Maimamu wengi hulisahau hili - Sheikh Stambuli

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @guyogalora-gl2lu
    @guyogalora-gl2lu 4 місяці тому

    Assalamualaikum warahmatulahi wabarakatu

  • @mwanaherimatata8571
    @mwanaherimatata8571 5 місяців тому +5

    Kalamu tv ,nawaapta vizuri sana❤❤ pia leo METULETEA SHEKH NA MCHAMUNGU KWANZA ANAADABU SANA,MNYENYEKEVU ..MASHEKH VIJANA WA SASA BAADHI YAO HAWATAKI KUJISHUSHA .TUNAWAPEND MASHEIKH WETU NA NAWAHESHIMU SANA ILA TUJIFUNZE KWA HUYU SHEKH

    • @husseinibrahim5438
      @husseinibrahim5438 5 місяців тому +2

      MAY ALLAH REWARD YOU ABUNDANTLY SHEIKH STAMBULI ALLAHUMMA AMEEN

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 5 місяців тому

    Mashallah

  • @KisimaniTimbersupplier
    @KisimaniTimbersupplier 5 місяців тому +1

    Marshallah mungu akulinde na akuzidishie hikma. Unda kamati maalum kufanya restructure ya maendeleo ya ummah. Mzee mungu akupe umri mrefu

  • @coachmohamedmmiji6619
    @coachmohamedmmiji6619 5 місяців тому +3

    Waaleikum salaam warahmatullahi wabarakatu. Shukran brother. Jazaakallah kheir

  • @eddymaphy
    @eddymaphy 5 місяців тому +2

    Hapa lazima masheikh wajifunze kupitia hili darsa ni la umuhimu sana kwenye dini yetu na pia viongozi walioko mbele yetu na watakaokuja baadae yetu Insha'Allah,,
    Ni mafunzo mazuri sana ,pia nashukuru Alhamdulillah kuna mambo nimejifunza na mimi pia Mungu anizidishie umbri,uelewa mzuri,moyo wa kutoa ili na mimi ni wape wasiojuwa na kizazi changu Insha'Allah

  • @YusuphRashidi-b1j
    @YusuphRashidi-b1j 4 місяці тому

    Sheikh yatima na maskini wasipopata ubinadamu kwa kusaidiwa watakua watu kindoki

  • @Asma-s4l3m
    @Asma-s4l3m 5 місяців тому

    Sadaktha STAR

  • @muadhibrahim6914
    @muadhibrahim6914 5 місяців тому +1

    له من الله ما يستحق....

  • @YusufDaudi-v5f
    @YusufDaudi-v5f 5 місяців тому

    Mashallah

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 5 місяців тому +1

    Wa'alaykumsalaam warahmatulahi wabarakatuh

  • @akimzeli5030
    @akimzeli5030 5 місяців тому +1

    Naam

  • @aziza9093
    @aziza9093 5 місяців тому +1

    ❤❤❤

  • @mwanaherimatata8571
    @mwanaherimatata8571 5 місяців тому +1

    Waleykum msalaam

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 5 місяців тому +1

    Sheikh umeongea maneno mazito mno, maimamu wengi hawajitambui wao kazi Yao ni kuomba sadaka tu na kusoma Aya ya za vitisho za motoni, kuwatisha waislamu Ili watoe, kila siku mawazo Yao ni sadaka za ujenzi wa msikiti, misikiti haishi kujengwa, hawana wanachojua kuhusu uongozi, wao wanawakamua maziwa ngombe wasiowapa malisho.

    • @muadhibrahim6914
      @muadhibrahim6914 5 місяців тому

      Huyo ni hodari wa kusema na Ali uza dini yake kwa dunia....
      Ukimfuata jiandalie kulipa khums kwa aali beytu kisra

  • @ArafaSuleiman-db9pw
    @ArafaSuleiman-db9pw 5 місяців тому

    Barakah ALLAHU fiiqum hbbi

  • @a.856
    @a.856 5 місяців тому

    Jazakallah khayran

  • @Jingajinga64
    @Jingajinga64 5 місяців тому +1

    Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu

    • @muadhibrahim6914
      @muadhibrahim6914 5 місяців тому

      Huyo ni wa kujibiwa
      Wa aleikum..... pekee

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 5 місяців тому

      ​@@muadhibrahim6914 kwa nini boss wangu? Nimekosea mahali?