asallam walykuu ndugu zangu ayo ni naigizo rakini wanamziaki mungu apo sio sawa mungu ataniwi at kwabaati mbaya wamekosea sanaa nduguzetu watafute cha kuigiza mungu awape erimu
Allaah akuongoze... Na ukiwauliza, bila shaka watasema: Hakika tulikuwa tunaporoja na tunacheza. Sema: Je, mlikuwa mnamfanyia istihizai Allaah na Aayaat Zake na Rasuli Wake? Msitoe udhuru. Mmekwishakufuru baada ya kuamini kwenu. [Tawbah: 65- 66]
@@hujatswai5798 Allah akuongoze wewe na mnaotumia usilam vibaya watu wameilimisha kwani kune hadith za manabiy wetu huwa hazitaji na matukio waliyokua wakiyafanya maqaafir ? sasa kwanino mnawachukia wanaoelimisha kwa vitendo maana hapo hakuna alie dhihaq wamesali kama kawaida ila wameonesha mfano wasiyo jua dini jinsi ufanya ili waelimishwe sasa kosa lao lipi ama wamedhihaq wapi acheni ujinga mojawapo wewe hakuna walipo dhihaq tunaenda madina kutazama makabur ya maswahaba na mtume wetu s.w.a. kila kaburi la swahaba ama wale walikua maqaafir na kuingia katka usilam tunahadithiwa walivo ufanyia uislam hadi kusilimu iweje leo watu wanaelimisha dini ilivo na miko yake wewe uje kusema wanamdhihaq Allah khaa ushamba ungine huu
Stan kweli ww chizi kbsa sas hio ni ayaah gni😅😅,,,na hio swala mbona ndefu sna mweny mkuu hamaliz kuswalisha sijui ni tarawe ao vip ila tunasubir kijana apewe adabu na elimu pia inshaAllah maan diini sio ya kufanyiwa utani hivo
Unahsi hawa na walio igz muv ya historia ya mtume wap wanastail kutukanwa, maana nadhani ile ndo ilianza ndo ikafata hii. Uislamu hauko ivo anko nikuulze tu ww mara ya mwisho kukaa madrasa ni lini kuna watu hawakai madrasa ila kupitia maigzo kama haya wanapata elmu umu umu na usidhan zinaigzwa kiholela tu lazma wamehusishwa ma sheikh kwaajili ya kupembua la kheir na ovu ambay hayapasw kufnywa, na ndio maana hujasikia wakiadhini wala waki qim swala bimaana hawakua na mlengo wa kuifanya ibada ila nikatka kuelimisha.
Mimi sijaona mafundisho kitale wewe ni muislamu safi unasali dunia tunapita broo siwezi kukuhukumu mimi ila video hii naamini itadumu hauoni una mkosea mumba wako ambae aliekupa ujuzi wa kuigiz nakipaji Leo unaamua kumchezea mola wako kwer jitahidi hii video ungeiondoa tu kwa maslahi ya dini yako na muumba wako hauoni umewapa chansi makafiri kuanza kuihoji na kuidhihaki dini yetu stani bakora my braza umekesea sana hatamimi ni ekta lakini kipande kama ichi cha kudhihaki imani ya watu atakama ungenipa milioni kumi nisingechezea dini na imani za watu imeniuma sana nibora nikare ngurue kuliko kuchezea imani ya dini yetu ukwer sijapenda mimi na wengine walio ona video hii bora ungeifuta tu kama ulikosa stori ungeturia tu liziki haitafutwi kwa mfumo huuu
akulaani wewe na kizazi chako kosa lao lipi hapo wanatoa elim hata kune hadith za manabiy tukizisoma lazma tuwataje na watu kama huyo alie mfata msikitin sasa baya lipi hapo ?
Tuombeane Dua njema na sio laana ndugu yangu. Mkamilifu ni MUNGU peke yake anaesamehe makosa yote iwapo mfanyaji atatubia kiukweli. Na Kuna hadithi ya mtume SAW inasema " mwenye kulaani wenzake, amelaaniwa yeye" TUCHUNGE IMANI ZETU NA TUOMBE MWISHO ULIO MWEMA.
