GB 64 AMLIPUA PRINCE DUBE/ NAFASI 15 GOLI 1/ WALISAJILI WAZEE SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @fikirimasala2739
    @fikirimasala2739 4 дні тому +1

    Unajua sana boli kaka 🔥🔥 unajua kuchambua

  • @JaphalKambenga
    @JaphalKambenga 4 дні тому

    Dube sio msha mbliaji mzur kwan toka afike tanzania hajawii kufukuzia ufungaji bora

  • @fikirimasala2739
    @fikirimasala2739 4 дні тому +1

    Nakukubali sana🔥🔥

  • @bahatikitila2144
    @bahatikitila2144 4 дні тому

    Ujielewi we kuma

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 дні тому +1

    Wanawasikia natumaini. Yamewaingia. Ila msisahau walikuwa kwa watu hawa. Msiwalaumu sana. Mazingara hayo, wangefanyeje??

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 4 дні тому +1

    Huyu GB asubiri kesho timu yake yenye vijana na wachezaji wa kuwategemea. Mimi ni yanga lakini nawatakia kila la kheri kesho mrudi na pointi 3.

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 4 дні тому

    Yanga kukamia mechi za simba na azam ujinga mtu hao wachexaji wote ovyo

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 4 дні тому

    Nikwel mwaka huu ynga hamna kitu nipo palee nascreeshort comment yngu kabisaa tukutane season

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 4 дні тому

    Wamezoea ndoto eti nyumbani mtakuja kuadhirika kama alivyoadhirika simba kwa kutegemea slogan ya kwa mkapa

  • @ayoubsanga315
    @ayoubsanga315 4 дні тому

    Gb Ameugurumaa hukoo

  • @jonyjaksony
    @jonyjaksony 4 дні тому

    Hhhh tuz y mobeto Hhh

  • @nasseralshaibani6995
    @nasseralshaibani6995 4 дні тому

    Mnashangaa nini? Hiyo ndio kiwango halisi cha yanga kama hawakuroga na kutumia majini.

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 4 дні тому

      Kweli ushindi wao niwakichawichawi

  • @lwelenjalferdinand671
    @lwelenjalferdinand671 4 дні тому

    Dube ni mzuri. Huyo GB aache porojo