Huko mliko ndio mmepotea ,huyu anasema ukweli mliko huko mnaambiwa uongo Ngoma ya dar iko pale pale maneno mengi ya mwanadamu haya mzuii Mungu kufanya jambo lake
WoyoooJacobo(Huduma ya kristo) kasema Dar Tumesamehewaaaa😂😂😂😂😂😂😂. Hakuna mvua wala mafuriko tena.((■Je mimi si nabii wa maisha yangu kwa kuwa ninae Roho wa kristo???😎yn 16:13 na matendo 2:17)
Majibu ya daresalam kuwa MUNGU ameghair au la! mtu wa kukupa hayo majibu n Mbeba Agano peke yake hakuna mwingine. Na kama umemsikiliza vizur Nabii wa huduma ya Kristo amekuambia daresalam imesamehewa lakin?,,,,,,,,,,,,na amekutajia maeneo ambayo hayatakubwa na mafuriko😂😂😂😂 hvo bas muombe MUNGU, mjumbe wake aje na majibu
Aisee huyu mtu watu walikuwa wanamfuatilia sana hata kama walikuwa wanakaa kimya ila sasa yasipotokea kumwamini itakuwa kazi sana harafu isije ukakuta akaanza kutafutwa kwa kauli zake watasema alileta taharuki. Mungu amsaidie jamani.
Namtadanganywa sana sihamtaki kusoma neno yeye aliposema dar itaangamia mm nilisema dar haita hangamia maana unabiiwake ulikuwa wa uongo somen mathayo 24:11,24:24 mathayo 7:15 Jihadhalini na manabii wa uongo
Wewe ni Mhuni tu unatembea na matukio na nakuomba uokoke utoke huko kuzimu maana umesababisha watu wameuza viwanja Dar alafu unaelezea ujinga hapa sasa we we in miongoni mwa wanawali 5 wapumbavu
Kiukweli tunapaswa kurud kwenye neno la Mungu, WAKOLOSAI 2:8, na16 inasema , basi mtu asiwahukumu ninyi ktk vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi au sabato, yy mtumishi huyu hajayasoma mbona anataka kutuhukum kuonekana yy ni zaidi ya mtume Paulo ailiye andika walaka huu jamani tusiyumbishwe
Pia ktk injili ya mathayo 12: 1-8 someni mtapata majibu ya huyo nabii mussa kiukweli tulishike neno la KRISTO YESU mwokozi hawa manabii wengine wanatuchanganya lazima turudi kwenye neno, je huyo aliyetamka c BWANA YESU mwenyewe?
Amen amen ubarikiwe nabii Musa 🇰🇪
❤
Amina Prophet
Amin
Amina amina
Amen
mtumishi mafuriko uliyotabiri ndo ya mvua hizi zinazonyesha au tusubilie mvua za mwakani??😮
Kuwa mvumilivu tu inakuja ndugu
@@janethmwihumbo1289 tusubili tu ya mwakani
Wewe ni nabii WA Uongo jamani waTanzania acheni kumsikiliza huyu atawapoteza wengi mlio watu na watakatifu WA Mungu
Huko mliko ndio mmepotea ,huyu anasema ukweli mliko huko mnaambiwa uongo Ngoma ya dar iko pale pale maneno mengi ya mwanadamu haya mzuii Mungu kufanya jambo lake
Huku dar esalam aise linawaka jua hatari kama limetumwa vile@@janethmwihumbo1289
Sasa kama unajua ni Nabii wa uongo? Unapotezaje muda wako kumfuatilia na kumsikiliza uongo wake🤔
WoyoooJacobo(Huduma ya kristo) kasema Dar Tumesamehewaaaa😂😂😂😂😂😂😂. Hakuna mvua wala mafuriko tena.((■Je mimi si nabii wa maisha yangu kwa kuwa ninae Roho wa kristo???😎yn 16:13 na matendo 2:17)
Dar itapigwa coz hakuna atakaeiendea njia ya Mungu kama ilivyotakiwa!
Majibu ya daresalam kuwa MUNGU ameghair au la! mtu wa kukupa hayo majibu n Mbeba Agano peke yake hakuna mwingine. Na kama umemsikiliza vizur Nabii wa huduma ya Kristo amekuambia daresalam imesamehewa lakin?,,,,,,,,,,,,na amekutajia maeneo ambayo hayatakubwa na mafuriko😂😂😂😂 hvo bas muombe MUNGU, mjumbe wake aje na majibu
Aisee huyu mtu watu walikuwa wanamfuatilia sana hata kama walikuwa wanakaa kimya ila sasa yasipotokea kumwamini itakuwa kazi sana harafu isije ukakuta akaanza kutafutwa kwa kauli zake watasema alileta taharuki. Mungu amsaidie jamani.
@@WemaMwaikamboni wasi wasi wenu tu Neno la Mungu halirudi blue mipaka litimie
Namtadanganywa sana sihamtaki kusoma neno yeye aliposema dar itaangamia mm nilisema dar haita hangamia maana unabiiwake ulikuwa wa uongo somen mathayo 24:11,24:24 mathayo 7:15 Jihadhalini na manabii wa uongo
Huyu nabii ndo atatangulia jehanamu na wale wafuasi wake watamfuata, yani wewe nabii una muda mchache sana wa kuishi
Ana Muda mchache sababu ya kawaambia dar itapigwa na Mungu
@@janethmwihumbo1289 janeth siku zote huwa unapinga kwann , nimekutafuta inbox , utaangamia ...huyo nabii sio wa kweli njoo nikwambie
Wewe ni Mhuni tu unatembea na matukio na nakuomba uokoke utoke huko kuzimu maana umesababisha watu wameuza viwanja Dar alafu unaelezea ujinga hapa sasa we we in miongoni mwa wanawali 5 wapumbavu
Kiukweli tunapaswa kurud kwenye neno la Mungu, WAKOLOSAI 2:8, na16 inasema , basi mtu asiwahukumu ninyi ktk vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi au sabato, yy mtumishi huyu hajayasoma mbona anataka kutuhukum kuonekana yy ni zaidi ya mtume Paulo ailiye andika walaka huu jamani tusiyumbishwe
Pia ktk injili ya mathayo 12: 1-8 someni mtapata majibu ya huyo nabii mussa kiukweli tulishike neno la KRISTO YESU mwokozi hawa manabii wengine wanatuchanganya lazima turudi kwenye neno, je huyo aliyetamka c BWANA YESU mwenyewe?
😂
Tumefurahi kusikia kuw a gharika Tanzania haitakuwepo
Endeleen kujifarij
Mwisho wa watu kukufatilia ni mwezi wa 5 chizi wewe umetumalizia mb zetu sana
Hahahahaaaaa mbavu zangu, dah kiukweli kama ni mb zimeenda jamani, we mbaba Mungu anakuona lakini.
Ww na yeye nan chiz. Jitafakar
Ahaaaaaaaa muongo mkubwa sana huyu, sasa jua ndio limeanza kuwaka kwa fujo,
Huyu nabii sijui atajificha wapi