KWANINI TUNABUSU PETE YA ASKOFU?ELEWA MAANA YA MAVAZI YA MAASKOFU,MAPADRE NA TAFSIRI MBALIMBALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Ni muendelezo wa kutoa elimu kuhusu mambo na Tamaduni mbalimbali za Kanisa Katoliki Duniani.Endelea kutufuatili kupitia mitanao ya kijamii..
    UA-cam... / @kanisakatolikitanzani...
    Instagram... / kanisa_katolikitz
    Facebook.... / kanisakatolikitanzania
    Websites: www.tec.or.tz/
    Whatsup...0738 916 628

КОМЕНТАРІ • 10

  • @piussenga6669
    @piussenga6669 3 роки тому +1

    Ah,sante sana Padre kwa somo zuri sana ambalo Mimi binafsi nilikua silitambui

  • @maprosokelly2986
    @maprosokelly2986 Рік тому

    Tafakari nzur san ila saut ndio tatizo dj kazingua

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 роки тому

    Asante sana kwa kwa kutu elimisha katika imani letu Mungu akubariki pia akujalie nguvu za roho mtakatifu ili upate kumtumikia siku zote zamaisha yako amina

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 роки тому

    Asante sana father kwa kutu elimisha katika imani letu

  • @frankmangera3339
    @frankmangera3339 3 роки тому

    Ahsante sana Padre , kwa kutuelemisha katika hili!

  • @candygerry6331
    @candygerry6331 3 роки тому

    Asant padre kwa maelezo mazuri barikiwa sana ,amen.

  • @constantinennonjela3922
    @constantinennonjela3922 3 роки тому

    Ubarikiwe sana baba Titus Amigu kwa mafundisho haya

  • @geraldfelician1951
    @geraldfelician1951 3 роки тому

    Asante Baba kwa ufafanuzi huu

  • @zedianagasper9475
    @zedianagasper9475 3 роки тому

    Ee inatakiwa tueleweshwe maana huwa hatuelewi

  • @piussenga6669
    @piussenga6669 3 роки тому

    Ah,sante sana Padre kwa somo zuri sana ambalo Mimi binafsi nilikua silitambui