AwuuTV || MOYO UMEBEBA MAZITO || TAFUTA DAWA YA MOYO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Tabasamu usoni, uchungu na maumivu moyoni! Hayo yote yamebebwa na moyo; naam, moyo umebeba mengi! Mawazo yanaanzia moyoni, kisha matendo na tabia - pale yanapojirudiarudia! Penye shida ni kwenye moyo. Dawa yenye nguvu zaidi kwa maisha yetu leo ni dawa ya moyo! Tuutibu moyo. Lakini, nani ni daktari wa moyo? Majibu yako hapa... Sikiliza video hii kwa umakini na uchukue hatua inayohitajika.
    #siriyamoyo #daktari #heart #dawatiba

КОМЕНТАРІ •