Niko saudi 5yrs in wth my first bosses,natuko mob nasijawah skia hadthi kama hizi frm their bosses,hizi story joh, dada,may be ulipatana na devil worshippers ,kama tu vile mtu hupatana tajiri devil worshippers in kenya,or in other different countries.thank to God,for saving you, and you made it,
aii, hii stori sioni ikiwa straight, iko crooked, ama anataka watu waogope kwenda gulf kutafuta. sijaweka judgement. iko wapi hizo jobs zenye mnasema ziko? then life ya mtu lazima ikue na stori na hii stori only comes after risking. let me just ask,, who connected this lady to go there? after returning home, did she took any action? anasema alipata jamaa mkenya Kwa hio offici Lebanon, so far amechukua hatua gani atleast aone akomeshe wengine kupeleka? lastly, hio kuruka second floor na hujakula 4days, wah, si hio ni noma, ama kwenye uliland Kulikua na mattress? I doubt, but sijaamua
pole kwa Carol.Mimi nimekaa saudi arabia 3 n a half years n surely siwesi complain about saudi.Now I'm in qatar n this far is God.Ni bahati mbaya kwako Carol n pole
Si muniite na mimi nipeane a good side of arab..... juu mimi familia yenye nlikua nayo, Mungu azindi kuwabariki, i had a mum away from mum and in a home away from home, sio waarabu wote wabaya
The story is true for those who have been 2 gulf can testify. In all these gulf countries kuna WAARABU TOFAUTI TOFAUTI . Kuna waarabu manyang'au kabisa na kuna WAARABU hata huwezi amini ni waarabu .wengine ni wazuri sana especially SHIA MUSLIMS they are very good. Lakini ukipatana na SUNI MUSLIMS auuuuuu!!! alafu akue na ile ujinga ya JIHAD 😁😁😁ndio utajua kweli kuna watu na viatu. Ndio maana unaona watu wako gulf pia wako DIVIDED kimaoni kwa sababu wako na experience tofauti . Hakuna nchi yoyote ya WAARABU AMBAYO haina vituko but the worst ni SAUDIA . Sababu ya saudi kuwa worst ni juu ni nchi kubwa sana na kuna part zingine hata nikama serikali yenyewe hua haifiki. Lakini pia wakenya wanafanya sarakasi sana kwanza ii hii saudia wakenya wana vituko mingi sana. Eti wajifanya nikutafuta pesa . Kwanza watu wa JEDDAH,MADINA,DAMMAM na wale walevi wa YAMAMA
Watu wangapi wamekufia kwa mikono ya Arabs na mtu anasema hajasikia kitu Kama hiyo ...Kama umepata place unakua treated nicely don't forget to pray for others who are through hell...and be thankful not condemning someone's testimony
I love your comment. Just because someone is not experiencing abuse or assault, doesn't mean these things aren't happening. Ladies, let's be our sisters' or brothers' keepers! Tomorrow it could you, or your family members, or friend. Usipuuze experience mtu amepitia.
Thank you God bcoz she came back alive, Arabs no joke some of them don't have heart a've been in Saudi Arabia i know but I was lucky myn was God fearing people they loved me like their sister may God bless them
Heeee reekei ndimwire ,mahonjiano boring cha ukweli 🙊,aiish ata host anafanya ikose taste,njukire guuku atîa?🙉reeke njokie mucene mucii🏃🏼🏃🏼🏃🏼🏃🏼#KamemeTV the best even the hosts are mwaaaaah.. 😍
Ni uongo somehow..ukunywe maji ya Choo uki flash aje si ukunywe before uflash pale Kwa tank ya kuflash..na tap? Kaa Choo ina flash? Lebanon, Saudi huwa wanatesa but usi excagerate...how come kwingine unadai ni saudi kwingine ni Lebanon ..how didn't you know ulikuwa ukieda gulf... na Jkia exit ulitumia gani
Lies i can note from this. 1. Arabs hawafanyangi house driving jobs 2. Mwarabu akakuona umepotea anakupeleka police instantly 3. Hajui alikokuwa mara ni dubai mara lebanon 4. The dead body was not in the same house ati ilikuwa on the same building huko chini. Nobody else saw it? Hii ni imagination inaweza fool wajinga tu. There are real people wamepitia makubwa lakini hii ya huyu i doubt
Kwani hizi interviews mtu hulipwa how much wadau, juzi amesema ni Lebanon Sasa apa napo ni Dubai , aaiii???? Wewe madam tafuta kazi ingine acha kudanganya watu.
