatupiga chenga tembea kenya naniii wacha kurusha mdomo kama kasuku na hujui unachosema
Ongeeni kizungu musituumize mishipa ya vichwaaa😂😂😂😂😂😂
Hello which countryside do you base LBP has a special offer stay at home and earn up to $5500
Here's there WhatsApp number.
+13233206338.
Hate hicho kizungu hatukielewi
Kiingereza muachie Queen Elizabeth au hamia huko
jmni Kenya munifundishe kiingereza halafu nyie mje kwetu niwafundishe kiswahili sanifu hahaaaa
Hii n aibu hiki kiende nyumbani next yr kinatuangusha aibu tupu
🤣🤣🤣 Si eti hawajui kiswahili bali shida yao ni kuongea Sheng ( English + Kiswahili) hadi lugha yenyewe inakuwa ya mautani joh 😂
Mama twaita Kiswahili mwitu🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂Mwetu sio mwitu,, nmecheka kuisha aki😅😅😅
No point
Hawa wabunge wana letea wakenya aibu...
aibu gani wewe unasema?? kama hatujui kiswahili hatujui hakuna aibu hapo
@@dxhkitengela5454 Sasa kama mtu hajui lugha ya taifa lake halafu haoni aibu huo si ndio utàahira wenyewe? Mzungu anashangaa watu wanaacha lugha yao wanaongea lugha yake.
@@Ndu-wa.uroony2 kingereza sio lugha ya mzungu ni lugha inayotumika dunua mzima ili kutushikanisha swote na kuelewana, usikue mjinga wewe ukisoma ni somo moja pekee ambayo anafundisha kiswahili hizo somo zingine zote ni kingereza
@@dxhkitengela5454 Kwenda zako acha basi lugha ya taifa lako ongea kiingereza.Mbona mchina akiwa kwake haongei kingereza na yeye ndiye mwenye biashara duniani kote? .Sisi watanzania tulitawalia na muingereza kwahiyo kwetu kiingereza ni lugha ya kibeberu. Tunaiongea lakini kwa kwa kuipa nafasi ya mwisho
@@dxhkitengela5454 Kiingereza ni lugha ya Waingereza na kama Mkenya hauwezi kuongea Kiingereza katika kiwango cha Muingereza. Fuata lugha yako ya taifa, acha kutawaliwa kifikra!
Kwani hawaaa wanaongea lugha gani kwa manyumba I don't get it for sure
Lugha ya mama
Kwa manyumba = nyumbani
Kwa nyumba tunaongea kiswahili na Kiingereza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