UTATU WA LISSU+HECHE+MNYIKA ,MAKADA CHADEMA WAFUNGUKA JINSI CHADEMA ITAKAVYOKUWA YA MOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 57

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 День тому +3

    Umeongea vizuri sana kamanda wewe ni star kwenye mahojiano.

  • @PetroAbraham-s9b
    @PetroAbraham-s9b 21 годину тому +1

    Jamaa yupo timamu sana big up chadema kuna watu wengi sana vipaji vimefunikwa kipindi hiki cha political parAlisis

  • @JafarsimaouchuJumbe
    @JafarsimaouchuJumbe 5 годин тому +1

    Jamaa ana A tatu amevuka D aisee...
    LISSU FOR PRESIDENT ######

  • @josephatkajange8714
    @josephatkajange8714 День тому +4

    Kigaila naye pia yuko vizuri!

  • @KisinzaNewton
    @KisinzaNewton День тому +4

    Lissu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 День тому +4

    Jamaa anaongea points tupu

  • @FrankMusoma-n7b
    @FrankMusoma-n7b День тому +3

    Safi mwamba

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 15 годин тому +3

    Yaan kwa tasmini ya kawaida tu Mbowe hana chake kwa Lisu wala Wenje hana chake kwa Heche Lisu na Heche wanapita kwa kura nyingi sanaaaa😂😂✌️

  • @oscarwasenga1333
    @oscarwasenga1333 21 годину тому +3

    Lisu mwenyekit taifa heche makamu lema katibu mkuu

  • @StivinPasco
    @StivinPasco День тому +3

    Lissu the 1 bg

  • @jumakilinja6341
    @jumakilinja6341 10 годин тому

    Akili nyingi sanaaaaaa,hongera sana kijana, chadema hakuna nyumbu

  • @PauloYohana-l9o
    @PauloYohana-l9o День тому +5

    Lissu anafaa

  • @JohnMtalikuyanja
    @JohnMtalikuyanja День тому +5

    Kwakweli heche lissu wako vizuli tuwaombee washinde

  • @issasimbira2001
    @issasimbira2001 День тому +3

    Lissu kwanza

  • @johnlugaila
    @johnlugaila День тому +3

    Hakika itapendeza makamanda hao wakikaa hivyo LISU. HECHE. MNYIKA

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp 4 години тому

    no discussion,let's Mh Lisu go in front.i'm quite sure He will take us where we want.

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d День тому +3

    Kweri tunaiona kanani ya risu

  • @ElinaMbura-h7w
    @ElinaMbura-h7w 6 годин тому

    Chadema sijaona kiongozi fala wote ma genius ni Lissu tu na Heche

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 9 годин тому

    Mnyika makali yake yamekuwa kwa muda mrefu yakidhibitiwa na mwenyekiti wake,yule siyo Mnyika tunayemfahamu.

  • @JesuinaBabili
    @JesuinaBabili 21 годину тому +1

    Mengine yoote ameongea vzr saana ila
    Kwenye la kufukuzwa Zitto Mbowe Kama Mbowe namtetea wala hayakua maamuzi yake pekee ni ya Kamatikuu na aliyebebea Bango ni TL

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 20 годин тому

    kweli

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 9 годин тому

    Minyukano ipi?

  • @fabby1181
    @fabby1181 22 години тому +1

    Chadema wote wanajielewa. Interview zao zote zinaonyesha wanao uwezo mkubwa WA KUJENGA hoja

  • @karakairasa2161
    @karakairasa2161 10 годин тому

    Ikiwa kila ukweli unasemwa tu! Hii si sawa! Kabla ya mwisho wa safari utajikuta upo peke yako!! Halafu huo mnaoita ukweli, mbona hautolei ushahidi kwenye vikao ili wahusika wachukuliwe hatua za kisheria? Inavyotakiwa kama unashindwa kuthibitisha tuhuma zozote zile, inakuwa huna haki ya kumtuhumu mtu hadharani au hata owenye vikao vya ndani!
    Lissu ni mwanasheria na anajuwa vizuri sana kuwa " ... kila mtuhumiwa ni msafi hana hatia mpaka hapo itapothibitiswhwa na vyombo kuwa ni mkosa.."
    Sasa yeye anawachafua wenzake na kutaka kuwauwa kisiasa! Jee hiyo ndio sifa ya kiongozi muwadilifu?

