RAIS MWINYI AWAVAA WANAOMKWAMISHA "SASA HIVI MTANIITA HUSSEIN MA STADIUM NA BADO NDO TUNAANZA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2023

КОМЕНТАРІ • 31

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 місяців тому +1

    Mungu akubariki sanaaaa Rais Hussein Mwinyi kwa tabia yako ya upole na kuchapa kazi kama Baba yako hakuna binadamu aliyemkamilifu unachapa kazi sana Zanzibar njema iko vizuri chapa kazi wenye kusema waseme tu midomo imeumbwa kusema Act Wazalendo hamna kitu hao mabomu wasiopenda maendeleo

  • @dullahsuperstar6081
    @dullahsuperstar6081 6 місяців тому +4

    Apo ameneno kwa kweli aise noma sana😅😅

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 6 місяців тому +3

    Mimi sio ccm wala sina chama ila ninapoona kiongozi anafanya maendeleo makubwa bc hua nakua nae bega kwa bega

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 6 місяців тому +1

    Safii Safiii Mwinyiii...Waoneshe hao kua kulalamilalamika sio kujenga nchi Wavisiwani Tuache kulalamika Sana.

  • @teixierachudi6080
    @teixierachudi6080 6 місяців тому +3

    Huyu ndie mrithia wa mzee Karume

  • @user-dz7gj1gh1v
    @user-dz7gj1gh1v 6 місяців тому +1

    inchi ina wazanzibar sio wababaisha hata kidogo nawapenda sana malais wete waili wa tanzania bala na visiwani ❤❤❤❤❤

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 6 місяців тому +1

    Ww ni raisi mkweli thank you Masha Allah

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 6 місяців тому +2

    ACT endeleeni kuzungumzia sera zenu za kila siku za kudai Zanzibar Kamili lakini mambo ya ujenzi wa hii nchi mwachieni huyu bwana mtahashimika sana.

    • @user-hd5bg8qw1b
      @user-hd5bg8qw1b 6 місяців тому

      KWANI SASA HIVI ZNZ NI NUSU?ACHENI ROHO M'BAYA NA UBAGUZI MNA UMM SANA ACT ULIKUWA ZAMANI SIO SASA TUJENGE NCHI NAC MALUMBANO

  • @zacharianjanga
    @zacharianjanga 6 місяців тому

    mungu akujalie rais mwinyi

  • @zainarashid1024
    @zainarashid1024 6 місяців тому

    Mabwana zenu walikuwa serikalini wengine wakakoroga wakatiwa jela na wengine wamewacha uongozi wenyewe

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 6 місяців тому +1

    Hahahaha upo sawa baba

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 6 місяців тому

    Good president of Zanzibar 👍👍👍

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 6 місяців тому

    Safi sana mtani wangu rais

  • @leebronkasianh5296
    @leebronkasianh5296 6 місяців тому

    Safi sana raisi Mwinyi

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 6 місяців тому

    hiiiii imeendaah hiiiiiih

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 6 місяців тому

    President 2030

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 6 місяців тому

    Mbona unaongea unatetemeka

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 6 місяців тому

    Hahahahaah, Asante kwa kutuletea njaa na umasikini visiwani,

  • @Soon815
    @Soon815 6 місяців тому +1

    Kuongoza mkoa unasema unakwamishwa?? Ukipewa Muungano??

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 6 місяців тому

      Pumzika

    • @mahamoudduchi3318
      @mahamoudduchi3318 6 місяців тому

      mkoa gani anouongoza Rais mwinyi hebu nifahamishe vizuri mwanetu

    • @Soon815
      @Soon815 6 місяців тому +1

      @@mahamoudduchi3318 Nikuulize wewe kwanza Tanzania ni nchi si ndio?🔄 zanzibar ni nini kama sio mkoa??? Kwasababu Tanzania=Tanganyika+zanzibar,Hivyo Tanzania ikiwepo zanzibar haipo.

    • @mahamoudduchi3318
      @mahamoudduchi3318 6 місяців тому

      @@Soon815 kwn tanganyika ilivyoungana iliungana na mkoa ama iliungana na nchi?? Au vipi

    • @Soon815
      @Soon815 6 місяців тому

      @@mahamoudduchi3318 Upo vizuri kwenye maswali👏👏👏 Mimi hoja yangu ni kwamba kama Tanzania ni nchi zanzibar ni nini ?? Kiufupi Tanganyika na zanzibar hazipo tena zilikufa!
      Kilichopo upande wa visiwani ni.....
      1.Kaskazini unguja
      2.Kaskazini pemba
      3.Kusini unguja
      4.Kusini pemba
      5.Mjini magharibi
      Neno zanzibar halipo

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 6 місяців тому

    Huna mpya ww unatuibia pesa zetu tu unahamishia kwenu bara

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 6 місяців тому

    Umekusanya wapumbavu wanakuzomea