mateso nilipata saudia was spiritually . nililazimishwa kunywa dawa ambayo walikataa kunipea nisome nijue ni ni walikua wananipea for three days .God brought me back ,siezi ongea sana coz sometimes the story makes me crazy
My point of view..av been there they can't go for breakfast out coz of the kids going to school.then most of them have cooks ..when in problem you just run to the police station..fishy.fishy.
Uongo miingi 4 what now....si aongee ukweli waarabu sio wabaya that way... Maji ya Choo as in.how? Nko Saudi na challenges pia ..but siezi danganya vitu zingine
Ihave been in gulf and ican satisfy most arabs are not good,especially are very mean with the food of stomach,but she is exgerating,anaweka chumvi sana,zingine ni uongo.
Niko saudi 5yrs in wth my first bosses,natuko mob nasijawah skia hadthi kama hizi frm their bosses,hizi story joh, dada,may be ulipatana na devil worshippers ,kama tu vile mtu hupatana tajiri devil worshippers in kenya,or in other different countries.thank to God,for saving you, and you made it,
aii, hii stori sioni ikiwa straight, iko crooked, ama anataka watu waogope kwenda gulf kutafuta. sijaweka judgement. iko wapi hizo jobs zenye mnasema ziko? then life ya mtu lazima ikue na stori na hii stori only comes after risking. let me just ask,, who connected this lady to go there? after returning home, did she took any action? anasema alipata jamaa mkenya Kwa hio offici Lebanon, so far amechukua hatua gani atleast aone akomeshe wengine kupeleka? lastly, hio kuruka second floor na hujakula 4days, wah, si hio ni noma, ama kwenye uliland Kulikua na mattress? I doubt, but sijaamua
Yeah it's true story ...waarabu huchukia Africans sana....Sana Sana if you are not Muslim...
Dana Bakry your talking very true, thanks god bless you
But not all
pole kwa Carol.Mimi nimekaa saudi arabia 3 n a half years n surely siwesi complain about saudi.Now I'm in qatar n this far is God.Ni bahati mbaya kwako Carol n pole
Lucy Kariuki ...sasa Lucy uko Doha side ipi? Nko Al thumama
Thank to God ikiwa unapata watu wazuri
Helen God bless you 🙏🙏🙏 Mii nakupenda deep in my heart ❤️❤️❤️🤩
Never fallen for this story it sounded so exaggerated yaani 😂😂🤔 first time i heard it
Si muniite na mimi nipeane a good side of arab..... juu mimi familia yenye nlikua nayo, Mungu azindi kuwabariki, i had a mum away from mum and in a home away from home, sio waarabu wote wabaya
Na serikali imefungua watu waje saudia...God hav mercy
Pole sana,,##carol God knows the pain yu were going thro'again sorry
Wah interview ya leo na Martha imenituma huku....wah Carol ati holy anger...pole sana
Where is a picture of this Joseph...Would really love to know
I subscribed koz I have learnt Kikuyu from this channel ...
Aiiihhh. Too perfect of a story with lots of gaps.
If you've never been there just shu*t up
Pole sana carol for that stution
Ngai ari ari tha ritwa riake rirogoocwo
I like the way she talk,so polite
The story is true for those who have been 2 gulf can testify.
In all these gulf countries kuna WAARABU TOFAUTI TOFAUTI .
