Faraja Luoga-Muujiza Mwingine(Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 65

  • @konemelau9068
    @konemelau9068 Рік тому +2

    Hakika MUNGU wetu ni mkuu anatenda mambo makuu, MUNGU wa mbinguni akubariki sana adhidi kukuinua

  • @miriamamos3986
    @miriamamos3986 2 роки тому +1

    Halelluyaa,, MUNGU atukuzwe sana wimbo mzuri sana maombi tosha kabisa mbele za MUNGU.. ubarikiwe zaidi mtumishi wa MUNGU

    • @farajaluoga2376
      @farajaluoga2376  2 роки тому

      Nafurahi sanaa kusoma andiko hili,Mungu akubariki sanaa

  • @JKayungilo
    @JKayungilo 2 роки тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi kwa wimbo MZURI nimependa kazi yako 🔥🔥🔥

  • @ewardmatemu506
    @ewardmatemu506 2 роки тому +1

    Faraja Umetisha.
    Wimbo umejaa mafuta ya kusababisha miujiza yetu

  • @anoldshirima5439
    @anoldshirima5439 2 роки тому +1

    Kazi nzuri kaka hongera

  • @rebekamollel2744
    @rebekamollel2744 2 роки тому +3

    Mungu WETU ni mkuu sana na anaweza kufanya yaliyo makubwa ubarikiwe kaka kwa kazi nzuri hii Mungu akuinue zaidi na zaidi akupandishe viwango vingine tunamuamini huyu Mungu ubarikiwe sana

    • @farajaluoga2376
      @farajaluoga2376  2 роки тому

      Ahsante sanaaaa mdogo wangu kwa maneno haya ,Ahsante sanaaa

  • @johnsimon4931
    @johnsimon4931 2 роки тому +2

    Mungu akuinue zaidi na zaidi uwe mwimbaji mkubwa wa nyimbo za injili nchini Amen

  • @sunguramwassa5782
    @sunguramwassa5782 2 роки тому +1

    Mungu na akutendee muujinza mwingeni kupitia kazi hiyo njema kwa namna yake kabisa. Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri ambao ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku hata ukamilifu wa dahari.
    🙏🙏👌👌👊👊🤛🤛💪💪

  • @catherinekihaule-xe3gm
    @catherinekihaule-xe3gm Місяць тому

    Amina mtumishi wa Mungu hongera kwa wimbo mzuri ubarikiwe

  • @risandi123
    @risandi123 2 роки тому +2

    Hongera sanaa kwa kazi nzuri

  • @malandodeogratius8193
    @malandodeogratius8193 2 роки тому +1

    Safi kijana wa Yesu kwa injili

  • @amanij.kipengele5986
    @amanij.kipengele5986 2 роки тому

    Ubarkiwe sana kaz Ni nzuri sana by AMANI KIPENGELE

  • @aggydanny9367
    @aggydanny9367 2 роки тому +1

    Kazi nzuri sanaaa Tajiri yang ,Mungu azidi kukufunulia zaidi nimebarikiwa sanaa

    • @farajaluoga2376
      @farajaluoga2376  2 роки тому

      Ameen Ameeen Mama Tajiri,Ubarikiwe pia kwa kushiriki vizuri sanaa.

  • @philemonnasary5744
    @philemonnasary5744 2 роки тому +1

    Mtu wa Mungu Kazi yako ni njema mno.Ubarikiwe Sana

  • @rogatheurioh6588
    @rogatheurioh6588 2 роки тому +1

    Kazi nzur Shem. Barkiwa Sana mtumishi Mungu akupeleke viwango vya juu zaid na zaidi

  • @marthaluoga3021
    @marthaluoga3021 2 роки тому +1

    Hongera sana my blood. Mungu akupeleke viwango wa Juu zaidi.

  • @modestahaule3431
    @modestahaule3431 2 роки тому +1

    Wow
    Nabarikiwa sana na kazi yako nzuri mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu zaidi
    Hakika mungu wetu ni mkuu sana na jina lake libarikiwe vizazi na vizaz na mbingun hata dunian

    • @farajaluoga2376
      @farajaluoga2376  2 роки тому +1

      Ahsante sanaaa Dada Yangu Mpendwa,Ubarikiwe sanaaa,Maombi haya yako Mungu naamini ametuskia nami nasema Amina na iwe kwetu

  • @yohanessomiyon8047
    @yohanessomiyon8047 2 роки тому +1

    Glory to God......Mungu akuinue zaidi broo

  • @evarosekitomary7096
    @evarosekitomary7096 2 роки тому

    Hongera sana Mungu akuinue zaidi na zaidi

  • @PauloAlfayo
    @PauloAlfayo Рік тому

    Wimbo mzuri kwel mungu akuinue

  • @maishadigital
    @maishadigital 2 роки тому +1

    Hii kubwa sana💫

  • @shadrackchanga5383
    @shadrackchanga5383 2 роки тому

    Hongera Sana Classmate

  • @chriss_Cm
    @chriss_Cm 2 роки тому +1

    Safiii sana kijana

  • @fatumamaya9785
    @fatumamaya9785 2 роки тому

    Mungu akuinue kamanda wa bwana ibarikiwesana

  • @lidyazakayo3784
    @lidyazakayo3784 2 роки тому +1

    Glory be to God. that's all what i can say. Mungu azidi kukutumia zaidi na zaid na kuzidi kukupandisha viwango na viwango. Amen🙏

    • @farajaluoga2376
      @farajaluoga2376  2 роки тому

      Mamkubwa maneno haya makubwa sanaa,Ahsante sanaa Amen Amen

  • @webbyghaina9620
    @webbyghaina9620 2 роки тому +1

    Glory to God. Wimbo mzuri mtu wa Mungu. Mungu aibariki huduma yako

    • @farajaluoga2376
      @farajaluoga2376  2 роки тому +1

      Ahsante sanaa Kaka,Bwana Yesu atukuzww sanaa

  • @valerianamgimba7728
    @valerianamgimba7728 2 роки тому

    Godbless my kaka

  • @johnsimon4931
    @johnsimon4931 2 роки тому +1

    Kazi nzuri

  • @ezekiamgimbaofficial5694
    @ezekiamgimbaofficial5694 2 роки тому +1

    Ubarikiwe mnoooo

  • @chombomr889
    @chombomr889 2 роки тому

    Good job 👏👍👌

  • @ezramagadula3330
    @ezramagadula3330 2 роки тому +1

    Well done bro.....

  • @ezekiamgimbaofficial5694
    @ezekiamgimbaofficial5694 2 роки тому +1

    Haleluyaaaaaa haleluyaaaaaa haleluyaaaaaa

  • @devothafwalo2530
    @devothafwalo2530 2 роки тому

    Kak nakuon unafny vizr

  • @boltfunga9793
    @boltfunga9793 2 роки тому +1

    God bless you brother

  • @eliethvenanth9730
    @eliethvenanth9730 2 роки тому

    Mungu azid kukubarik

  • @BahatiMbise-ze8ts
    @BahatiMbise-ze8ts Рік тому

    🙏 GLORY TO GOD