  • @JafarsimaouchuJumbe
    @JafarsimaouchuJumbe 5 годин тому

    Please Wana internet wote
    Twende na hashtags #### ya
    LISSU FOR PRESIDENT #####
    Kila Kona ya social media.. twende na iyo pls guys

  • @nestor384
    @nestor384 День тому

    💥💥

  • @giztony2009
    @giztony2009 Годину тому

    Hiki chama kina watu wenye akili mingi sana

  • @7stianPius
    @7stianPius 21 годину тому

    💯👍👍👍👍👍👍👍

  • @NanyoropookiniTugugwa
    @NanyoropookiniTugugwa День тому

    👍👍👍👍👍

  • @SeverinaChikeki
    @SeverinaChikeki День тому

    Huku n kujidanganya

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 День тому

    We msukule wa fisiemu. Achana na chadema hilo ni dude chama mkubwa wao

  • @melch3097
    @melch3097 23 години тому

    Mbowe anashinda

    • @KANAZIBoy
      @KANAZIBoy 23 години тому +4

      Atashinda njaa😂😂

    • @ErnestiSulle-w9k
      @ErnestiSulle-w9k 20 годин тому +3

      Atashinda kwa rushwa ila Siyo kwa kura.

  • @festokomba2390
    @festokomba2390 22 години тому +1

    Jamaa mbona kama anaakili nyingi sana😅

    • @belak999
      @belak999 21 годину тому +1

      Huyu masai Arusha inamuelewa sn kwenye CDM

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 День тому

    Nanikukwambia ccm haina watu

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 22 години тому

    Kigaila na Mnyika pia wote watoke

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 День тому +1

    Jamani lissu ni mropokaji hata haelewi neno la kutumia mahali gani yaani anaongea kila analowaza tu hata uongo ataongea tu bila kuwaza matokeo yake

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 День тому +1

      Kama mkweli ni mlopokaji basi sisi tunamuhitaji huyo

    • @hakimundabila7940
      @hakimundabila7940 День тому +1

      Kusema ukweli kwa wa Tanzania ni kuropoka kumbe

    • @francomwalutende7864
      @francomwalutende7864 23 години тому +1

      Ndiyo maana hakuna kesi yoyote aliwahi kushindwa tangu mfumo wa vyama vingi vianze, huyo Mbowe wenu amefanikiwa kuwaingiza watu wengi matatani, vifo na utekaji wa wapinzani wengi nchini. Chama sasa kinahitaji watu wenye akili nyingi na uthubutu

    • @petermisungwi3229
      @petermisungwi3229 22 години тому

      Hakika kama una jambo ufe nalo kifuani😂😂😂​@@hakimundabila7940

    • @wiliamkatala
      @wiliamkatala 22 години тому

      KWA sasa anahitajika mropokaj😂😂😂😂.

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga День тому

    Wewe nani mpaka utusmrishe watanzania tuwafuate chama kinakwenda kuisha mkikatas kwa lolote muondoke

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 8 годин тому

      Na wewe nani ukatae kuhamrishwa?. Swali wewe nani ni swali la kiwango cha chini kwa ufahamu wa binadamu. Hakuna namna ya kufanya kufilisha ujumbe?. Wewe nani ni swali la kujikweza juu ya watu na Mungu mwenye.

  • @RwelamiraPascal
    @RwelamiraPascal День тому

    Mwandishi unauliza maswali yale yale yalikwishaulizwa na Jambo tv mara zote. Yametolewa majibu sahihi. Don't you have different questions. You are boring us and wasting our time

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 8 годин тому

      Hakuna mwisho wa kufikiri juu ya jambo fulani. Ni Galileo aliyefikiri tofauti kuhusu umbo pa Dunia, na mzunguko wa Dunia kwa Jua. Maswali na majibu yalikuwepo kuhusuambo hayo. Lakini watu waliendelea kuulizwa maswali mpaka leo juu ya ukweli huo.

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l День тому

    We John kigaira back on his position could be righty thing

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 День тому

    Mnataka watu wa vurugu hizo vurugu mtazifanyia wapi? Mtakula virungu sana