@@ALIMOHD-bk9lr angewalaani wanaofanya vitendo kwa makusuud na kuwa ndio maisha yao nasio kuwalaani wanao elimisha jamii unadhani hamna mtaani yanayotokea hayo kama walivo ecti hao nahuwezi kufikisha ujumbe ama kuelimisha watu bila kuonesha na uovu wenye kwenye hadith za manabiy wetu na waovu wanatajwa na matendo yao hadi kubadilika sasa vipi kuilimisha vitendo vyote visionekane ? nimewashangaa sana wanao laani hawa vijana wanao elimisha
Usiombe ukumu waombee kwa mollah awasamehe sababu allah mwingi wa kulehemu na mwingi wa kusamehe pia ata wewe utapata swawabu kuwaombea allah awasamehe sio kuwaombea ukumu wewe unamakosa yako pia kwaiyo mungu wetu atoe ukumu kila kosa lako si unaomba usamehewe ndio maana yake
😂😂 Issue ni kwamba Stan alikutana na jamaa anachangisha mchango wa kanisa. Ila badala achange 1000 kachanga 10000 coz alikuwa na noti mbili. .. Kaja kugundua vile alipoenda dukani ndo akaamua kuanza kumtafuta jamaa ampatie 10000 yake ili jamaa achukue 1000
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 sijaiba nafanya kitu unaona 😂😂😂😂
Jmn stani ww unavisa🤣🤣🤣🤣👌👌
😂😂😂huwa napenda huyu stamili
😂😂😂😂😂😂Allah atujalie matendo mema wote dunian insha allah
🤣🤣🤣🤣 wakimpata amekwisha
Ila stan we n chz
😃😃😃😃😃😃😃😃😃 Daaaah nmecheka
Du Yani alotoa mchango chizi imemu ndiyo kabisaa nimecheka Kama mazuri
"oa asa buku me nakula nini"😂💔😂😂
asallam walykuu ndugu zangu ayo ni naigizo rakini wanamziaki mungu apo sio sawa mungu ataniwi at kwabaati mbaya wamekosea sanaa nduguzetu watafute cha kuigiza mungu awape erimu
Lakini pia sio mungu ni Mungu
😂😂😂 tuliza matako wewe mungu yuko wapi enjoy stan bakora
@@shaqdizo7678 sijasema ujichekeshe, rudia kusoma
Duuh hyo Aya kiboko 😂😂😂😂😂
Hiyo Aya ya stan ,ni ngumu mpaka ostadh haijui😀😀😅😅
Dah bakola brother we noma
Daah nimechoka hatar
Musikit ndio kitu gani sheeh😂😂😂😂
Aya zingine bhana et usukutu wa masakata duuuh
Umetisha xn mwanangu
Elimu nzr sana hii jambo jema na funzo kwa vijana wa hovyo
Hahahahaaaaaaaaaaa vijawetu wamekua wa hovyo sana siku hizi 😂😂😂😂😂
Uzuchi ni haramo,nani muisilamo asio ogopa.
Mwinyi mkuu nimemuona
Noma 😂😂
Stani banaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hili kali Big up
Uwo ñi ujumbe
Stani umetisha 😂😂😂
Hili ni funzo wala hawachezei dini hakuna dini yeyote inayo chezea mungu hpo muelewe
Sio kwa mafundisho haya banah
Msifanye mas,khara n aya za mungu
Jina la Mungu tu umeliandika kwa herufi ndogo huoni unakosea kabla ya kuhukumu watu wanaotumia maigizo kutoa elimu
@@aristidesmtui6593 muache aandike tu kwa heruf ndogo kwen hilo jina aloliandka ni jina la ngap ktk majina ya Allah 99
Leo mmezingua kbs
Mashaallah tusomeni na tusomeshe pia
Sem stn unajua aisee😅😅😅😅😅
Allah awahifadh insha allah munaelimisha jamii inayofanya hivi insha allah
Allaah akuongoze...
Na ukiwauliza, bila shaka watasema: Hakika tulikuwa tunaporoja na tunacheza. Sema: Je, mlikuwa mnamfanyia istihizai Allaah na Aayaat Zake na Rasuli Wake? Msitoe udhuru. Mmekwishakufuru baada ya kuamini kwenu. [Tawbah: 65- 66]
@@hujatswai5798 sasa hapo nani kamdhihaq Allah hemu nifahamishe nani alie mdhihaq Allah na mtume wetu s.w.a.
