this song ni tamu mpaka kwa kisogo...TZ tunakukubali kenyan super star...nyimbo zako ziko na mafundisho kuliko kwa hawa wakwetu ni kuimba za kuvuana nguo na nyeti....nyashiski unakimbiza EA...254 mpo topee...gonga like tukaze
On Replay Like No Ones Business. .Shinksi..We are So Glad you Came back..we can't get Enough. .👌👌👌👌Nyash hukuwanga JetLeee..damn..And these Moves.Th3 Lines 🔥.#We all have 1 Life👈
Tales of the crazy Kennar nilianza kuona clips zako...venye nimeona pia wewe ni fan wa shinski itabidi nimesubscribe channel yako...alafu tengeneza vida poa ukiongelelea shinski
Hapo nayo nyashinski hajafanya poa. 😂😂😂😂 now who will beat or compete with this? Enyewe marapper wanaona movie. Naona kila mtu arudi aimbr gospel ama waende wajaribu Uganda juu hi Kenya hakuna mtu anajenga hits kama shinski and it gets bigger and better every damn time.
The realest vocalist I know , I love your music Nyashinski. No Nudes ,No spraying of useless bank notes , No insults to a fellow comrade but pure love 🙏🙌
Free-Nyashinski Yeah sawasawa Nisaidie tu Tuko waks kama kawa (chill chill) K the great [CHORUS] Can I be free Relax and take it easy We only get one life So live your life Oh of fa ya you know am right Welcome to paradise Girl don’t just fantasize Light up and free your mind [VERSE 1] Ata ka hunipendi unajua ni nani beast hapa Na level za udeadly hukuwa unajua zinaexist ata Na kuombea dailyufike mahali una aim Before nidedi njenge na v-eight baba Before they play me nionyeshe mahali snakes (Mahali snakes wakoo) Surgery hutaona my mistakes (inaitwa surgery) Unaeza acha ku-complain ( acha ku-complain) Usiwahi danganya saidieni main [CHORUS] Can I be free Relax and take it easy We only get one life So live your life Oh of fa ya you know am right Welcome to paradise Girl don’t just fantasize Light up and free your mind [VERSE 2] So dry your tears Daddy don’t you worry b Booboo have no fears Mum said piga kazi while am young and strong I say for you I’ll be strong for a thousand years Style zangu ni medley Nyash huwanga ni mdeadly Ma- rapper wanaona movie Nyash we hukuanga Jet Li Singer ama ni MC Zangu zina message Zao hazina ziko empty Nyash huwanga mzii Here I go Geuza flow mwisho wa mwezi kuna njeve But atleast kuna doh Ngoma zote wataandika kuni-diss zitaboo Nambie nani amekupea these many hits in a row row row Dance for me baby (oooh yeah) Just dance for me baby ( ooooh yeah) Dance for me baby (oooh yeah) Just dance for me baby ( ooooh yeah) Mi ni jina kubwa labda tuzungumze na babako Gari kubwa humaanishanga utaitishwa za macho Buy mtumba ukihope haijabeba ukikulacho Vibes tu nakupa ka unapenda jenga hussle Lines tu zinakuja utasurrender k**amamako Ni like tu ata kama nimeweka word mbaya hapo Hii night ikue true adi kesho ujione kwa mpasho Hii life huwezi jua so tonight please [CHORUS] Can I be free Relax and take it easy We only get one life So live your life wow wow Oh of fa ya you know am right Welcome to paradise Girl don’t just fantasize Light up and free your mind Oh can I be free (Can I be free) Relax and take easy (relax n take easy ) We only get one life (we only get one life ) So live your life ( live your life ) Father you know am right (yeah) Welcome to paradise Don’t you fantasize
hata kama unipendi unajua nani ndo beast hapa.....nakuombea daily ufike mahali unaaim b4 nidead naomba unijenge na V8 baba....the best prayer and wish Nyashiski to the world ✨
Am leaving this comment here so that anytime anyone likes it I get back to listen this song...amazing talent.
You only live ones.