Kuna waarabu manyang'au kabisa na kuna WAARABU hata huwezi amini ni waarabu .wengine ni wazuri sana especially SHIA MUSLIMS they are very good.
Lakini ukipatana na SUNI MUSLIMS auuuuuu!!! alafu akue na ile ujinga ya JIHAD 😁😁😁ndio utajua kweli kuna watu na viatu.
Ndio maana unaona watu wako gulf pia wako DIVIDED kimaoni kwa sababu wako na experience tofauti .
Hakuna nchi yoyote ya WAARABU AMBAYO haina vituko but the worst ni SAUDIA .
Sababu ya saudi kuwa worst ni juu ni nchi kubwa sana na kuna part zingine hata nikama serikali yenyewe hua haifiki.
Lakini pia wakenya wanafanya sarakasi sana kwanza ii hii saudia wakenya wana vituko mingi sana.
Eti wajifanya nikutafuta pesa .
Kwanza watu wa JEDDAH,MADINA,DAMMAM na wale walevi wa YAMAMA
guka mune
ne
wa
Am been Gulf for 6years n I can't regret
suni and shia,,,,where and unaezaje wadifferentiate
Sure ngai ni munene ninie njui uria donire
Mungu hua ana acha upitie Ayo ili uten,geneze testimony ya keshoo kinda lake Lee tukuzwe
Carol I salute you🙆
Pole sana koz hii maisha ni ngumu sana.
I love Carol Mwaura
This my home area. Thank you Lord. What happened to AIC? Bishop Manyara, why this? Something isn't right!
stori ya ukweli. many girls wamepitia hayo and even more.
this inspiring story ...God bless us all
Ya and not Allah he devil don't worship
woiii ndikuga undu hau just crying
Woooow beautiful Lady. Miss u só Mach my dear Friend pole sana kwa yle ulipata
L lol llllll LP 0p1
Watu wangapi wamekufia kwa mikono ya Arabs na mtu anasema hajasikia kitu Kama hiyo ...Kama umepata place unakua treated nicely don't forget to pray for others who are through hell...and be thankful not condemning someone's testimony
True dear
Very true
I love your comment. Just because someone is not experiencing abuse or assault, doesn't mean these things aren't happening. Ladies, let's be our sisters' or brothers' keepers! Tomorrow it could you, or your family members, or friend. Usipuuze experience mtu amepitia.
Maheni , maingi ta nyeki githaka ,
Anne amor she is a lier
saudi arabia kwa wauwaji mshidwe kbxa cku yaja mtalipa damu ya watu shidwe nyinyi
Sitoki Kenya come what may!!! 😕☹️😬
Thank you God bcoz she came back alive, Arabs no joke some of them don't have heart a've been in Saudi Arabia i know but I was lucky myn was God fearing people they loved me like their sister may God bless them
Though sielewi njeri
Kypkrkukykrk, e, s3 qwkkyekrkrkkkze xs,ezzse p and sezeez blessed p
mungu wangu niko oman muarabu ama kuna mungu binguni majabu hii mashida diyo inatuvanya twende uko
But u can also go to christian countries.
Msiba wa kujitakia ___. Why do you go to countries inhabited by non believers ?????
I feel bad for everything she and others went thru' in Saudi... but I'm also glad she can laugh
So pretty gal aki govt should be ashamed making life difficult that's y we leaving this country
Wauw 🙄😥 Ngai aheo ugoci🙏👍🙌
Bona haupeani hii story ikiwa ya ukueri mara dubai mara Lebanon bona unandanganya
I've been to Saudi but as a man didnt go through such but what carol experienced is real and God saved her soul.
niko Saudia since 2012 but this family is nice and they now God
but Embassy inasaindia sana
@@stellastella3771 pass y u7
@@stellastella3771
@STELLA stella hhhhkhhhjh11hh1h222kkjh11um22g2gk2j2gmm22lkhg2l2hh22j2jjgjgh1g1kgmmmkj2mh11ggh1g11111mk111m1111k11k1jhkk1¹g¹1111k¹¹11k1111111g11¹111hg1gm2k
11j19l9m99m2999km828h28
Gh
My sis has been there aki alikua huko. She was not eating and drinking water. But God help her
Pole sana Caro, acio Tia andu,
Carol I remember you telling me this story
You're such a strong and lovely person
God bless 🙏🏽
I know it's kind of off topic but does anybody know a good website to watch new tv shows online ?
