Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Natamani kijuwa hiyo ni interview au malumbano ya hoya still pia inaweza isiwe vyote kati ya hivyo Journalists munagombana wenyew kwa wenyew HOST.. umekaan na watu ambao hawana content kichwan unambiaje guest unadangaya na c kuonyesha ushahid elimu ni muhimu sana kweny journalism gauys
Ninyi watangazaji mnapaswa kujua mipaka ya kazi yenu. Unawezaje kumlazimisha mtu kujibu unachotaka wewe? Yeye atakujibu anavyoona inafaa na sio wewe unavyotaka.
Kwa Diamond ulisema uongo sana.mwe nao mumulize ivi hayo yote ndo yalimfanya afike anaenda kumshabikia daimond? Uyo ni mjanja sana ndo ataki kuwapa nafasi mumulize ma swali.Qatar walimuacha tena vile vile atowe sababu na iyo.
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Mmemuweza Mbwa huyo yani story zake za uongo kabisa, safi sn mwandishi umeliweza hilo jitu zima hovyo
Sema Gabby mjuaji sana toka mtaani,nimeishi nae Temeke Mikoroshini...jamaa mjuaji sana huyo na hajasomea utangazaji huyo.
Mnahangaika na CHAWA MSUKUMA Alikwisha iga tibia za DAR ,WASUKUMA HATUKO HIVYO.
Ila punguzeni kelele watangazaji
Nyie watangazaji hichi kupindi mnakipeleka vipi?mbona makorogo mingi?kila mtu anazungumza,huyu hajamaliza anarukia mwengine,alimradi mnakorogana,na kumkoroga huyo munaemuuliza,kwa ukweli hiyo formula yenu haieleweki
Natamani kijuwa hiyo ni interview au malumbano ya hoya still pia inaweza isiwe vyote kati ya hivyo Journalists munagombana wenyew kwa wenyew
HOST.. umekaan na watu ambao hawana content kichwan unambiaje guest unadangaya na c kuonyesha ushahid elimu ni muhimu sana kweny journalism gauys
Ninyi watangazaji mnapaswa kujua mipaka ya kazi yenu. Unawezaje kumlazimisha mtu kujibu unachotaka wewe? Yeye atakujibu anavyoona inafaa na sio wewe unavyotaka.
Huyu nae anahojiwa nn kila siku?
Watangazaji wanabishana kama watoto
Hamna watangazaji wote ni takataka wanapiga tu kelele hovyo kabisa
Pamoja na tabia za kipumbavu za h baba....huyo mtangazaji ni mpuuzi na anatakiwa kutolewa hapo. Ana ubishi wa kijiweni mbona h baba kamkwepa sana
Mbon kama si waandishi wa habbari kama wapuuzi wanapiga makelele na wanaemuoji
Endelea kudanganywa na Mond tu eti nyumba 35
😢😢😢 daaaa jamaa muooongooosanaaaaa😂😂😂😂😂
Yaan shigongo umeweka waandishi wa habari wanywa gongo
Sasa si aende Mahakamani ndio kuna haki kule jamaniii 😢
Kwa Diamond ulisema uongo sana.mwe nao mumulize ivi hayo yote ndo yalimfanya afike anaenda kumshabikia daimond? Uyo ni mjanja sana ndo ataki kuwapa nafasi mumulize ma swali.Qatar walimuacha tena vile vile atowe sababu na iyo.
Acha kumuongelea huyo kijana mmana ni km kufeli kwako kimziki unataka kumlaumu hamo
Hv unamiliki milion 100 na zaid unakubali vipi kuacha biashara yako waenda kwa mtu KUMFANYIA kazi acha uwongo ulikuwa dalali wa magari
Musihogezaki kutuleteya wasazi uyo h.baba hana Adabu ataki kuhabwiya ukweli Gabi hana mwabiya ukweli anachukiya kilasiku ukweli anatuleya mahishayake ayatuhusu
So what do you want h.
We chawa2 boyawe
Uyo mtangazaji mbovu hana busara
Huyo mtangazaj n kichwa zuzu
Haya tuone
Maongez yoooote niyy kulikua naajagan yakuwepo waandish nyie wakat awaskilizi nahawap nafas. Ovyoo