@@hujatswai5798 Allah akuongoze wewe na mnaotumia usilam vibaya watu wameilimisha kwani kune hadith za manabiy wetu huwa hazitaji na matukio waliyokua wakiyafanya maqaafir ? sasa kwanino mnawachukia wanaoelimisha kwa vitendo maana hapo hakuna alie dhihaq wamesali kama kawaida ila wameonesha mfano wasiyo jua dini jinsi ufanya ili waelimishwe sasa kosa lao lipi ama wamedhihaq wapi acheni ujinga mojawapo wewe hakuna walipo dhihaq tunaenda madina kutazama makabur ya maswahaba na mtume wetu s.w.a. kila kaburi la swahaba ama wale walikua maqaafir na kuingia katka usilam tunahadithiwa walivo ufanyia uislam hadi kusilimu iweje leo watu wanaelimisha dini ilivo na miko yake wewe uje kusema wanamdhihaq Allah khaa ushamba ungine huu
usukutu😂😂😂😂
Ticha nae kakaza Stan elewa mdogo wangu ushamkopesha Allah buku ten tulia ulipwe zaidi😂😂😂
Stan kweli ww chizi kbsa sas hio ni ayaah gni😅😅,,,na hio swala mbona ndefu sna mweny mkuu hamaliz kuswalisha sijui ni tarawe ao vip ila tunasubir kijana apewe adabu na elimu pia inshaAllah maan diini sio ya kufanyiwa utani hivo
😄😄😄😄😄
daaa nimecheka Sana leo
Uislamu hauchezewi mwambieni stani kwenye Uislamu hkun comedy asitafute kilio. Allah hana mchezo Masahaba walimwag damu ili Uislamu uende mbel
Hawa ni walewale wanao nunuliwa kuuchezea uislaam acheni mzaa kwenye dini yetu hata kama ni kuakti😢😢😢
🤣🤣🤣Usukutu wamaa sakata fougha jiji 🤣🤣🤣
Leo nimecheka mpaka nimeoekana kama chizi kwa wenye walikuwa karibu na Mimi
Mbona vijana wa sikuhizi michezo yenu mnapenda kumtania mungu
Sio wanamutania Mungu wanaonyesha vitu vinavyofanywa kwenye jamii maana mambo kama hayo yapo
Wamemtania wapi sasa.. Na nd maan hawakwenda msikitin
😂😂😂😂😂 Stan Stan Stan
Mmmh 😮😮😮 Mimi sipo hapo Msala huoo🏃🏃🏃
Afidhi tafadhali kaka noamba tuwasiliane Kaka
Natamn ata nikutukane Ila namuhofia mungu ujinga wenu musituletee katika dini
Unahsi hawa na walio igz muv ya historia ya mtume wap wanastail kutukanwa, maana nadhani ile ndo ilianza ndo ikafata hii. Uislamu hauko ivo anko nikuulze tu ww mara ya mwisho kukaa madrasa ni lini kuna watu hawakai madrasa ila kupitia maigzo kama haya wanapata elmu umu umu na usidhan zinaigzwa kiholela tu lazma wamehusishwa ma sheikh kwaajili ya kupembua la kheir na ovu ambay hayapasw kufnywa, na ndio maana hujasikia wakiadhini wala waki qim swala bimaana hawakua na mlengo wa kuifanya ibada ila nikatka kuelimisha.
Stani banaa 😀😀😀😀
Hovyo comedy
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kama chizii
Et teacher ule benk bencher wako😂😂
Stan wacha upuuz😅, sku ya pili sema kuna maandiko usiseme Aya, 🙏🏽😊 kama aya haipo usiifanyie mzaha qur'an. ni heri kusema tu maandiko.
Nyinyi watu muogopeni mungu tafadhalini..mnachezea mungu..inna lilah wainna ilayhi raajiun.😭😭
Stan ww😂😂😂😂daah😅
😂😂😂😂😂 bimasakat doohhh
Huyu mjinga ni mwisho
Waislamu muna shida😅😅😅sasa kila muislamu ameleta feelings apa😅😅
MUNGU HATANIWI mumeishiwa vichekesho daah !
Amen
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ 😭😭Huyu kiongozi wa hiki kikundi anaitajika aitwe akanyewe uisram hautaki huu upuuzi
Ikifika uulislam mnakaza
😂😂😂😂😂😂😂😂sio mazuri ila daah
Atafutwe atiwe adabu na elimu apatie 😂😂😂😂
Stan acha ujinga Mungu wetu hachezewi….. tunapenda vichekesho vyenu ila ujinga hapana …..kuwa makini kaka na Mungu
Kidogo tu mshapanic sasa hapo kosa liko wap
@@jailosibrahim88 akil hawana hao
Hiyo Aya bado naigoogle ila bado sijaipata😂
Mimi sijaona mafundisho kitale wewe ni muislamu safi unasali dunia tunapita broo siwezi kukuhukumu mimi ila video hii naamini itadumu hauoni una mkosea mumba wako ambae aliekupa ujuzi wa kuigiz nakipaji Leo unaamua kumchezea mola wako kwer jitahidi hii video ungeiondoa tu kwa maslahi ya dini yako na muumba wako hauoni umewapa chansi makafiri kuanza kuihoji na kuidhihaki dini yetu stani bakora my braza umekesea sana hatamimi ni ekta lakini kipande kama ichi cha kudhihaki imani ya watu atakama ungenipa milioni kumi nisingechezea dini na imani za watu imeniuma sana nibora nikare ngurue kuliko kuchezea imani ya dini yetu ukwer sijapenda mimi na wengine walio ona video hii bora ungeifuta tu kama ulikosa stori ungeturia tu liziki haitafutwi kwa mfumo huuu
Oyaaaa
MWINYI MKUU NDIO IMAMU KUMBEEEE. HONGERA SANA. LETE PART TWO
Aliyeskia tichatujuaneapa
Huyu Stan ana piga mkono
Wakwanza leo 😄😄😄😄😄😄
Stanikkkkkkk😂😂😂😢
Yan ww stan nimshenz kwel
Ila stan fala sana
Hahahaha 🤣🤣🤣 Stan mshenzi kwel
Hahaha 😆 😂 😆 😂
Duuu hatali elimu hiyo cyo wamekosea pumbavu
innalillah wainnailayh rajiu'un mnaekt kumuabudu Allah ili ndo mfundshe jamii,yaan ibada ndo ya kuiyektia kwel!tena ibada yenyew ya swala duh.Hivi hamuon hatar wala hamshtuk
ALLAH wape laana nzito wote walio shiriki huu uchafu.AAMIN!!!