@Stetson Davian flixportal
@Demetrius Jaylen Thanks, I signed up and it seems like they got a lot of movies there :D I appreciate it!!
@Stetson Davian you are welcome xD
Too bad for her but God is good the ending story is beautiful ❤️
Why do people go to this places after hearing this😭😭.pliz learn from her
well said.
Maggie marcus my frnd don't say that shida ndio ufanya mtu aende huko
@Joanne Muthoni even Oman is not that bad from my own experience
where was there??
So sad storry my dear ... all in all we thank God
Heeee reekei ndimwire ,mahonjiano boring cha ukweli 🙊,aiish ata host anafanya ikose taste,njukire guuku atîa?🙉reeke njokie mucene mucii🏃🏼🏃🏼🏃🏼🏃🏼#KamemeTV the best even the hosts are mwaaaaah.. 😍
Mum boring
What a lie ...Lol
MumSally 22. V
Sorry aki tunapitia mengi,mungu do anatuokoanga
Kirindi kiaremire musa,ati ni uongo
Ulisema dubai kwa mt.kenya tv sasa ni lebanon cheei ulikuwa 2 places at one tym
Ni uongo somehow..ukunywe maji ya Choo uki flash aje si ukunywe before uflash pale Kwa tank ya kuflash..na tap? Kaa Choo ina flash? Lebanon, Saudi huwa wanatesa but usi excagerate...how come kwingine unadai ni saudi kwingine ni Lebanon ..how didn't you know ulikuwa ukieda gulf... na Jkia exit ulitumia gani
Tiga maheni Caro
Heheheee😂😂 story Ina huru.ma.. but vyenye anaongea nashindwa kujizuia kucheka
Living Testimony
aki woiyee..
Maheeeeeeeni....
dust bin iraruta ku irio na mararia muciii.
Mwarabu daily basis lazima uchafu utoe takataka.
conoka muno tiga maheni
isabella evans ui wamurumira ki na araria uria onete
Hapo Kwa kukataa Mambo nyingi isn't adding up
True uongo nayo
Ati mwiri ndware nyumba ware apartment kui thi... kae mundu ahuraga indo apartment ngima.
Usitamani kwenda gulf
Mnaboo kabisa
Actress with a vivid imagination.
Lies i can note from this.
1. Arabs hawafanyangi house driving jobs
2. Mwarabu akakuona umepotea anakupeleka police instantly
3. Hajui alikokuwa mara ni dubai mara lebanon
4. The dead body was not in the same house ati ilikuwa on the same building huko chini. Nobody else saw it?
Hii ni imagination inaweza fool wajinga tu. There are real people wamepitia makubwa lakini hii ya huyu i doubt
Kwani hizi interviews mtu hulipwa how much wadau, juzi amesema ni Lebanon Sasa apa napo ni Dubai , aaiii???? Wewe madam tafuta kazi ingine acha kudanganya watu.
Nimeishi nawarabu for 6years....so hawezi niambia kitu...hizo ni mehemehe😡
Ni maheni
Uongo mtupu Wee carol.. Mbona Kutafuta fame with this???