U tell me wen u're back😂
@@husseinbeleko4015 sometimes 🤣
Finally u kept the promise
Donge yawa Jakaradolo awinjo
imeweza 4 sure 10/10
Sijawahi pata like ata moja na huwa nacomment,, my dears nawaombeni Leo npate ata 5 hivi ntashukuru 🙏
😂😂
Ushapata
kwani like ni chakula...😂
@@yusufmohammed606 l
@@wanjikupatriciah3993 hey
kenyan top artist if you agree angusha likes hapa
2024 Na bado iii ngoma inatisha mbaya
To you random person scrolling down the the comments...... just know that you are awesome
You too! Lol #Muchlove#
Thanks
You too😄
we together
You to brother!
Thank you
I bet you really had fun shooting this. Classic Audio. Video Chupa!
Killing collo
si the just do one song together please, najua mnaweza.
Tunataka Collabo mfalme.
@@mesh317 Zitakuja
@@collo.africa "zitakuja" naona ni kama album hivi
Shinski Am from jamaica mi dont know swahili buh niko mahali navuta bangi🔥
dastona michaels mbn umeongea apo bro, iyo kuvuta bangi tyar ni swahili tosha.
😂😂 Jamaica mwitu..
jamaica ya kayole hahahahha
Pass pass
nuff said. Wagwan Kinuthia
Mwisho wa mwezi kuna njeve but atleast kuna dooh....Shinski is a gem 💎📈..2024 init
Obama alienda US akawa prezzo,Nyashiski akaenda hukohuko ndo huyu ni hitman .Mazee pia mimi nafunga virago tuonane Florida🙋🚴🚴
😂😂😂😂😂
unathania naachwa
@@qenmbugua jiseti hapo nyuma twende kesi baadae
We utakua Miguna🤣🤣🤣
@@phenomenaljoel8940 Wee sitaki kuwa deported back to USA😁😁
We want an album now
Piga like kama Tuko pamoja
I'll buy it at its marked price bila ku-bargain.
What I love about Kenyans they dont copy dances. I love the choreography of this video. Been tired of the Nigerian dances every where!
So?
@@upendo.3570 😂😂
Wapi likes za choreographer wa hii ngoma 😍
this song ni tamu mpaka kwa kisogo...TZ tunakukubali kenyan super star...nyimbo zako ziko na mafundisho kuliko kwa hawa wakwetu ni kuimba za kuvuana nguo na nyeti....nyashiski unakimbiza EA...254 mpo topee...gonga like tukaze
B4 u scroll ebu, Nijenge na 1 like hapa
am not early but, am not Late either bora nimefika Paradise..
Noma
Tina khan your email?
On Replay Like No Ones Business. .Shinksi..We are So Glad you Came back..we can't get Enough. .👌👌👌👌Nyash hukuwanga JetLeee..damn..And these Moves.Th3 Lines 🔥.#We all have 1 Life👈
Nyashinskiiii🔥🔥🔥The MAD KING unawaroast😂😂🔥🔥💯💯💯kali sana
Tales of the crazy Kennar nilianza kuona clips zako...venye nimeona pia wewe ni fan wa shinski itabidi nimesubscribe channel yako...alafu tengeneza vida poa ukiongelelea shinski
Quarantine mood right now . All the way from UAE Dubai 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hapo nayo nyashinski hajafanya poa. 😂😂😂😂 now who will beat or compete with this? Enyewe marapper wanaona movie. Naona kila mtu arudi aimbr gospel ama waende wajaribu Uganda juu hi Kenya hakuna mtu anajenga hits kama shinski and it gets bigger and better every damn time.
The realest vocalist I know , I love your music Nyashinski. No Nudes ,No spraying of useless bank notes , No insults to a fellow comrade but pure love 🙏🙌
hapo kwa insults... diss zimefichwa huko ndani wacha tu.
Dre Kospir kuna insults, he is dissing
@@danielgathoga6984 🤣🤣🤣🤣
Uuuh...this whole track issa "diss fest"
Thats right
Zangu Zina message, zao hazina ziko empty..........Like if u this Nshiski is the best singer in EA at the moment!