akulaani wewe na kizazi chako kosa lao lipi hapo wanatoa elim hata kune hadith za manabiy tukizisoma lazma tuwataje na watu kama huyo alie mfata msikitin sasa baya lipi hapo ?
Tuombeane Dua njema na sio laana ndugu yangu. Mkamilifu ni MUNGU peke yake anaesamehe makosa yote iwapo mfanyaji atatubia kiukweli. Na Kuna hadithi ya mtume SAW inasema " mwenye kulaani wenzake, amelaaniwa yeye"
TUCHUNGE IMANI ZETU NA TUOMBE MWISHO ULIO MWEMA.
@@ALIMOHD-bk9lr angewalaani wanaofanya vitendo kwa makusuud na kuwa ndio maisha yao nasio kuwalaani wanao elimisha jamii unadhani hamna mtaani yanayotokea hayo kama walivo ecti hao nahuwezi kufikisha ujumbe ama kuelimisha watu bila kuonesha na uovu wenye kwenye hadith za manabiy wetu na waovu wanatajwa na matendo yao hadi kubadilika sasa vipi kuilimisha vitendo vyote visionekane ? nimewashangaa sana wanao laani hawa vijana wanao elimisha
Wewe co Mungu ndugu yangu ni mzambi tu kama cc usiseme hivyo
Usiombe ukumu waombee kwa mollah awasamehe sababu allah mwingi wa kulehemu na mwingi wa kusamehe pia ata wewe utapata swawabu kuwaombea allah awasamehe sio kuwaombea ukumu wewe unamakosa yako pia kwaiyo mungu wetu atoe ukumu kila kosa lako si unaomba usamehewe ndio maana yake
Usukutu wa masakata bifauka jiji hiyo haya hatar 😊😊😊
Ili swara sio lakuliangalia na kuliachia Allah afanyiwi masihara wote walaaniwe sio mafunzo hayo nikukejeri dini yetu silikari ichukue hatua
et takbir😅😅
Nyie mafala Wacheni kuuchezea Uislamu
Igizeni hiz Dini nyengine lakin Sio Uislam Allah awape la kuwapa
Mmmh hajui chochote huyu
Mwinyi mkuuu 🎃
😂 natoogwa
Dini jamaa, mzaa kando
Yaani apo niona kitu kwanza awo wanao changisha waangalie watu wa kuwaomba
Nusu nifukuzwe kazi nilivyocheka kwa nguvu ofisini😂😂😂😂😂😂😂😂
comedy I.efikia upuuzi n hkuna mfunzo hapa
daaaa msiba mkubwa sana
Inalilahi wa inalilahi lajuun huu ni
Musiba mkubwa jama tuna kwenda wapi
Muslim mwenye iman na mapenz na Allah hawez kuifurahia hii kitu! Mumefika mbali sn
Wewee lengo ni funzo
@@athumani6655 hakuna katika dini mafunzo ya aina hiyo.
Ivi nyie watu huwa mnapenda kuhukumu
Hapa sijaelewa kitu kwa kweli
😂😂
Issue ni kwamba Stan alikutana na jamaa anachangisha mchango wa kanisa. Ila badala achange 1000 kachanga 10000 coz alikuwa na noti mbili.
..
Kaja kugundua vile alipoenda dukani ndo akaamua kuanza kumtafuta jamaa ampatie 10000 yake ili jamaa achukue 1000
😂😂😂😂😂stan
Jamaa hata hajatia udhu kaunga swala
Mwenye wudhuu ana muonekano gani?
😂😂😂🇹🇿 bhna
Hapo mmekosa vyakubuni wala siwezi kufatilia muendelezo dini haichezewi hata siku moja
Angalia kuchea dini acha upumbafu wenu
Kujenga muskiti 🤣🤣🤣🤣 pumbavu sheh niwakuwamba makofi kabisa huyu
Mungu atusamee sana kwa hili
Stan🤣🤣🇲🇿
Mnazingua
MNAELEKEA KUBAYA