Good or Stupid? You decide Kenyans in America.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @georgemburu4177
    @georgemburu4177 Місяць тому +1

    Very true. Kenyan- American dream

  • @nyobs
    @nyobs Місяць тому +1

    True. Loyalty pays and wisdom is the principal thing. Big Ups!

  • @josephwachira-jz4bt
    @josephwachira-jz4bt Місяць тому +1

    Good story and advice Sam 👍👍👍

  • @BeridahWanjiku
    @BeridahWanjiku Місяць тому +2

    Safi sana

  • @Zena3141
    @Zena3141 7 днів тому +1

    Encourage maindi imee bila maji 😅😅😅😂

  • @marieheiss6560
    @marieheiss6560 Місяць тому +2

    True kimbelembele kazini haina maana, siku ile mtu utatemwa kama kikohozi utastaajabu peke yako, Mr. Sam the creative tu kukujulisha, hope utapata nafasi usome huu ujumbe, kuweni richo huko kwenu US, unakumbuka ukielezea hivi karibuni story ya yule jamaa ambaye alikuwa Tax Advisor mwenye alisanya pesa za watu around over ksh.6 billion the yr 2006-8,then he came back 2015 tena akapotea!!!, inasemekana yupo area huko US kuwa trap watu tena, so it's up to you the pple huko sana sana wale waliconniwa kama mtaonelea muwajulushe FBI ama mpe nafasi the guy azidi kuwa conn watu, kwanza fanyeni utafiti tosha mjuwe yuko state ipi i have his Photo with me, he does look very familiar!, labda kwa sasa some of you wamesha pata habari kamili ikiwemo picha yake, be on alert!

  • @b.3940
    @b.3940 Місяць тому +1

    Haki wakamba wale nimepatano nao ni very dependable and reliable. Wakati bibi yangu aliaga, nilioa maid wetu ambaye alikuwa mfanyi kazi wetu for 5 years.

  • @johnstoneolefa913
    @johnstoneolefa913 Місяць тому +1

    Ni ukweli!!!! Ndio maana mimi huogopa kuchapa deal na mkamba mbele ya muindi aki walai atakuseti

  • @hassshoban8206
    @hassshoban8206 Місяць тому +1

    Mazee umeiona ile video wa mkenya oldie homeless Atlanta. Ameishi Canada 20 years alikuwa mountain police. Na ameishi USA 15 years. 😊

  • @bmkavemba
    @bmkavemba Місяць тому +1

    Mwacha sio salamu ya kila mtu

  • @Antony-j3n
    @Antony-j3n Місяць тому +1

    Tx loading kama kawaida

  • @teimatata
    @teimatata Місяць тому +1

    Mbona sijawai sikia uki-imitate kabila zengine hivi? Waonea wakamba sasa...

    • @nyobs
      @nyobs Місяць тому +1

      Nikuwapenda. Yeye mwenyewe ni nusu mkamba😂😂😂

    • @BANANALANDMEDIA
      @BANANALANDMEDIA  Місяць тому

      Coz mimi ni mkamba 😂