Is it 3000 Millenium, Nyashinski was the best of our Time
Enda utoe hao wasafi na ex otile trending.this song deserves number one on trending.....
weka like kwangu kama hii ngoma itafika million views
Free-Nyashinski
Yeah sawasawa Nisaidie tu Tuko waks kama kawa (chill chill) K the great
[CHORUS] Can I be free Relax and take it easy We only get one life So live your life Oh of fa ya you know am right Welcome to paradise Girl don’t just fantasize Light up and free your mind
[VERSE 1] Ata ka hunipendi unajua ni nani beast hapa Na level za udeadly hukuwa unajua zinaexist ata Na kuombea dailyufike mahali una aim Before nidedi njenge na v-eight baba Before they play me nionyeshe mahali snakes (Mahali snakes wakoo) Surgery hutaona my mistakes (inaitwa surgery) Unaeza acha ku-complain ( acha ku-complain) Usiwahi danganya saidieni main
[CHORUS] Can I be free Relax and take it easy We only get one life So live your life Oh of fa ya you know am right Welcome to paradise Girl don’t just fantasize Light up and free your mind
[VERSE 2] So dry your tears Daddy don’t you worry b Booboo have no fears Mum said piga kazi while am young and strong I say for you I’ll be strong for a thousand years Style zangu ni medley Nyash huwanga ni mdeadly Ma- rapper wanaona movie Nyash we hukuanga Jet Li Singer ama ni MC Zangu zina message Zao hazina ziko empty Nyash huwanga mzii Here I go Geuza flow mwisho wa mwezi kuna njeve But atleast kuna doh Ngoma zote wataandika kuni-diss zitaboo Nambie nani amekupea these many hits in a row row row Dance for me baby (oooh yeah) Just dance for me baby ( ooooh yeah) Dance for me baby (oooh yeah) Just dance for me baby ( ooooh yeah) Mi ni jina kubwa labda tuzungumze na babako Gari kubwa humaanishanga utaitishwa za macho Buy mtumba ukihope haijabeba ukikulacho Vibes tu nakupa ka unapenda jenga hussle Lines tu zinakuja utasurrender k**amamako Ni like tu ata kama nimeweka word mbaya hapo Hii night ikue true adi kesho ujione kwa mpasho Hii life huwezi jua so tonight please
[CHORUS] Can I be free Relax and take it easy We only get one life So live your life wow wow Oh of fa ya you know am right Welcome to paradise Girl don’t just fantasize Light up and free your mind Oh can I be free (Can I be free) Relax and take easy (relax n take easy ) We only get one life (we only get one life ) So live your life ( live your life ) Father you know am right (yeah) Welcome to paradise Don’t you fantasize
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hapo ukianza tayari umekosea it should be "hii side yetu tuko waks kama kawa"
Hii nayo iliandikwa
This song hits like it's a new release,,,,,I never get tired of it
Kenyan music is best.only that we love to support others who doesn't appreciate us too
Its veen 5 years na bado hii ngoma ni hit song
12 K views in 2 hours ...Gatheee wewe ni mbuzi kabisa yaaani GOAT ..🔥🔥🔥✊🏾awesome video ..like if you agree
I love that word (Kumamako) am glad someone has finally used it in a song. (Am from Mombasa)
😀😀😀😀
😂😂😂walai😂
hahaha ni salamu Mombasa
@@georgepresley5120 Wacha chocha
Mhhhh
Wakenya instead yakusupport wasanii wenu munaenda kuview wimbo za nchi zingine ndo zinakua juu kuliko zakwetu....Nice one 🔥🔥🔥🔥
Hata hivo chema chajiuza; kama hiki hapa.
Truth
Truth. I'm angry tunaendana disaster has more views
Faith Koinange umeongea kweli mamy
Wagwan man,,,, big up!!!!! Alwayz on the move man!!!! 👌👌👌👌
Nanii ako hapa 2020 march 😂😂🖐🏽
This is such a vibe.. 😴
Quarantine has brought me here...good music is necessary sai
Yep tuko
Yoh I need to know the group of guys dancing 🕺 thanks 🙏 or any of their ig handles
Makosa uki dance hii ngoma bila kuuma meno maze. Makosa sana! 🔥🔥🔥
😁
Ata kama humpendi unajua Nyashinski ndio BEAST hapa💯
Honestly...ye ndo BEAST
Everyday anything can change your up and up bro you have maintained africa music 🔥🔥🔥🔥
Iokote
Waaaaaaaaaoooooooooooh that's true
Ok i see you
Hey do you know the dance group of the guys dancing ??
the love that i have for this song is uncountable❤❤❤😊,,,
To the person hearing this Heat music 25 years from now, Nyashinski was and probably still is the GOAT of Kenyan music !!