So interesting testimony GOD is really
Encouraging stories
Good talk
Maheni maheni
😆😆😅
she resemble Muthoni wa mukirii
walai tena
Uwongo ndiyo inakaa mingi
Shut your facking mouth am here and that the truth aiiiii devils agent
@@marianjenga3946 si ukanyangie hiyo stori basi
Mimi siwezi sema she's lying.Hii story is fully adding up
Maheni mahana ma 😡😡 pthoo mchew
Huyu dem nimuongo sana simpendi......kama alishindwa najob awache kuhalibia warabu jina
Pole Sana
Ni maheni mau... Hii story apana
People not once Ivan heard this story about her so acheni kusema ni uwongo
Haha ati mwarabu ako na driver mwarabu😆😆😆😆aiiiii anadanganya tu..niko uku 6yrs na sijawai onaaaaaa
kama uko kitchen kila siku utajuaje?
@@MyJOSE2013 hahaha ushawai kam ukaniget kitchen....kama ujui anything plzz i ddnt ask u tk reply my commet..nkt!!!
May be aliona Pakistani au indians coz somehow wanafanana
@@maggiemumbi4067 pia hiyo sijawahi skia mm
Khai hayo yote nimeyapitia saudi...pole dadangu...
pole
This is very true 😭😭😭Carol ua goin far ,,,,
Gv
Bkbl
I trust u gal hve dealt wit diz pple en capable of anytin
😲😲😲Woiye
I dont know her story that much but someone is not telling her story as it should adding salt....she is an actor she acting on live tv lol...
so true
Pole
reason to doubt
Pole siz
Aki this is sad, woiye sijasikia abt holy anger
Subs from Mumbi rich nation!!!!
mateso nilipata saudia was spiritually . nililazimishwa kunywa dawa ambayo walikataa kunipea nisome nijue ni ni walikua wananipea for three days .God brought me back ,siezi ongea sana coz sometimes the story makes me crazy
i agree those r demonic things
Gladys Mukavane pole sana God is great hope ulimaliza contract sasa uko nyumbani?
Niko nyumbani
@@gladysmukavane6949 glory to God ikiwa ulieda ukiwa salama aki
Pole sana God atakuhelp
Si angefungua iyo mtungi ya choo, lazima angeflash akunywe maji chafu?
😂
Very inspiring story there
My point of view..av been there they can't go for breakfast out coz of the kids going to school.then most of them have cooks ..when in problem you just run to the police station..fishy.fishy.
Wenye mnasema she is lying kuweni wa pole but the hosts are boring. Helen n Dj Covenant pull up ur game. Wah
yap not true
tell them Faith!
blackmask
Hio ni ukweli kbsa warabu niwanyama
I've always felt their journalism is wanting . Especially the lady
Holy anger
holy anger
Maheni
Uongo miingi 4 what now....si aongee ukweli waarabu sio wabaya that way... Maji ya Choo as in.how? Nko Saudi na challenges pia ..but siezi danganya vitu zingine
Napenda kikuyu
But I think there is difference between Dubai and Lebanon coz during My Kenya tv interview u mentioned Lebanon 🤷♀️ anyhow sorry
for what happened.
Haha...hapa sioni ukweli. Sasa alikuwa country gani. Acha tu ajitaftie sifa
Lebanon anatumia mob kuchuna maua, Dubai anatoka nje kuchuna. Nie maya maundu
wewe umewatch movies sana, haikai real
This true hawa watu ni wanyama,the life of gulf
kukumbaga
waaah God feel pity for all those who are suffering in foreigns land
Tash win amen
fellow Kenyans mbona u want more money unaenda Saudi unakufa yet we can employ u here ama pia cc hatutaki maid
Point of correction akuna pahali kifo iwez kupata
Sorry gal what u went through.
Our African people
Let fight modeln slavery
woiye carol
😆😆 maya mahana taro maheni ma
Njera citu
I LOVE INOORO TV
Haiyaaaa......
Hau aikirio kuma ngorofa ya kari niathie akahenie mathai
Ihave been in gulf and ican satisfy most arabs are not good,especially are very mean with the food of stomach,but she is exgerating,anaweka chumvi sana,zingine ni uongo.
How can you prove na haukua same house.
😆😆😆