waaaah..unique style. I love this one,NYash hachezi na hizi vtu
Still listening to this today.ooh shinski 😩.we love you 😍
3 years after release and I'm still vibing hard🔥🔥
🎵Ukiona Nyash unajua quality inatesaaaa yeah 🎶 GOAT
my mentor.i.admire his work 😘😘😘😘😘😘😘😘💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💫💫💫
Ngoma ya respect🔥🔥🔥.. Ka unakubali. Hi ni ngoma ya watu wakubwa hit like tukiendelea kushare😊😊
First Comment. First Like. Yeeeeessss!!! I made it.
Also, "Buy mtumba ukihope haijabeba kikulacho" imeweza.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Caroline Mwanzia 😁😁
@@muniraahmed624 Joined the "first comment" gang finally 🤣🤣🤣
👏👏👏
So we finally found our Drake. Never seen such a versatile artist before. Thanks for the good music Nyash. We huwanga mzii 🙌👊
Stop comparing artists We have Nyash !
Dear Nyashinski I will listen to this song till I'm 80. your Tanzanian no 1 fan.
Team notification all the way up and commenting bila ata song kuisha hureeeeeee
From Tanzania wakwanza kuview na kukoment wana wa tz msiniangushe likes
cairo king ivi hizi likes nyie Wabongo huitisha kwa comments za videos manufaa yake nini
@@odinarehbingwa4126 mengi tu
tupo pamojaaa
Naipenda
Before nideadi nionyeshe Mali snakes wako........ Before nideadi nijenge na v8 baba Kali sana
if it wasn't for nyash I'd never have listened to kenyan music ❤
Big ups to nyashinski😍
THIS FINNA BE EAST AFRICAs BEST SONG OF THE YEAR:..
Lotta Love from 🇺🇬
❤️
Hawa ma dancers WAMEWEZA!!!!
Freee........Soja tumevamiwa Naiboi uko wapi nitume mchango wangu turudishe huyu Champe(Champion) states💪💪💪 we want to be free take life easy 🔥🔥🔥🔥
all the way from Australia,the beats are dope..I love yash
Nyash sis
its nyash australian
Nyash is the word
Mkorino😳
See on July 20 he is coming in banks town
This song never gets old
saa hizo tunaskiza shincity tuna feel free.weka video alafu upost pale NGC. #ANGUKANAYO. 2024.
Adii haoo wanatambuaa nyashh
Nakupendaga siku zote msaanii ww wallah
Nyashinski our Kenyan Drake....
Always on point
♥
Whaa
The
HAY NOW
Drake is America's Nyashinski
Yeah yeah
nyash more fire add kuni kabisa mpaka wasafi wawe wachafu. lol
When Fakii said Nyash is just a beast when it comes to creativity man! I nodded so hard!🔥🔥🔥🔥🔥🔥
From south Africa, I like this music video. Dope and free movement. I like the dances. Africa got talent
If only I could like 1,000 times!
He is always pushing boundaries - Defination of a big Artist - Bless up Across Africa!!
DJ 2pne2 big up you are always supporting out artists
Kelechi too is underated... Keep pushing him up
Hii nyimbo inaongeza mchecheto mwilini.. inashusha presha.. inaongeza nguvu za kiume.. inaponyesha maralia.. inaongeza CD4 pia mwilini
Mchecheto gani
😂😂😂😂😂😂 mchecheto
Hahaha
🤣🤣
Eheheee...hapo kwa nguvu za kiume...tihihiii..so Nyash anaeza make kuwa mganga kutoka Zanzibar..
Nyashinski is true talent, there's no way anyone can hate on him. It feels like he is a music teacher with every record he puts out
you good
4 years after release and still vibing to this f**king great song 💯💯🔥🔥🔥....."ni like hata ka nimeweka mbaya hapo"🎶🎶
Is it just me, or does Nyashinski remind you Krupt. If krupt was alive I can imagine what badass colabo these two would have done🤔
Ww ndio unauokoa muziki wa kenya
Kama unakubali dance ya Huyo dem mrefu gonga like hapa
Huyo dem Mrefu...Kwanza hio kushake bums nayo. Sema kureplay that part. #imaginations
Tumatiti yake ndio nimependa
In kweli walai yeye in mrefu vibays
Hahaha acha uchokozi
Hiyo msichana mrefu ni free
Nyashinski is one hella underrated Artist from EA... 👑..and Yes am from TZ
Nyash is not Creative. He is very very Creative. Let's argue!
😂😂😂😂 I was almost mad @you
extremely creative
We saw what you did there 😂
Creative is an understatement Nyash is the king of creativity
He is in the future.. If you know you know
One man industry
waiting fo Album
Thumbs up
Moto sana..ukicheza na Nyashinski unazimwa kama mshumaa! Tumeikubali!
Undugu ni kufaana✊🇰🇪
This Guy is the King of Kenyan Music No objection
This guy's music will still be great a thousand years from now... long live Nyash !
classic is the word...wapi likes zangu all the way from Mwea
Kuna kesi,hauko fresh,utaenda ndani
Nyash, A True African with original music. We ndio BEAST hapa...
I can hear “beautiful by James brown,Stephen Marley,Damian Marley vibes in here “....but this song slaps good work Nyash
Who else thinks we need an album from Nyashinski now?
🙋🙋🙋
Me me me.
uko radha niaje
Do Kenyans buy albums?
@oganga.. bro you work at UA-camComents.com
Only 6m views deserves way much mooore
That smile on 0:49...OMG😍😍😍😍😍
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿with love
Etta Mchomvu kuna na smile ya azziad aisee😘😘
Shinskiii 🌊🌊🌊
FIRE 🔥
Tunangoja cover
Angusha cover bratha.
We need a reggae version of this kym
Nakumbuka nyash alikushow hivo fire🔥Kwa cover ya hayawani
keam fanya mambo yako
hata kama unipendi unajua nani ndo beast hapa.....nakuombea daily ufike mahali unaaim b4 nidead naomba unijenge na V8 baba....the best prayer and wish Nyashiski to the world ✨
Bruuuuuv!! Muziki umeenda shule kaka na sio tafadhali
This has to be among the best Kenyan songs of all time. Timeless!
Thanks for saving us from Timmy Dat
Hahaaa
Hahaha
😂😂😂😂😂😂
even better wafanye collabo, we need that energy used for good..
Be nice
Anyone in 2024❤
Am here
everyone is in 2024...tf
@@Carlypreet❤❤❤😂😂😂
Niko hapa 2025
Ill be here hadi tukiwitness vision 2030🎉❤
Kiswahili from Egypt 🌾🌴🌿🌱☀️💞👽
Prendre la musique 🇰🇪 kényane 🎶 au niveau suivant. Félicitations Nyashinki. Fire 🔥 🔥 🔥
MAD KING
One of the MOST TALENTED people in AFRICA.
What brings me here ni awa madancer wameiva 🤟🤟🤟 good job
I'm from the US and though I don't understand the lyrics I definitely love it! I can tell this was a huge hit! Big up bro nashinski
It was and still sounds so good.
It still is in 2022 considering kenya we are party country kana shika mbaya!
Aii 🇺🇸 gani c ni ww ulipanda gari za nyamakima
Uyu jamaaa ndio King wetu Nyash mambo mbaya 2018 umeweza sana bro Free like it
at least sasa tunajua dance style madem watatusumbua nayo the next couple of months
Kabisa
hehe weee iyo mistari duu mambo mbayaaaa
The only flexible artist in East Africa:
Singing,rap at the same time that even Reggae lovers will love just as HipHop heads as me💙💕
Kama unaskiza ii ngoma 2020 drop like yake hapa
2021 hapa
Vile namuelewaga huyu jamaa nice song.. Free •√√√ from + 255
Nyashinski is the worst dancer on camera yet he has the greatest music. Truly kenyan and authentic
And just when he coudn't get any beter, he did 😅.... Nyaaaash Uko lit kabisa
Much love from Uganda I really love his music I wish I can meet him in person because I love him so much
hata Mimi mtanzania sijachelewa kuicheki hii nipeni like jaman
Kwani ni wewe umeimba?
ambia Magufuli akupe like kaka, sisi tumechoka kuombwa likes jamani
Katafute likes facebook
Pole kwa awa wenzangu... Likes tumekupa. Bless
Tumekupa dear.
Nyash ni mdeadly🔥🔥🔥🔥